Media

Dira yetu ya maendeleo ya 2020 ni kuifanya Zanzibar kuwa nchi yenye uchumi wa kati.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein emeeleza kuwa ushirikiano mzuri kati ya Zanzibar na washirika wa maendeleo unaifanya Serikali na wananchi kuongeza…

Read More

Baadhi ya Wizara za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zafanyiwa marekebisho

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu cha 53 cha Katiba ya Zanzibar ya 1984 amefanya marekebisho katika…

Read More

Mafanikio makubwa yameweza kupatikana kutokana na uongozi thabiti wa benki ya (PBZ)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesifu hatua zilizochukuliwa katika kuiimarisha Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) ikiwa ni pamoja na utoaji mikopo kwa…

Read More

Madaktari wanaotoka China wametakiwa washughulikie pia masuala ya kinga.

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imetoa wito kwa wataalamu wa afya kutoka China waliopo nchini kuangalia pia suala la kinga ya maradhi mbalimbali badala ya kutilia mkazo zaidi suala la tiba wakati…

Read More

China ni marafiki wa kweli kwa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuongezeka nchini kwa misaada ya ushirikiano kutoka Jamhuri ya Watu wa China ni kielelezo thabiti cha uimara…

Read More

Wananchi wametakiwa kushiriki na kuonesha mshikamano katika sherehe za miaka50 ya Mapinduzi ya Z’bar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kushiriki kikamilifu na kuonesha umoja na mshikamano walionao katika sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi…

Read More

Risala ya Mhe:Rais wa Zanzibar na MBLM,kwa ajili ya uzinduzi wa sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi.

Ndugu Wananchi, Naanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mara nyengine kwa kutujaalia kufunga na kukamilisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na tukaweza kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitri kwa furaha,…

Read More

Vyombo vinavyosimamia Sheria Barani Afrika vimetakiwa kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya uhalifu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema ni wakati muafaka kwa mahakama, vyombo vinavyosimamia utekelezaji wa sheria na jamii barani Afrika kushirikiana…

Read More