Dk. Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na watoto pamoja na Tume ya Uratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya kuzitafutia ufumbuzi changamoto mbali mbali.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na watoto pamoja na Tume ya Uratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kurejea kwa safari za anga za moja kwa moja kutoka Ufaransa hadi Zanzibar kutatoa msukumo mkubwa katika sekta ya Utalii na kukuza uchumi wa Taifa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kurejea kwa safari za anga za moja kwa moja kutoka Ufaransa hadi Zanzibar kupitia Shirika la Ndege la…

Read More

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Kampuni ya El sewedy ya nchini Misri

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Kampuni ya El sewedy ya nchini Misri na kuukaribisha kuja kuekeza Zanzibar…

Read More