Dk. Shein azungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, wakati wa kikao cha Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Ofisi hiyo, kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 13/8/2020, (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kul;ia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe.Mohammed Aboud Mohammed.
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ndh. Shaban Seif Mohammed, akiwasilisha Ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kwa mwaka wa fedha 2020/2021, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Nd. Shaban Seif Mohammed, akiwasilisha Ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kwa mwaka wa fedha 2020/2021, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto) Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Ndg. Abdalla Hassan Mitawi
BAADHI ya Maofisa wa Idara za Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wakifuatilia ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi wa Ofisi yao kwa mwaka wa fedha 2020/2021 wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ndg. Shaban Seif Mohammed katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mohammed Aboud Mohammed, akiwasilisha muktasari wa Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) na kushoto Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee.
MKURUGENZI wa Tume ya Dawa za Kulevya Zanzibar.Bi.Kheriyangu Mgeni Khamis, akitowa maelezo wakati wa Kikao cha Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021 Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
WAKURUGENZI wa Idra za Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, wakifuatilia Ripoti ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Ndg. Shaban Seif Mohammed.(hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, akiwasilisha muktasari wa Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) na kushoto Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee
MKURUGENZI wa Tume ya Dawa za Kulevya Zanzibar.Bi.Kheriyangu Mgeni Khamis, akitowa maelezo wakati wa Kikao cha Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021 Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
WAKURUGENZI wa Idra za Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, wakifuatilia Ripoti ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Ndg. Shaban Seif Mohammed.(hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Wizara Ya Ujenzi,Mawailiano na Usafirishaji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Mkurugenzi Mtendaji Wakala wa Karakana Kuu ya Magari Nd,Hussein Abdi Hussein (kulia) akitoa Maelezo kuhusu Idara yake katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 cha Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,mawasiliano na Usafirishaji Nd,Mustafa Aboud Jumbe (kulia) alipokuwa akisoma taarifa ya Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Makamo wa Pili wa Rais wa zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Sira Ubwa Mamboya (katikati) akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji ya Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (wengine) Naibu Waziri Mhe.Mohamed Ahmada Salum (kushoto) na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi `Dkt.Abduhamid Yahya Mzee
Viongozi katika Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Mohamed Ahmada Salum alipokuwa akichangia katika Kikao cha Utekelezaji ya Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kulia) Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Sira Ubwa Mamboya.
Rais wa Zanzibar Dk. Shein amezungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi
KATIBU wa Baraza la Mapinduzi pia ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee, akiuliza swali wakati wa Kikao cha mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar, kwa mwaka wa fedha 2020/2021, Kikaio hicho kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Katibu Kiongozi) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri
MKURUGENZI Mkuu Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Zanzibar Dr. Suleiman Shehe Mohammed akizungumza wakati wa Kikao cha Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar,kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akiwa ameshika kitabu cha “Ripoti ya Utafiti wa Kilimo kwa mwaka 2019
MKURUGENZI Idara ya Uvuvi Zanzibar Ndg. Mussa Aboud Jumbe akitowa ufafanuzi wakati wa Kikao cha Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar, katika Kikao cha kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri
WAKURUGENZI wa Idara mbalimbali za Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar, wakifuatilia Ripoti ya Utekelezaji wa Mpango Kazi ya Wizara yao, wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Maryam Juma Sadala, kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wac Ikulu Jijini Zanzibar kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar. Bi. Maryam Juma Sadala (Mabodi) akiwasilisha Ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) kilichofanyika12/8/2020.
BAADHI ya Maofisa wa Idara mbalimbali za Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar, wakifuatilia Ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi wa Wizara yao kwa mwaka wa fedha 2020/2021,ikiwasilishwa na Katibu Mkuu Bi. Maryam Juma Sadala (Mabodi) kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri akiwasilisha muktasari wa Ripoti ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika Ikulu Jijini Zanzibar (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na (kulia kwake) Naibu Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Dkt. Makame Ali Ussi.
Dk.Shein amekutana na uongozi Wizara Elimu na Mafunzo ya Amali
Mkurugenzi Idara ya Elimu Sekondari Bi.Asya Iddi Issa akita Maelezo kuhusu Idara yake katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 cha Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Dkt.Idriss Muslim Hija alipokuwa akisoma taarifa ya Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Nd,Maalim Abdalla Mzee (kulia)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Maafisa wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakifuatilia wakati wa Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Viongozi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji ya Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (wengine) Naibu Waziri Mhe.Simai Mohamed Said (katikati) na Mshauri wa Rais Pemba Dk.Mauwa Abeid Daftari
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
Viongozi katika Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria leo katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Dk.Shein amekutana na uongozi Wizara ya Katiba na Sheria
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria leo katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Viongozi katika Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Nd,George Joseph Kazi akisoma taarifa ya Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 wakati wa Kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar(kulia) Mkurugenzi Mipango Sera na Utafiti BI.Daima Mohamed Mkalimoto.{Picha na Ikulu} 12/08/2020