State House Blog

DK.MWINYI AHUDHURIA HAFLA YA CHAKULA IKULU DAR-ES- SALAAM

 • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuatana na Mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe.Frank –Walter Steinmeier(kushoto) Ikulu Jijini Dar- es -Salaam leo wakati alipomuandalia Chakula cha mchana,wakati mgeni huyo akiwa katika ziara Nchini
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akiwa na Rais wa Ujerumani Mhe.Frank –Walter Steinmeier alipohudhuria katika chakula cha Mchana kilichotayarishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar- es -Salaam leo kwa mgeni huyo akiwa katika ziara Nchini
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Rais wa Ujerumani Mhe.Frank –Walter Steinmeier(kushoto) alipotambulishwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar- es -Salaam leo wakati alipomuandalia Chakula cha mchana ukumbi wa Ikulu Jijini Dar-es Salaam mgeni huyo akiwa katika ziara Nchini.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akisalimiana na Rais wa Ujerumani Mhe.Frank –Walter Steinmeier alipohudhuria katika chakula cha Mchana kilichotayarishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar- es -Salaam leo kwa amgeni huyo akiwa katika ziara Nchini
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi akiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Jamhuri ya M uungano wa Tanzania Mhe.Angella Kairuki wakati wa chakula cha Mchana kilichotayarishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar- es -Salaam leo kwa mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe.Frank –Walter Steinmeier akiwa katika ziara Nchini.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi azungumza na Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi alipowasili viwanja vya Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama, Wilaya ya Magharibi "A" kwa ajili mya kuzungumza na Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ leo katika shamra shamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake

 • Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohamed alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) kuzungumza na Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ katika Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama, Wilaya ya Magharibi "A" katika shamra shamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ katika Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama, Wilaya ya Magharibi "A" leo katika shamra shamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake
 • Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohamed alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) kuzungumza na Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ katika Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama, Wilaya ya Magharibi "A" katika shamra shamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake
 • Baadhi ya Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza nao leo katika viwanja vya Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama, Wilaya ya Magharibi "A" leo katika shamra shamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake

 • Maafisa wa Vikosi wa Vikosi vya Ulinzi wakisaluti wakati Wimbo wa Taifa Ukupigwa leo katika hafla ya Mazungumzo na Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ katika Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama Wilaya ya Magharibi "A"mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi katika shamra shamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake
 • Maafisa wa Vikosi wa Vikosi vya Ulinzi wakisaluti wakati Wimbo wa Taifa Ukupigwa leo katika hafla ya Mazungumzo na Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ katika Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama, Wilaya ya Magharibi "A"mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi katika shamra shamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohamed (wa pili kulia) pamoja na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi wakisaluti wakati Wimbo wa Taifa Ukupigwa leo katika hafla ya Mazungumzo na Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ katika Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama, Wilaya ya Magharibi "A" katika shamra shamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake
 • Maafisa wa Vikosi wa Vikosi vya Ulinzi wakisaluti wakati Wimbo wa Taifa Ukupigwa leo katika hafla ya Mazungumzo na Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ katika Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama, Wilaya ya Magharibi "A"mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi katika shamra shamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake

Ujumbe wa Benk ya Dunia.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi. Zamzbia,Zimbabwe na Zambia Bw.Nathan M.Belete (wa pili kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar wakiwepo na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango (wa pili kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dkt. Saada Mkuya Salum na katibu Mkuu Dkt.Juma Malik Akil
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi. Zamzbia,Zimbabwe na Zambia Bw.Nathan M.Belete (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi.Zamzbia,Zimbabwe na Zambia Bw.Nathan M.Belete (wa pili kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiwepo na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango (wa pili kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dkt. Saada Mkuya Salum na katibu Mkuu Dkt.Juma Malik Akil.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi. Zamzbia,Zimbabwe na Zambia Bw.Nathan M.Belete (wa pili kulia) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar wakiwepo na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango (kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dkt.Saada Mkuya Salum

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEFUNGUA KONGAMANO LA 24 LA KIMATAIFA LA MAJI UKUMBI WA HOTELI YA VERDE ZANZIBAR

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la 24 la Kimataifa la Maji, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja leo 25-10-2023
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum na Mwenyekiti wa Bodi ya Water Net.Prof.Nnenesi Kgabi, baada ya kulifungua Kongamano la 24 la Kimataifa la Maji, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar 25-10-2023
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi ujenzi wa Barabara ya Jozani-Charawe-Ukongoroni na Bwejuu alipofanya ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja kukagua miradi ya mendeleo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya Uongozi wake

Uwekaji wa Jime la Msingi Skuli ya Sekondari Mwembeladu Unguja

 • Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Mhe.Mohamed Rajab alipokuwa akitoa salam za Chama Cha Mapinduzi wakati Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipofanya ziara katika Shehia ya Monduli Wilaya ya Magharibi "A" kutembelea na kuweka jiwe la msingi Skuli ya Sekondari ya Mtopepo iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katika gari) akizungumza na Wananchi wakati alipofika kutembelea maendeleo ya Ujenzi wa Nyumba za makaazi na Biashara zinazojengwa na Shirika la Nyumba Zanzibar katika maeneo ya Kwamchina Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyofanyika katika mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake
 • Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli mbali mbali wakionesha picha zinazotoa ujumbe wa kumshukuru Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,kwa kutoa nyongeza ya Pensheni ya Wazee wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Ujenzi wa Nyumba za makaazi na Biashara zinazojengwa na Shirika la Nyumba Zanzibar katika maeneo ya Kwamchina Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi iliyofanyika leo katika mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake.
 • Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Mhe.Mohamed Rajab alipokuwa akitoa salam za Chama Cha Mapinduzi wakati Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipofanya ziara katika Shehia ya Monduli Wilaya ya Magharibi "A" kutembelea na kuweka jiwe la msingi Skuli ya Sekondari ya Mtopepo iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akifungua pazia kuashiria uwekaji wa Jiwe la msingi Skuli ya Sekondari Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magaribi akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyofanyika katika mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwasalimia Viongozi mbali mbali alipowasili katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la msingi Skuli ya Sekondari Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magaribi akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyofanyika katika mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake.