State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania Askofu Maimbo Mndolwa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-8-2023, alipofika kwa mazungumzo na kujitambulisha.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Kanisa la Anglikan Tanzania ukiongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania Maimbo Mndolwa (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo,30-8-2023
  • /RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania Askofi Maimbo Mndolwa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-8-2023, kwa mazungumzo na kujitambulisha.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Kanisa la Anglikan Tanzania ukiongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania Maimbo Mndolwa (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,30-8-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania Maimbo Mndolwa (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 30-8-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Viongozi wa Kanisa la Anglikana Tanzania ukiongozwa na Askofu Mkuu Maimbo Mndolwa (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 30-8-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Viongozi wa Kanisa la Anglikana Tanzania ukiongozwa na Askofu Mkuu Maimbo Mndolwa (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 30-8-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Kombo Haji baada ya Mazungumzo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar Kujitambulisha
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Kombo Haji (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar Kujitambulisha (kulia) Wasaidizi wa Rais
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Kombo Haji (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar Kujitambulisha (kulia) Wasaidizi wa Rais
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha na Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Kombo Haji (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar Kujitambulisha

KUAPISHWA MWENYEKITI NA MAKAMISHA WA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Ndg.Ayoub Bakari Hamad, kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Awadh Ali Said, kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Halima Mohamed Said, kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Idrissa Haji Jecha, kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Juma Haji Ussi, kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Jaji George Joseph Kazi, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Jaji George Joseph Kazi, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Jaji Aziza Iddi Suwedi , kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Siasa waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi pamoja na Mwenyekiti Mhe.Jaji George Joseph Kazi (kulia) na Viongozi wengine kabla ya kuapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika Jukwaa Kuu la Viongozi katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, wakati wa ziara yake kukagua Mradi huo wa Ujenzi wake 27-8-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua Mradi wa Ujenzi Uwanja wa Mpira wa Amaan Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 27-8-2023. unaofanyiwa ukarabati mkubwa, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Mr.Ilhan Karadeniz (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua Mradi wa Ujenzi Uwanja wa Mpira wa Amaan Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 27-8-2023. unaofanyiwa ukarabati mkubwa, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Mr.Ilhan Karadeniz (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua Mradi wa Ujenzi Uwanja wa Mpira wa Amaan Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 27-8-2023. unaofanyiwa ukarabati mkubwa, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Mr.Ilhan Karadeniz (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita

Rais wa Zanzibar ametembelea mradi wa ujenzi wa barabara ya juu amani

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea eneo la Kituo cha Ujenzi wa Barabara ya Juu (Flyover) Amani akiwa katika ziara yake kukagua hatu ya ujenzi wa Mradi huo leo 27-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati wa ziara yake kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Juu Amani Wilaya ya Mjini Unguja (FLYOVER) akiwa katika eneo la Kituo cha mradi huo leo 27-8-2023 na (kulia kwa Rais) Meneja wa Mradi Xiong Yunxu na Waziri Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Juu Amani Wilaya ya Mjini Unguja (FLYOVER) akizungumza akiwa katika eneo la mradi huo leo 27-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliani na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa