Ikulu Blog

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Muigizaji wa Filamu za Kihindi Ikulu Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) akisisitiza jambo wakati wamarungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Jijini Zanzinar akiwa na ujumbe wake.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar akiwa na ujumbe wake.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe wake
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Msanii Maarufu wa michezo ya Sinema kutoka Nchini India Bw. Sanjay Dutt, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 9-11-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Msanii Maarufu wa michezo ya Sinema kutoka Nchini India Bw. Sanjay Dutt, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 9-11-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Msanii Maarufu wa michezo ya Sinema kutoka Nchini India Bw.Sanjay Dutt.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo, 9-11-2021,akiongozana na Makamu Mwenyekiti wa Africab Bw. Yussuf Ezzi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika mpicha na mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzinar akiwa na ujumbe aliofuatana nao.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akizungumza na mgeni wake Muigizaji Maarufu wa michezo ya sinema kutoka Nchini India Bw.Sanjay Dutt, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Kasha Mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe wake.

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini TZ.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O'Nell alipofika kujitambulisha Ikulu jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O'Nell wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha.
  • Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O'Nell wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akiagana na Mgeni wake Balozi wa baada ya mazungumzo yao aliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar pamoja na kujitambulisha.

Kongamano la Tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisis za Umma.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake ya kulifungua Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition" hafla iliyofanyika leo katika Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya kulifungua Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition" hafla iliyofanyika leo katika Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe. Omar Said Shaaban na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe.Martin Ngoga (wa pili kulia)
  • Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe.Omar SaidS haaban alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) kulifungua Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition"leo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe.Martin Ngoga (kulia)a kitoa akitoa salam zake katika Ufunguzi wa Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition" ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) amelifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Baadhi ya washiriki wa **Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Kongamano hilo lililifanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Baadhi ya washiriki wa Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition wakifuatilia kwa makini Hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Mwenyekiti wa Pan African Center for Policy Studies Bibi Judica Amri-Lamson (kulia) wakati alipokuwa akitoa maelezo yake katika Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition"lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) katika Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe.Omar Said Shaaban pamoja na Mwenyekiti wa Pan African Center for Policy Studies Bibi Judica Amri-Lamson (kulia) wakati alipowasili Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi katika Ufunguzi wa Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki Matembezi ya Kilomita 4 ya Zanzibar Blue Economy Hafl Marathon 2021

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum ya picha yake ya kuchora iliotolewa na Kamati ya Maandalizi ya Zanzibar Blue Ecenomy Hafla Marathon 2021 na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Ndg Abdalla Majura, baada ya kumaliza Matembezi ya Kilomita 4 ya Zanzibar Blue Economy Hafl Marathon 2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Nishani Mshindi wa kwanza wa Mbio za Kilomita 21 za Zanzibar Blue Economy Hafl Maradhon 2021. Natalia baada ya kuibuka mshindi wa mbio hizo, zilizoazia katika eneo la Mapindizi Square Michezani na kumalizia Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Nishani Mshindi wa kwanza wa Mbio za Kilomita 21 za Zanzibar Blue Economy Hafl Maradhon 2021 Francis Daman baada ya kubuka mshindi wa mbio hizo, zilizoazia katika eneo la Mapindizi Square Michezani na kumalizia Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
  • WANANCHI wakiwa katika barabara ya Amani wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akipita katika eneo hilo wakati akiwa katika Matembezi ya Kilomita 4 ya Zanzibar Blue Economy Hafl Marathon, ikiwa ni Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Uongozi wake
  • WANANCHI wakiwa katika barabara ya Amani wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akipita katika eneo hilo wakati akiwa katika Matembezi ya Kilomita 4 ya Zanzibar Blue Economy Hafl Marathon, ikiwa ni Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Uongozi wake
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiwa katika Matembezi ya Kilimota 4 ya Zanzibar Blue Economy Hafl Marathon 2021 yaliyoazia katika eneo la Mapinduzi Square Michezani Jijini Zanzibar na kumalizia katika Uwanja wa Amaan na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Abdalla Majura na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmes Said, ikiwa ni maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Uongozi wake
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiwa katika Matembezi ya Kilimota 4 ya Zanzibar Blue Economy Hafl Marathon 2021 yaliyoazia katika eneo la Mapinduzi Square Michezani Jijini Zanzibar na kumalizia katika Uwanja wa Amaan na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika matembezi ya Marathon ya Kilomita 4,yalioazia katika eneo la Mapinduzi Square Michezani na kumalizia katika Uwanja wa Amaan Zanzibar na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Mustafa Idrisa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, wakishiriki katika matembezi hayo ya Zanzibar Blue Economy Half Marathon 2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani kwa ajili ya kuaza kwa Mbio Zanzibar Blue Economoy Half Marathon 2021 za Kilomita 4 na kumalizia katika uwanja wa Amaan (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, wakijiandaa kuaza mbio hizo zilizofanyika leo 6-11-2021 ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika matembezi ya Marathon ya Kilomita 4,yalioazia katika eneo la Mapinduzi Square Michezani na kumalizia katika Uwanja wa Amaan Zanzibar na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Mustafa Idrisa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, wakishiriki katika matembezi hayo ya Zanzibar Blue Economy Half Marathon 2021

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisa ya Maalim Seif Sharif Hamad Hotel ya Golden Tulip Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mjane wa Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad Mama Awena Sharif,baada ya kumalizika kwa hafla ya mkutano wa ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumnbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar.
  • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad,lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar leo 5-11-2021.
  • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar leo 5-11-2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad,wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihutubia na kulifunga katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar
  • WANAFAMILIA ya Maalim Seif Sharif Hamad wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihutubia la kulifungua Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar
  • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar leo 5-11-2021
  • RAIS Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Sita Mhe Dkt. Amani Karume na Mjane wa Marehemu Maalim Seif Sharif Mama Awema Sharif, wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuhutubia wakati wa hafla ya mkutano wa ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho na Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar
  • BAADHI ya Viongozi wa Vyama vya Siasa wakifuatilia ufunguzi wa Mkutano wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maalim Seif Sharif Hamad lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tuliup Zanzibar
  • BAADHI ya Mabalozi na Wawakilishi wa Taasisi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisa ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar
  • KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hasan Othman Ngwali na (kulia kwake)Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi. Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed na Waziri wa Nchiu Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa wasifu wa Maalim Seif, wakati wa Kongamano la Maadhimishi ya Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar.
  • MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Othman Masoud Othman akizungumza na katika hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar
  • BAADHI ya Wageni waalikwa na Viongozi wa Vyama vya Siasa wakimsikiliza Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisa ya Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad, lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar
  • KATIBU wa Kamati ya Taasisi ya Maalim Seif Sharif Bw. Ismail Jussa akizungumza katika na kutowa maelezo ya Taasisi ya Maalium Seif, wakati wa hafla ya mkutano wa ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Maisa ya Maalim Seif Sharif Hamad. lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Zanzibar