Ikulu Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na Uongozi wa Kampuni ya IHC ya Abu Dhabi

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya Mazungumzo na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Mambo ya Nje Sheikh. Shakhboot Nahyan , akiwa katika ziara yake U.A.E.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshuhudia Utiaji wa Saini miradi miwili mikubwa ya Uwekezaji katika Sekta ya Utalii Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ametembelea Banda la Maonesho ya Expo 2020 Dubai.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Abu Dhabi kwa ziara ya Kiserikali katika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE.