Ikulu Blog

Mkutano wa Kampeni za CCM Kiwani Kusini Pemba.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) Mgombea wa Urais wa Zanzibar Dk.Husseio Ali Hassan Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika Mkutano wa Kampeni za CCM zinazoendelea huko Kiwani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba
  • Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wakiwa katika Mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo uwanja wa Skuli ya Tasini Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,uliowanadi wagombea nafasi mbali mbali ikiwemo Urais wa Zanzibar, Ubunge,Uwakilishi na Diwani.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia)Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) Mgombea wa Urais wa Zanzibar Dk.Husseio Ali Hassan Mwinyi (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa kusini Pemba wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika leo Kiwani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba.
  • Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wakiwa katika Mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo uwanja wa Skuli ya Tasini Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,uliowanadi wagombea nafasi mbali mbali ikiwemo Urais wa Zanzibar, Ubunge,Uwakilishi na Diwani.
  • Wanachama wa CCM wakiwa katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu zilizofanyika leo Kiwani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi na WanaCCM wa Mkoa wa Kusini Pemba katika viwanja vya Kiwani Wilaya ya Mkoani katika mkutMAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi na WanaCCM wa Mkoa wa Kusini Pemba katika viwanja vya Kiwani Wilaya ya Mkoani katika mkut

Ufunguzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Rais na MBLM-Pemba.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akiwapungia mkono Wananchi na Waalikwa mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba kwa ajili ya kulifungua rasmin leo(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) na (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hamed Suleiman.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akifungua pazia kama ishara ya kulifungua jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba(kushoto kwa Rais ) Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ng,Salum Maulid Salum na (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU)hafla ya sherehe ilifanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kama ishara ya kulifungua jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba (kushoto kwa Rais ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ng,Salum Maulid Salum na (kulia) hafla ya sherehe ilifanyika l
  • Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pemba wakiwa patika hafla ya ufunguzi wa jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akitoa Hutuba yake katika hafla ya ufunguzi wa jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba(kushoto kwa Rais ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ng,Salum Maulid Salum na (kulia) hafla ya sherehe ilifanyika leo mbele ya Jengo hilo
  • Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pemba wakiwa patika hafla ya ufunguzi wa jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akipata Maelezo kutoka kwa Mhandisi msaidizi wa Ujenzi Said Malik Said (kulia) mara baada ya ufunguzia wa jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba(wa pili kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU)hafla ya sherehe ilifanyika
  • Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika hafla ya ufunguzi wa jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)alipokuwa akitoa hutuba yake mara bağdaya ufunguzi uliofanyika

Dk Shein amezindua Kitabu cha Dira ya Maendeleo ya Zanzibar Mwaka 2050

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akizindua Kitabu cha Dira ya Maendeleo ya Zanzibar Mwaka 2050, pamoja na kuagwa na Wananchi wa Mikoa Mitano ya Zanzibar ,hafla iliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar
  • Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na (kulia kwake) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Jaji Mkuu wa Zanziubar. Mhe Omar Othman Makungu, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiuongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Naibu Katibu wa CCM Zanzibar Dr., Abdall Juma Mabodi na (kushoto kwa Makamu) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika uwanja wa Mao Zedong
  • BAADHI ya Wazanzibar wanaoishi Nje Diaspora wakifuatilia hutruba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kuagwa na Uzinduzi wa Kitabu cha Dira ya Maendeleo ya Zanzibar Mwaka 2050, iliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Wafanyakazi wa SMZ wakishangilia wakati wa hafla ya Kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Uzinduzi wa Kitabu cha Dira ya Maendeleo Zanzibar mwaka 2050.(hayupo pichani ) akiwahutubia katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanbzibar.
  • BAADHI ya Wafanyakazi wa SMZ wakishangilia wakati wa hafla ya Kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Uzinduzi wa Kitabu cha Dira ya Maendeleo Zanzibar mwaka 2050.(hayupo pichani ) akiwahutubia katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanbzibar.
  • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakipiga makofi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia katika mkutano wa kumuaga na Uzinduzi wa Kitabu cha Dira ya Maendeleo Zanzibar Mwaka 2050, uliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Wananchi wa Mikoa Mitano ya Zanzibar wakishangilia katika hafla ya kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) na Uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Zanzibar Mwaka 2050, uliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.

Alhajj Dk.Shein amewaongoza Waumini wa Dini ya Kiislam katika Mauid ya kuzaliwa Mtume Muhammad SW

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akitia ubani kumainisha kuyafungua Maulidi ya Kuadhimisha Kuzaliwa kwa MtUME Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja ya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar, yalifanytika jana usiku.
  • BAADHI ya Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakishiriki katika hafla ya Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakishiriki katika hafla ya Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakishiriki katika hafla ya Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar
  • WANAFUNZI wa Madrasatul Tarbiyatul Islamia kutoka Koani Wilaya ya Kati Unguja wakisoma Qasweeda, wakati wa Maadhimisho ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad, yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar jana usiku

Dk.Shein amewatembelea Majeruhi katika Hospital ya Micheweni Pemba.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimfariji mhanga wa matukio ya kupigwa yaliotokea katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg. Hassan Khamis Hamad, alipofika katika Hospitali ya Micheweni Pemba, kuwatembelea majeruhi 17/10/2020. Akipata maelezo kutoka kwa Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni .Dr. Mbwana Shoka Salim.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimfariji mmoja wa wahanga wa matukio ya kupigwa katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg. Hassan Khamis Hamad, alipofika katika Hospitali ya Micheweni Pemba kuwajulia hali zao leo 17-10-2020. Na kuwafariji.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia picha ya Xray ya mmoja wa majeruhi wa tukio la kupigwa lililotokea katika maeneo ya Kwake Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg.Abdalla Khamis Mbarouk, alipofika katika hospitali ya Micheweni leo 17/10/2020 na (kulia kwa Rais) Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Pemba Dr.Mbwana Shoka Salim.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Pemba Dr. Mbwana Shoka Salim, akitowa maelezo ya mmoja wa majeruhi ya Wahanga wa Matukio ya kupingwa yaliotokea katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba,Ndg.Yassir Hemed Ali, alipofika katika Hospitali ya Micheweni leo kuwatembelea na kuwafariji
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimpa pole mmoja wa Majeruhi ya Wahanga wa Matukio ya Kupigwa yaliotokea katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg.Yassir Hemed Ali, akiangalia sehemu aliyopata majeruhi alipofika katika Hospitali ya Micheweni kuwajulia hali na kuwafariji
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya mmoja wa Majeruhi wa Wahanga wa Matukio ya kupigwa yaliotokea katika Kijiji cha Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg. Khatib Said Khatib aliyepata jeraha katika sehemu ya tumbo, wakati akitowa maelezo Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Dr. Mbwana Shoka Salim
  • /RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia picha ya Xray ya mmoja wa Majeruhi wa Wahanga wa Matukio ya Kupigwa yaliotokea katika Kwale Wilaya ya Micheweni Ndg.Khatib Said Khatib, wakati Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Dr. Mbwana Shoka Salim, akitowa maelezo kwa Rais alipofika leo 17/10/2020 kuwatembelea na kuwafariji
  • /RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia picha ya Xray ya mmoja wa Majeruhi wa Wahanga wa Matukio ya Kupigwa yaliotokea katika Kwale Wilaya ya Micheweni Ndg.Khatib Said Khatib, wakati Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Dr. Mbwana Shoka Salim, akitowa maelezo kwa Rais alipofika leo 17/10/2020 kuwatembelea na kuwafariji
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimjulia hali mmoja wa Majeruhi wa Wahanga wa Matukio ya kupigwa yaliotokea katika eneo la Kwale. Wilaya ya Micheweni Pemba,Bi.Raya Khamis Hamad , alipofika katika hospitali ya Micheweni kuwajulia hali leo 17/10/2020
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimjulia hali mmoja wa majeruhi wa Wahanga wa tukio la kupigwa lililotokea katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba