MLEZI wa Matembezi ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Vijana wa Mikoa ya Tanzania Bara na Zanzibar.
MLEZI wa Matembezi ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Vijana wa Mikoa ya Tanzania Bara na Zanzibar wanaoshiriki Matembezi ya kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, yaliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi katika viwanja vya Konde Mkoa wa Kaskazini Pemba leo 3-1-2022