Dk.Shein amefungua maonyesho ya Kilimo Kizimbani Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabihi Ufungo wa Treka Mwenyekiti wa Ushirika wa Kilimo Mkombozi cha Mkokotoni Ndg. Haji Mashaka Omar,wakati wa hafla ya Maonesho ya Kilimo yaliofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi"A" Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika moja ya Trekta lililotolewa Mkopo na Benki ya TAD kwa Vikundi vya Ushirika Zanzibar, wakati wa hafla ya maonesho hayo yaliofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi"A" Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwanafunzu wa Chuo cha Kilimo Kizimbani Ndg.Faki Ali Faki na kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifurahia wakati akivuna mboga aina ya spinachi katika kitalu cha maoneshi ya JKU , kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Alim Iddi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiponyeza kitufe kuashiria kuyafungua Maonesho ya Kilimo Zanzibar katika viwanja vya Kizimbani Wilaya Magharibi "A" Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya Ujenzi wa Nyumba za Udogo (Hydraform) Bi. Jamila Abeid Saleh, wakati akitembelea banda la maonesho la kampuni hiyo katika viwanja vya maonesho kizimbani.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akivuna mboga aina ya zukini katika kitalu cha Chuo cha Mafunzo wakati wa ufunguzi wa hafla ya maonesho ya Kilimo yanayofanyika katika viwanja vya kizimbani Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar Ali Abdalla Ali,akitowa maelezo ya ufugaji wa kuku wa kisasa, wakati wa ufunguzi wa maonesho ya Kilimo Kizimbani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO) Ndg. Zahran Kassim El-Kharousy, wakati akitembelea banda la kampuni hiyo akitowa maelezo ya jokofu la kuhifadhia samaki.
Dk.Shein amewasili Zanzibar akitokea nchini Uingereza.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, alipowasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Uingereza kwa ziara Maalum.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,, akisalimiana na Wananchi waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kumpokea akitokea Nchini Uingereza kwa ziara Maalum.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, alipowasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Uingereza, alipokuwa na ziara Maalum.
Rais wa Zanzibar Dk.Shein amefungua semina ya siku moja ya Utumishi wa Umma Zanzibar.
BAADHI ya Washiriki wa Semina ya Maadhimisho ya Siku ya Utumishi wa Umma Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua semina hiyo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuhutubia na kuifungua semina hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Cheti cha Utumisho Bora na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakati wa Semina ya Maadhimisho ya Siku ya Utumishi wa Umma Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
BAADHI ya Washiriki wa Semina ya Maadhimisho ya Siku ya Utumishi wa Umma Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua semina hiyo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
BAADHI ya Washiriki wa Semina ya Maadhimisho ya Siku ya Utumishi wa Umma Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua semina hiyo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar(
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Semina ya Maadhimisho ya Siku ya Utumishi Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Dk.Shein amefungua Mkutano Mkuu wa nne wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mkuu wa ZATUC Ndg. Khamis Mwinyi, alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, na Viongozi wa Meza Kuu wakiimba wimbo wa Solidariti Foreva wakati wa ufunguzi wa Mkutanio Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
BAADHI ya Wageni Waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hafla hiyo ya Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
BAADHI ya Wajumbe na Makatibu Wakuu wakishikana mikono wakati wa kuimba wimbo wa Solidariti Foreva katika hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Risara ya Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar, kutoka kwa Katibu Mkuu wa ZATUC.Ndg. Khamis Mwinyi na kushoto Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe.Maudline Castico na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na kulia Mwenyekiti wa ZATUC Ndg. Ali Mwalimu
WAALIKWA wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
MWAKILISHI wa ILO Ndg. Mohammed Mwamadzingo, akitowa salamu za ILO wakati wa fhafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Badulwakil Kikwajuni Zanzibar.
MWENYEKITI wa TUCTA Dr.Yahya Msingwa, akitowa salamu za TUCTA wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirkisho la Wafanyakazi Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa AbdulWakili Kikwajuni Zanzibar.
WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe.Maudlini Castico akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuhutubia hafla hiyo, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Dk.Shein amekagua Vifaa vya Idara ya Ujenzi wa Barabara Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Zanzibar (UUB) Eng. Ali Tahir Fatawi, akitowa maelezo ya Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara alipotembelea eneo la Kituo cha UUB Kibwele Wilaya ya Kati Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Kituo cha Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Kibele Wilaya ya Kati Unguja kuangalia Vifaa Vipya vua Ujenzi wa Barabara Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Kituo cha Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Kibele Wilaya ya Kati Unguja kuangalia Vifaa Vipya vua Ujenzi wa Barabara Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Kituo cha Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Kibele Wilaya ya Kati Unguja kuangalia Vifaa Vipya vua Ujenzi wa Barabara Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Zanzibar (UUB) Eng. Ali Tahir Fatawi, akitowa maelezo ya Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara alipotembelea eneo la Kituo cha UUB Kibwele Wilaya ya Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya Mtambo Mpya wa kupikia lami kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Zanzibar Eng. Ali Tahir Fatawi, akitembelea Vifaa vipya vya Idara hiyo katika Kituo chao Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Ndg. Mustafa Aboud Jumbe na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe.Dr. Sira Ubwa Mwamboya
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamerd Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, wakati wa ziara yake kutembelea Kituo cha Idara ya UUB Kibele Wilaya ya Kati Unguja