Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Nane inalizingatia kundi la vijana kuwa ni kundi maalumu lenye changamoto ambazo ni wajibu wa serikali kuzitafutia ufumbuzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Nane inalizingatia kundi la vijana kuwa ni kundi maalumu lenye changamoto ambazo…
Read More