Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya mazungumzo na Viongozi wa Jumuiya ya Wanawake Wajane Zanzibar (ZAWIO).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza haja ya kurekebishwa Sheria kandamizi ambazo zimekuwa zikiwakosesha haki zao za msingi wanawake wajane hapa…
Read More