Ikulu Blog

Dk.Shein na ujumbe wake wametembelea Kiwanda cha Uchimbaji wa Mafuta na Gesi (Rak Ges)

  • Baadhi ya Ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa mèneja uzalishaji wa kampuni ya Rak Gas (hatupo pichani) wakati ujumbe huo ulipofanyaziara katika Kiwanda hicho wakiwa katika ziara ya Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh.Dk Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa* *Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Kampuni ya Kimataifa ya Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia cha Ras Al Khaimah (RAK GAS) Peter Deibel (kushoto) wakati alipotembelea kiwanda hicho katika ziara Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Ziara ya Rais wa Zanzibar Mhe:Dk Shein nchini Ras Al Khaimah

  • Meneja waMamlaka ya Maendeleo ya Utalii wa Serikali ya Ras Al Khaimah Bi.Navritu Rai akizungumza na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein mara baada ya kumalizika kwa mkutano.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akiwa pamoja na Mheshimiwa Mohammed Ali Musabah,Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda wa Ras Al Khaimah wakisikiliza kwa makini Taarifa inayohusiana na Utalii iliyowasilishwa na Meneja wa Mamlaka ya Maendeleo ya Utalii wa Serikali ya Ras Al Khaimah Bi.Navritu Rai.(hayupo pichani)Katika Mkutano uliofanyika Ras Al Khaimah.
  • Meneja waMamlaka ya Maendeleo ya Utalii wa Serikali ya Ras Al Khaimah Bi.Navritu Rai akizungumza na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein mara baada ya kumalizika kwa mkutano.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akiwasiliza kwa makini Viongozi wa Kampuni za Uwekezaji,Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenye Viwanda pamoja na Mamlaka za Vitega Uchumi za Ras Al Khaimah (Katika Ukumbi wa Hotel ya Waldorf Astoria Ras Al Khaimah)

Rais wa Zanzibar Dk.Shein azungumza na mtawala wa Ras Khaimah

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi mlango wa Zanzibar mwenyeji wake Mtawala wa Ras Al Khaimah Sheikh Saud Bin Alqasimi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika makaazi yake Ras Al Khaimah.
  • UJUMBE wa Mtawala wa Ras Al Khaimah wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakati wa mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na mwenyeji wake Mtawala waRas Al Khaimah. Sheikh Saud Bin Alqasimi, mazungumzo hayo yamefanyika katika makazi yake Al Dhait Raa Al Khaimah.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na mwenyeji wake Mtawala wa Ras Al Khaimah.Sheikh.Saud Bin Alqasimi, alipowasili katika makaazi yake Ras Al Khaimah, akiwa katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu(UAE).
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti waBaraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtawala wa Ras Al Khaimah Sheikh.Saud Bin Saqr Alqasimi, alipofika katika makaazi yake Al Dhait Raa Al Khaimah, akiwa katika ziara yake.
  • UJUMBE wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, wakiwa katika mazungumzo na Mtawala wa Ras Al Khaimah. Sheikh Saud Bin Alqasimi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,walipofika katika makaazi yake
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Mwenyeji wake mmoja kati ya Viongozi wa juu wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E) katika ukumbi wa watu mashuhuri katika Uwanja wa Ndege wa Dubai,mara baada ya kuwasili kwa ajili ya Ziara ya siku saba U.A.E.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Shein aondoka nchini akielekea Ras Al Khaimah kwa ziara ya wiki moja.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wazee wa CCM Zanzibar, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati akiondoka Nchini kuelekea Ras Al Khaimah, katika Umoja wan chi za Falme za Kiarabu (UAE) kwa ziara ya wiki moja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati akiondoka Nchini kuelekea Ras Al Khaimah, katika Umoja wan chi za Falme za Kiarabu (UAE) kwa ziara ya wiki moja, kulia Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe.Hassan Khatib Hassan na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja. Kapteni Silima Haji.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati akiondoka Nchini kuelekea Ras Al Khaimah, katika Umoja wan chi za Falme za Kiarabu (UAE) kwa ziara ya wiki moja, kulia Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe.Hassan Khatib Hassan na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja. Kapteni Silima Haji.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati akiondoka Nchini Zanzibar kuelekea Ras Al Khaimah, kwa ziara ya wiki moja.

ZRB yafikisha miaka 20 kuanzishwa kwake.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Mapato (ZRB) Zanzibar Ndg,Saleh Sadiq Osman katika sherehe za maadhimisho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Bodi ya Mapato (ZRB) sherehe hizo zilizofanyika huko Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar
  • Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Mapato (ZRB) Zanzibar Ndg,Saleh Sadiq Osman alipopkuwa kiwatambulisha wajumbe wa Bodi hiyo wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Miaka 20 ya Bodi ya Mapato (ZRB) zilizofanyika huko Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
  • Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Mapato na waalikwa mbali mbali wakiwa katika sherehe maalum za maadhimisho ya kutimia miaka 20 tokea kuanzishwa kwa Bodi ya Mapato (ZRB) zilizofanyika huko Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
  • Baadhi ya wafanyakazi wa Idara mbali mbali za Bodi ya Mapato wakiwa katika sherehe maalum za maadhimisho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Bodi ya Mapato (ZRB) zilizofanyika huko Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
  • Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Mapato na waalikwa mbali mbali wakiwa katika sherehe maalum za maadhimisho ya kutimia miaka 20 tokea kuanzishwa kwa Bodi ya Mapato (ZRB) zilizofanyika huko Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi cheti Mwanafunzi Ishaka Ali Dadi Skuli ya Fidel Castro Pemba akiwa mshindi wa Insha Mdahalo wa kuhusu umuhimu wa kulipa Kodi katika sherehe za maadhimisho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Bodi ya Mapato (ZRB) sherehe hizo zilizofanyika huko Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Feda na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi cheti Mwanafunzi Khairia Mnyanja Simai Skuli ya Benmbele akiwa mshindi wa Insha Mdahalo wa kuhusu umuhimu wa kulipa Kodi katika sherehe za maadhimisho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Bodi ya Mapato (ZRB) sherehe hizo zilizofanyika huko Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Feda na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa hotuba yake katika sherehe za maadhimisho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Bodi ya Mapato (ZRB) sherehe hizo zilizofanyika huko Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar