Ikulu Blog

Mkutano wa CCM Pemba.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanaCCM na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba alipokuwa akimuombea kura Mgombea Urais Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa Kampeni zilizofanyika leo Uwanja wa Gando.
  • Wanachama wa CCM na wananchi wakiwa katika Mkutano wa Kampeni kusikiliza Sera za Chama hicho zilizotolewa na Mgombea Urais Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa Kampeni zilizofanyika leo Uwanja wa Gando.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  akizungumza na wanaCCM na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba alipokuwa akimuombea kura Mgombea Urais Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano waRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanaCCM na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba alipokuwa akimuombea kura Mgombea Urais Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa
  • Wana ccm wakiwa katika mkutano wa Kampeni za CCM Uliofanyika leo Uwanja wa Mpira Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
  • Wasanii wa kikundi cha Wete Mjini wakiburudisha wakati wa mkutano ukiendelea katika kuwanadi wagombea wa nafasi mbali mbali Uongozi wakiwemo Wawakilishi,Wabunge,madiwani na Mgombea Urais wa Zanzibar katika mkutano wa kampen za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa mpira wa Gando.

Jamuhuri ya Watu wa China imepongezwa kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mdogo wa Jamuhri ya Watu wa China anayefanyia Kazi Zanzibar Mhe.Xie Xiaowu,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar,kwa mazungumza na kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi Mdogo wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Zanzibar, mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Balozi Mdogo wa China anayefanya Kazi zake Zanzibar.Mhe. Xie Xiaowu, wakitoka katika ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na mgeni wake Balozi Mdogo wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kumuaga

Ufunguzi wa Jumba la ” Shekh Thabit Kombo Mall” Michezani Unguja.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake mara baada ya kulifungua jengo la Sheikh Thabiti Kombo Mall hatika hafla iliyofanyika leo Michenzani Mjini Zanzibar (kushoto) Mgombea Urais wa Zanzibar CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Mohamed Ramia Abdiwawa (kulia) sherehe za ufunguzi wa jengo hilo zilifanyika leo Viwanja Mapinduzi Square
  • Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa ZSSF wakifuatiliwa kwa makini Hotuba ya Ufunguzi Ufunguzi wa Jengo la Sheikh Thabiti Kombo Mall lililojengwa kwa usimamizi wa Mfuko huo liliopo Michenzani Mjini Zanzibar,iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Mapinduzi Square katika hafla iliyofanyika
  • Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Jengo la Sheikh Thabiti Kombo Mall lililojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF liliopo Michenzani Mjini Zanzibar,hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Mapinduzi Square ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
  • Baadhi ya waalikwa na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Jengo la Sheikh Thabiti Kombo Mall lililojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF liliopo Michenzani Mjini Zanzibar,hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Mapinduzi Square ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
  • Baadhi ya waalikwa na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Jengo la Sheikh Thabiti Kombo Mall lililojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF liliopo Michenzani Mjini Zanzibar,hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Mapinduzi Square ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Zanzibar Nd,Sabra Issa Machano akiingia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michenzani mjini Zanzibar mara baada ya kulifunguzi Jengo la Sheikh Thabiti Kombo Mall lililojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF Michenzani Mjini Zanzibar hafla ya ufunguzi iliyofanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Zanzibar Nd,Sabra Issa Machano wakati alipowasili katika sherehe za ufunguzi wa jengo la Sheikh Thabiti Kombo Mall iliyojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF Michenzani Mjini Zanzibar,hafla ya iliyofanyika
  • Mwenyekiti wa Maskani kaka ya Kisonge CCM Nd.Juma Rajab akitoa maelezo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara baada ya kulifunguzi Jengo la Sheikh Thabiti Kombo Mall lililojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF Michenzani Mjini Zanzibar (kulia) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Zanzibar Nd,Sabra Issa Machano, hafla ya ufunguzi iliyofanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipokea zawadi iliyotolewa na Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati Mhe.Salama Aboud Talib katika sherehe maalum mafanikio ya miaka 10 ya Uongozi wake iliyoandaliwa kwa Wizara zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walipomuaga rasmin leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar

Maadhimisho ya Miaka 56 ya Sherehe za Elimu Bila ya Malipo Zanzibar.

  • Wanafunzi wakipita kwa maandamano wakati kilele cha miaka 56 ya Sherehe za Maadhimisho ya Elimu Bila malipo katika uwanja wa MaoDze Dong
  • Wanafunzi wakipita kwa maandamano wakati kilele cha miaka 56 ya Sherehe za Maadhimisho ya Elimu Bila malipo katika uwanja wa MaoDze Dong
  • Wanafunzi wakipita kwa maandamano wakati kilele cha miaka 56 ya Sherehe za Maadhimisho ya Elimu Bila malipo katika uwanja wa MaoDze DongWanafunzi wakipita kwa maandamano wakati kilele cha miaka 56 ya Sherehe za Maadhimisho ya Elimu Bila malipo katika uwanja wa MaoDze Dong
  • Wanafunzi wakipita kwa maandamano wakati kilele cha miaka 56 ya Sherehe za Maadhimisho ya Elimu Bila malipo katika uwanja wa MaoDze DongWanafunzi wakipita kwa maandamano wakati kilele cha miaka 56 ya Sherehe za Maadhimisho ya Elimu Bila malipo katika uwanja wa MaoDze Dong
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wanafunzi wa Skuli mbali mbali za Zanzibar kama ishara ya kupokea Maandamano yaliyopita mbele yake katika Uwanja wa Mao-Dze Dong katika kilele cha maadhimisho ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wanafunzi wa Skuli mbali mbali za Zanzibar kama ishara ya kupokea Maandamano yaliyopita mbele yake katika Uwanja wa Mao-Dze Dong katika kilele cha maadhimisho ya
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwanafunzi Maimuna Iddi Riziki (asiyeona) wa Skuli ya Umoja Uzini Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kuhani utenzi akiwa na mwenzake Ramla Iddi Riziki (asiyeona) katika Uwanja wa Mao-Dze Dong wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka 56 ya sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika
  • Wanafunzi wa Skuli mbali mbali za Zanzibar wakiwa katika Sherehe za maadhimisho ya Miaka 56 ya Elimu Bila Malipo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Mao-Dze Dong Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo mgeni rasmi akiwa RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)
  • Wanafunzi wa Chuo cha Afya kwa mchina wakipita kwa maandamano mbele ya RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) katika Uwanja wa Mao-Dze Dong wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka 56 ya sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika

Ufunguzi wa nyumba za mradi wa ZSSF Mbweni Real Estate Zanzibar

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Nd.Sabra Issa Machano alipowasili katika viwanja vya Mradi wa Nyumba za makaazi za"ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam kwa ajili ya kuzifunguya rasmi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi(katikati) wakifuatana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Nd.Sabra Issa Machano pamoja na Viongozi wengine mara baada ya kukagua Nyumba za Mradi wa Nyumba za makaazi za"ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam alipofanya ufunguzi rasmi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Nyumba za Mradi wa "ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam alizozifunguliwa leo (kulia) Waziri wa Fedha na Uchumi Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa,Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi(kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt.Suleiman Rashid Mohamed (wa pili kushoto).
  • Baadhi ya Wafanyakazi wa Idara mbali mbali za Mfuko wa ZSSF wakiwa katika hafla ya Ufunguzi wa Mradi wa Nyumba za makaazi za"ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam zilizofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
  • Waziri wa Fedha na Uchumi Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa alipokuwa akimkaribisha mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na na wananchi wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Nyumba za Mradi wa "ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam alizozifunguliwa leo
  • Baadhi ya Wafanyakazi wa Idara mbali mbali za Mfuko wa ZSSF wakiwa katika hafla ya Ufunguzi wa Mradi wa Nyumba za makaazi za"ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam zilizofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Viongozi mbali mbali kutoka taasisi za Serikali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Mradi wa Nyumba za makaazi za"ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam zilizofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
  • Ni Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Mradi wa Nyumba za makaazi za"ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam zilizofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Mradi wa Nyumba za makaazi za "ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam ajili ya kuzifunguya rasmi
  • Baadhi ya Wafanyakazi wa Idara mbali mbali za Mfuko wa ZSSF wakiwa katika hafla ya Ufunguzi wa Mradi wa Nyumba za makaazi za"ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam zilizofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Nd.Sabra Issa Machano Makamo (kushoto) mara baada ya kukagua Nyumba za Mradi wa Nyumba za makaazi za"ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam alipofanya ufunguzi rasmi leo (kulia) Waziri wa Fedha na Uchumi Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Nyumba za Mradi wa "ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam alizozifunguliwa leo (kulia) Waziri wa Fedha na Uchumi Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa,Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi(kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt.Suleiman Rashid Mohamed (wa pili kushoto).