Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Watanzania wataendelea kumkumbuka na kumuenzi Hayati Dk. John Pombe Magufuli

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Watanzania wataendelea kumkumbuka na kumuenzi Hayati Dk. John Pombe Magufuli kwa kuendeleza falsafa na…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa ujio wa Rais wa Shirikisho la mchezo wa kuogelea duniani (FINA) hapa Zanzibar utasaidia kwa kiasi kikubwa kuitangaza Zanzibar kiutalii

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa ujio wa Rais wa Shirikisho la mchezo wa kuogelea duniani (FINA) hapa Zanzibar utasaidia kwa kiasi kikubwa…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi amewataka wadau wa Asasi za Kiraia (NGOs), kuhakikisha kila taasisi inayoanzishwa inatekeleza wajibu wake kwa kuzingatia malengo yaliyobainishwa wakati wa usajili.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wadau wa Asasi za Kiraia (NGOs), kuhakikisha kila taasisi inayoanzishwa inatekeleza wajibu wake kwa kuzingatia…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba iwapo jamii itazingatia mambo makubwa matatu likiwemo uadilifu, uaminifu na uwajibikaji basi mafanikio makubwa yatapatikana nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba iwapo jamii itazingatia mambo makubwa matatu likiwemo uadilifu, uaminifu na uwajibikaji basi…

Read More