Ikulu Blog

Dk.Shein azungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP nchini Tanzani Ikulu

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania.Bi.Christine Musisi, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi akiwa na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na RaisRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi akiwa na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikabidhiwa Ripoti ya Hiyari ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu,(SDG’s) na Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania. Bi. Christine Musisi, wakitabasamu wakati wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Dk.Shein amezungumza na ujumbe kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu ya Haukeland ya Nchini Norway.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mr.Trond Mohn, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu kwa mazungumzo na Ujumbe kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu ya Hakeland cha Nchini Norway.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland cha Nchini Norway, ukiongozwa na (CEO HUH) Mr. Eivind Hansen (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na wageni wake kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland Nchini Norway baada ya kamaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na (CEO,HUH) Mr.Eivind Hansen, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu kwa mazungumza na Ujumbe kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland cha Nchini Norway, kulia Mr.Trond Mohn na Ms.Marit Mohn Westlake, wakiwa katika ukumbi Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland cha Nchini Norway, ukiongozwa na (CEO HUH) Mr. Eivind Hansen (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais

Dk.Shein amefungua Jengo la Tawi la CCM Uzi Wilaya ya Kati Unguja.

  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitanguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud alipowasili katika viwanja vya jingo jipya la Tawi la CCM Uzi Wilaya ya Kati Unguja alipofika kulifungua pamoja na kuweka jiwe la msingi
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiweka jiwe la msingi la Jengo la Tawi la CCM Uzi kushoto Katibu wa Tawi la CCM Uzi Ndg. Simai Jabu Vuai, hafla hiyo imefanyika katika kisiwa cha Uzi Wilaya ya Kati Unguja
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi, wakiwa katika ukumbi wa jingo jipya la Tawi la CCM Uzi, baada ya kulifungua
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisisitiza jambo akiwa na Naibu Katiba Mkuu CCm Zanzibar wakati akizungumza na Wanachama wa CCM Uzi katika hafla ya ufunguzi wa jingo jipya la Tawi la CCM Uzi
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiweka jiwe la msingi la Jengo la Tawi la CCM Uzi kushoto Katibu wa Tawi la CCM Uzi Ndg. Simai Jabu Vuai, hafla hiyo imefanyika katika kisiwa cha Uzi Wilaya ya Kati Unguja
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea jingo jipya la Tawi la CCM Uzinda baada ya kulifungua leo 21-11-2019, (kushoto kwa Rais ) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr.Abdalla Juma Mabodi na kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr Abdalla Juma Mabodi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Bi. Leila Burhani Ngoz, wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Tawi la CCM Uzi wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar.MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr Abdalla Juma Mabodi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Bi. Leila Burhani Ngoz, wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Tawi la CCM Uzi wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar.

Dk.Shein azungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Kusini Unguja

  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman,alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi wakati wa hafla ya ziara yake kuzungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Kusini Unguja.
  • WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kusini Unguja wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) wakati akizungumza na Wazee hao katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja
  • KATIBU wa CCM Wilaya ya Kusini Unguja Ndg.Hafidh Hassan Mkadam akisoma risala ya Wazee wa CCM Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja
  • BAADHI ya Viongozi wa Jumuiya za CCM na Viongozi wa CCM Afisi Kuu Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Kizimkazi
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.MheDk.Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Risala ya Wazee wa CCM wa Wilaya ya Kusini Unguja na Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo.Ndg.Hafidh Hassan Mkadam, wakati wa ziara yake kuzungumza na Wazee wa CCM Zanzibar mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguj
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa zawadi ya kofia iliyotolewa na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa ziara yake kuzungumza na Wazee wa CCM Zanzibar mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja
  • WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kusini Unguja wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) wakati akizungumza na Wazee hao katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja
  • NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi akisisitiza jambo wakati wa mkutano na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa ziara yake, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja

Dk.Shein afungua maonesho ya miaka 20 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico mara alipowasili katika viwanja vya Fumba Mji mpya katika ufunguzi wa Maadhimisho ya Maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico mara alipowasili katika viwanja vya Fumba Mji mpya katika ufunguzi wa Maadhimisho ya Maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika (wa pili kulia) Naibu Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Hassan Khamis Hafidh
  • Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa hutuba yake katika viwanja vya Fumba Mji mpya mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico wakiangalia Gazeti la Zanzibarleo alipotembelea madanda ya maonesho ya wajasiriamali baada ya kuyafungua rasmi Maadhimisho ya Maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika viwanja vya Fumba Mji mpya Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia bidhaa mbali mbali wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya wajasiriamali wadogowadogo baada ya ufunguzi rasmi wa Maadhimisho ya Maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika leo katika viwanja vya Fumba Mji mpya Mkoa wa Mjini Magharibi (katikati)Naibu Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Hassan Khamis Hafidh
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wajasiriamali Tanzania Nd,Josphat Rweyemamu wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wajasiriamali baada ya ufunguzi rasmi wa Maadhimisho ya Maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika viwanja vya Fumba Mji mpya Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico wakifuatana na viongozi wengine wakati alipotembelea madanda ya maonesho ya wajasiriamali baada ya kuyafungua rasmi Maadhimisho ya Maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika viwanja vya Fumba Mji mpya Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi mbali mbali wakati maelezo kutoka kwa Saumu Al-Nofly Mmiliki wa UMMY'S FOOD LINE PRODUCTS.wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wajasiriamali baada ya ufunguzi rasmi wa Maadhimisho ya Maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika viwanja vya Fumba Mji mpya Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia bidhaa mbali mbali wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya wajasiriamali wadogowadogo baada ya ufunguzi rasmi wa Maadhimisho ya Maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika viwanja vya Fumba Mji mpya Mkoa wa Mjini Magharibi (katikati)Naibu Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Hassan Khamis Hafidh
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitoa hutuba ya ufunguzi wa Maadhimisho ya Maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika leo katika viwanja vya Fumba Mji mpya (kulia) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee, Wanawake na Watoto Mhe. Maudline Cyrus Castico (kushoto) Naibu Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe.Hassan Khamis Hafidh