Dk.Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo.
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdul Yahya Mzee (katikati) alipokuwa akichangia katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 cha Wizara ya Vijana, Utamaduni,Sanaa na Michezo kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Ndg,Omar Hassan Omar (KING) alipokuwa akisoma taarifa ya Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa mwaka 2020/2021-katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji mpango kazi kwa kipindi cha 2020/2021- kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Naibu Katibu Mkuu Nd,Abdulhamil Bakari
Maafisa katika Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Viongozi katika Wizara ya Vijana, Utamaduni,Sanaa na Michezo wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Viongozi katika Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe. Balozi Amina Salum Ali alipokuwa akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji Mpango kazi wa Wizara yake mbele ya RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz. Mhe Dk.Ali Mohamed Shein, wakati wa Mkutano uliofanyika leo Ikulu Mnji Zanzibar ,(kulia) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dk.Abdulhamid Yahya Mzee na Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe. Hassan Hafidh.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz. Mhe Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, uliofanyka katika ukumbi wa Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz. Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dk. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe. Balozi Amina Salum Ali.
Baadhi ya Uongozi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021,chini ya Mwenyekiti wake RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz. Mhe Dk. Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)
Kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara yaVijana, Utamaduni,Sanaa na Michezo katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Dh.Shein akutana na Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Viongozi katika Wizara ya Afya zanzibar wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba,Maji na Nishati Nd.Ali Khalil Mirza alipokuwa akisoma taarifa ya Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa mwaka 2020/2021 katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji mpango kazi kwa kipindi cha 2020/2021- kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Nd,Halima Maulid Salum alipokuwa akisoma taarifa ya Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Mkurugenzi Mkuu katika Wizara ya Afya Dk.jamala Adam Taib (kulia)
Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
Mshauri wa Rais Pemba Dk.Mauwa Daftari akichangia katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Mshauri wa Rais Pemba Dk.Mauwa Daftari akichangia katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Afya Zanzibar wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Dk.Shein afungua maonesho ya Kilimo ya Nanenane Viwanja vya Chamanangwe Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwapungia mkono Wananchi waliofika katika ufunguzi wa Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea mabanda ya Maonesho ya Kilimo ya Nanenane,(kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Bi. Maryam Juma Mabodi, baada ya kuyafungua rasmin leo katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa ameshika mfuko ukiwa na Unga wa Shelisheli, wakati akitembelea banda la maonesho la Jumuiya ya Usarivu Mazao Zanzibar katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Afisa Kilimo Pemba Ndg. Amour Juma, akitowa maelezo ya Kilimo Darasa, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kaimu Idara ya Uvuvi Pemba Bi. Hidaya Khamis, akitowa maelezo jinsi ya ufugaji wa Kamba, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane, baada ya kuyafungua rasmin leo 6/8/2020 katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kaimu Idara ya Uvuvi Pemba Bi. Hidaya Khamis, akitowa maelezo jinsi ya ufugaji wa Pweza, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane, baada ya kuyafungua rasmin leo 6/8/2020 katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia na kufurahia akiwa na nyundo na kijembe wakati alipotembelea banda la maionesho la Chuo Cha Mafunzo Zanzibar,wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Mikoa Miwili ya Pemba wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) akihutubia na kuyafungua maonesho hayo.
WANANCHI wa Mikoa Miwili ya Pemba wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) akihutubia na kuyafungua maonesho hay oleo
WASANII wa Kikundi Taarab cha Wajelajela wakitowa burudani wakiimba wimbo maalum wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayifanyuika katika Uwanja wa Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba.
KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Bi. Maryam Juma Sadala (Mabodi) akitowa maelezo ya Kitaalam wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Manenane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba
WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) maonesho hayo yanafanyika katika Viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika Viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba
Rais wa Zanzibar Dk.Shein amefungua Hoteli ya ZSSF Mkoani Hoteli.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF. Bi. Sabra Issa akitowa maelezo baada ya ufunguzi wa Hoteli ya Mkoani Pemba, uliofanyika leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea vyumba vya Hoteli ya Mkoani Pemba iliofanyika Ukarabati Mkubwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) akjipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa ZSSF Bi. Sabra Issa, hafla hiyo ya ufunguzi imefanyika leo 5/8/2020.
WAFANYAKAZI wa ZSSF wakishangilia wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Hoteli ya Mkoani Pemba baada ya kumalizika kwa ukarabati wake.
WANANCHI Kisiwani Pemba wakifuatilia hafla ya mkutano wa ufunguzi wa Hoteli ya Mkoani Pemba baada ya kumalizika kwa ukarabati wake mkubwa uliofanywa na ZSSF, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akiwahutubia katika uwanja wa zimamoto mkoani Pemba leo 5/8/2020.
MUONEKANO wa Hoteli ya Mkoani Pemba iliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) wakati wa hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Mkoani Pemba leo 5/8/2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Mkoani wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Hoteli ya Mkoani Pemba uliofanyika leo 5/8/2020, mkutano huo umefanyika katika uwanja wa zimamoto Mkoani Pemba