Dk.Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja kwa nchi za Bara la Afrika kuhakikisha zinafanya biashara ya pamoja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja kwa nchi za Bara la Afrika kuhakikisha zinafanya biashara ya pamoja badala ya kuelekeza nguvu zaidi…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa salamu za pole kwa Mhe: Dk. Ali Mohamed Shein kufuatia kifo cha Kaka yake Mzee Shein Mohamed Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa salamu za pole kwa Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Saba Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed…

Read More

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Jijini Darban Afrika kwa ajili ya kushiriki ufunguzi wa Mkutano wa Maonyesho ya Biashara baina ya nchi za Afrika.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili Jijini Durban, nchini Afrika Kusini leo (Novemba 14,2021) kwa ajili ya kushiriki ufunguzi wa Mkutano wa…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa jamii kuwatunza walimu wa madrasa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa jamii kuwatunza walimu wa madrasa kwa kuandaa mpango maalum wa kuwawezesha ili wahamasike…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja ya wananchi kudumisha amani na utulivu uliopo nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja ya wananchi kudumisha amani na utulivu uliopo nchini, kwa kigezo kuwa ndio msingi wa maendeleo…

Read More