Media

UTEUZI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Read More

UTEUZI

Read More

UTEUZI

Read More

Dkt. Hussein Mwinyi amemuapisha Suleiman Ahmeid Saleh kuwa Katibu wa Rais wa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Suleiman Ahmeid Saleh kuwa Katibu wa Rais wa Zanzibar. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika leo Ikulu Jijiji…

Read More

Alhaj Dkt.Mwinyi amesema uchaguzi umekwisha iliyobaki ni kuidumisha na kuilinda amani iliyopo nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa uchaguzi umekwisha na umemalizika kwa salama na kilichobaki hivi sasa ni kuendelea kuidumisha na…

Read More

Salaam za Pongezi zimeendelea kutolewa

SALAMU za pongezi zimeendelea kutolewa na Viongozi mbali mbali wa ndani na nje ya nchi kufuatia ushindi mkubwa wa Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi alioupata Rais Dk. Hussein…

Read More
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma  akimuapisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli , katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma.

DK. JOHN POMBE MAGUFULI AMEAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Dk. John Pombe Joseph Magufuli ameapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha pili katika Awamu ya Tano ya uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kushinda…

Read More

DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEMUAPISHA MWANASHERIA MKUU ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Dk. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Read More