Media

Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza utayari wa Mabalozi kutoka nchi za Marekani, Ufaransa na Switzerland

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza utayari wa Mabalozi kutoka nchi za Marekani, Ufaransa na Switzerland wa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar…

Read More

Alhaj Dk.Mwinyi amesema Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaungana na Mataifa duniani katika kukuza na kuimarisha mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qurani.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa inapendeza kuona Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sasa inaungana na Mataifa mengine duniani katika…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Makamanda wapya aliowateua waende wakajenge na kurudisha nidhamu katika vikosi hivyo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Makamanda wapya aliowateua kuwa Wakuu wa Vikosi Maalum vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,waende wakajenge…

Read More

Dk.Hussei Mwinyi ameeleza umuhimu wa kuwasaidia walimu wa madrasa na kuwachangia kwa hiari.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza umuhimu wa kuwasaidia walimu wa madrasa na kuwachangia kwa hiari bila ya kusubiri kuombwa au kushurutishwa.Alhaj…

Read More