State House Blog

TAMASHA LA KILIMO HAI KIZIMBANI ZANZIBAR

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo Hai lililofanyika katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo Hai lililofanyika katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi
 • Mwenyekiti wa Taasisi ya ZOI Dkt.Mwatima Abdala Juma wakati alipokuwa akitoa salamu zake katika hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai lilifunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi.
 • Viongozi wa mbali mbali walioalikwa katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi.
 • Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo Hai wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi.
 • Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo Hai wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi.
 • Banda la Bidhaa za Mwani katika Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar ni miongoni mwa washiriki katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo Hai lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipokea zawadi kutoka kwa Mjasiriamali Mama Asha Abdalla Juma wa Kikundi cha Msonge Organic (kushoto) wakati wa Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai,
 • Baadhi ya Vikundi vya wajasiria mali walioshiriki katika Tamasha la Kilimo Hai lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) akipata maelezo kuhusu tunda la passion na mazao mwengine kutoka kwa Mjasiriamali Mama Asha Abdalla Juma wa Kikundi cha Msonge Organic (kushoto) wa Taasisi ya Moswery Agribussiness Solution LTD, wakati alipotembelea mabanda ya maonesho katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai, leo katika Viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Mwenyekiti wa Taasisi ya ZOI Dkt.Mwatima Abdala Juma (katika) Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Mhe.Shamata Shaame Khamis
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Ndg.Nuru Mtema (kushoto) wa Taasisi ya Karibu Edu FoundationTanganyika Organic , wakati alipotembelea mabanda ya maonesho katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai, leo katika Viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Mwenyekiti wa Taasisi ya ZOI Dkt.Mwatima Abdala Juma (katika) Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Mhe.Shamata Shaame Khamis
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto) wakisalimiana na Viongozi walipowasili Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo Hai lililojumuisha Taasisi mbali mbali na Vikundi vya Wajasiriamali
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Ndg.Pascal Stephano (kushoto) wa Taasisi ya Moswery Agribussiness Solution LTD, wakati wa ufunguzi wa maonesho tamasha la Kilimo hai,

MWAKA MMOJA WA ZEEA NA TAMASHA LA FAHARI YA ZANZIBAR

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa ZEEA Ndg.Juma Burhani Mohamed katika hafla ya maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi hiyo iliyochini ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi na Uwekezaji sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) alipokuwa akibinyeza kitufe kuzinduwa maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki(kushoto) Mkurugenzi Juma Burhani Mohamed(kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Zeea Bw.Juma Amour Mohamed na Waziri wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi
 • Wafanyakazi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)alipokuwa akitoa hutuba yake katika maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki.
 • Wafanyakazi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)alipokuwa akitoa hutuba yake katika maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki.
 • Baadhi ya waalikwa mbali mbali wakifuatilia kwa makini taarifa zilizotolewa katika Tamasha la Fahari ya Zanzibar sambamba na Maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi Uchumi na Uwekezaji leo Ukumbi wa Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa HUASA Bibi.Mariam Abdalla Hemedi (kulia) Mjasiriamali wa utengenezaji mafuta ya aina mbali mbali,Sabuini,Shampoo na bidha nyengine wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Kazi mbali mbali katika maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika leo katika Viwanja vya Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimsikiliza Bibi.Chausiku Khatib Mjasiriamali wa Kikundi cha Moch Enteprises (kulia) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Kazi mbali mbali katika maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi na Uwekezaji sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika katika Viwanja vya Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Miradi wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation Ndg.Alire Mushi wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Kazi mbali mbali katika maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi na Uwekezaji sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika katika Viwanja vya Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimsikiliza Bibi.Chausiku Khatib Mjasiriamali wa Kikundi cha Moch Enteprises (kulia) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Kazi mbali mbali katika maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi na Uwekezaji sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika leo katika Viwanja vya Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimsikiliza Mjasiriamali wa Kikundi cha Kilimo Hai Imput Company Limited cha Kijichi Zanzibar Ndg.Arafa Hamad Bakari (kulia) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Kazi mbali mbali katika maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi na Uwekezaji sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika leo katika Viwanja vya Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZEEA Ndg.Juma Amour Mohamed katika hafla ya maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi hiyo iliyochini ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi na Uwekezaji sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZEEA Ndg.Juma Amour Mohamed katika hafla ya Mwaka mmoja wa Taasisi hiyo iliyochini ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi na Uwekezaji sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Operesheni Meneja wa TCB Tawi la Zanzibar Ndg.Ismail Ferous (kulia) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Kazi mbali mbali katika maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi na Uwekezaji sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika leo katika Viwanja vya Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki.

WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI AJITAMBULISHA KWA RAIS DR.MWINYI.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Uongozi mpya wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki uliongozwa na Mhe.Januari Makamba (wa pili kulia) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha na Ujumbe wake
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Januari Makamba (wa pili kulia) alipofika kujitambulisha na Ujumbe wake wa Uongozi mpya wa Wizara hiyo Ikulu Jijini Zanzibar.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Januari Makamba (wa pili kulia) alipofika kujitambulisha na Ujumbe wake wa Uongozi mpya wa Wizara hiyo Ikulu Jijini Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Januari Makamba (wa pili kulia) alipofika kujitambulisha na Ujumbe wake wa Uongozi mpya wa Wizara hiyo Ikulu Jijini Zanzibar.

UJUMBE WA MADAKTARI WA KICHINA WALIOMALIZA MUDA WA KAZI HAPA NCHINI

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari wa Kichina Dr. Zhao Xiaojun wakati wa kuagana na Ujumbe wa Madaktari hao wa Kichina 32 waliomaliza muda wao wakutoa huduma mbali mbali katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba,hafla ya kuagana ilifanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa kuagana na Ujumbe wa Madaktari wa Kichina 32 waliuomaliza muda ambao wakitoa huduma katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba, mazungumzo yalifanyika leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akipokea zawadi kutoka kwa Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari wa Kichina Dr.Zhao Xiaojun wakati wa kuagana na Ujumbe hguo wa Madaktari 32 waliomaliza muda wa kutoa huduma mbali mbali katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Kiongozi wa Madaktari wa Kichina Dr.Zhao Xiaojun (kulia aliyesimama) wakati akitoa shukurani zake leo kwa Ushirikiano walioupata katika huduma walizozitoa katika Hospitali za Zanzibar,wakati hafla ya kuagana wa lipofika Ikulu Jijini Zanzibar
 • Viongozi wa Ujumbe wa Madaktari wa Kichina wamsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati walipofika kumuaga Rais Ikulu Jijini Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa kuagana na Ujumbe wa Madaktari wa Kichina (hawapo pichani) 32 waliomaliza muda ambao wakitoa huduma katika Hospitali za Mnazi Mmoja na Abdalla Mzee Pemba, mazungumzo yalifanyika leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AKABIDHIWA KADI YA KWANZA YA ATM YA CRDB AL- BARAKAH YA BENKI YA CRDB IKULU ZANZIBAR

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki na Meneja Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg.Badru Idd, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023 na (kulia kwake) Mkuu wa Kitengo cha Islamic Banking Ndg.Rashid Rashid na Mjumbe wa Bodi ya Benki ya CRDB Ndg.Juma Amour
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Meneja wa Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg.Badru Idd, baada ya kumalizika kwa hafla ya kumkabidhi Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki , hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki na Meneja Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg.Badru Idd, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023 na (kulia kwake) Mkuu wa Kitengo cha Islamic Banking Ndg.Rashid Rashid na Mjumbe wa Bodi ya Benki ya CRDB Ndg.Juma Amour
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Meneja Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg. Badru Idd akizungumza na kuutambulisha ujumbe aliofuatana nao, kwa ajili ya kumkabidhi Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki na Meneja Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg.Badru Idd, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023 na (kulia kwake) Mkuu wa Kitengo cha Islamic Banking Ndg.Rashid Rashid na Mjumbe wa Bodi ya Benki ya CRDB Ndg.Juma Amour.
 • MKUU wa Kitengo cha Huduma za Benki Zinazofuata Misingi ya Sheria Benki ya CRDB (Islamic Banking)Ndg. Rashid Rashid, akizungumza kuhusiana na Akaunti ya Al- Barakah, wakati wa hafla ya kukabidhiwa Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al -Barakah Benki. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023