Ufunguzi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali walioalikwa katika ufunguzi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar wakiwa katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli hiyo iliyopo Mbweni Wilaya ya Magharibi (B).Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati waliokaa) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Bw Rustamali Merani Shivji (wa pili kulia) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Hoteli hiyo mara baada ufunguzi rasmi uliofanyika leo, Mbweni Wilaya ya Magharibi (B).Mkoa wa Mjini Magharibi,(kushoto) Rais Mstaafu wa Zanzibar DK.Amani Abeid Karume na Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa (wa pili kushoto).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar uliofanyika leo, Mbweni Wilaya ya Magharibi (B).Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mtendaji Mkuu wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Bw Rustamali Merani Shivji wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Hoteli hiyo mara baada ufunguzi rasmi uliofanyika leo, Mbweni Wilaya ya Magharibi (B).Mkoa wa Mjini Magharibi
Dk.Shein amekutana na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali katika Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanziba
Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Ali Mbarouk (kushoto) akitoa ufafanuzi kuhusu deni la Umeme la ZECO ambalo limefutwa na Kampuni ya TANESCO wakati wa mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Mshauri wa Rais katika Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Mhe,Burhani Saadat Haji (kushoto) akichangia wakati wa mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 wa Wizara hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Naibu wa Waziri wa Wizara hiyo Mhe,Juma Makungu Juma
Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee,Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma na Mshauri wa Rais Pemba Mhe Maua Abeid Daftari, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, kulia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma na Mshauri wa Rais Pemba Mhe Maua Abeid Daftari wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, hayupo pichani akingoza mkutano huo wa Utekelezaji wa Bajeti na na Mpango Kazi wa Wizara hiyo, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akifungua Mkutano wa kujadili utekelezaji wa bajeti na Mpango Kazi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kuanzia mwezi Julai 2018 hadi Juni 2019 na Uongozi wa Wizara hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 21-8-2019. Kulia kwa Mhe.Rais ni Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu ya Mafunzo ya Amali Zanzibar Dk. Idrisa Muslim Hijja akiwasilisha Utekelezaji wa bajeti na Mpango Kazi wa Wizara yake kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, Ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein.
BAADHI ya Maofisa wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar,wakifuatilia Mkutano wa kupitia Utekelezaji wa bajeti na Mpango Kazi wa Wizara hiyo ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa bajeti na Mpango Kazi wa Wizara yake kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019, wakati wa mkutano huo na Uongozi wa Wizara yake uliofanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar,
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akifungua Mkutano wa kujadili utekelezaji wa bajeti na Mpango Kazi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kuanzia mwezi Julai 2018 hadi Juni 2019 na Uongozi wa Wizara hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 21-8-2019. Kulia kwa Mhe.Rais ni Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma
Rais wa Zanzibar Dk.Shein amezindua Jumuiya ya Wastaafu na Wazee Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Kadi yake ya Uanachama wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo ya (JUWAZA) Ndg. Masururu Saadun Ferouz na kulia Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Cheti cha Shukrani na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar (JUWAZA) Ndg.Masururu Saadun Ferouz, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar , kulia Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe.Maudline Castico.
WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe.Maudline Castico, akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kuhutubia na kuzindua Jumuiya hiyo, katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakiul Kikwajuni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Mabaraza ya Jumuiya wa Wastaaf na Wazee Zanzibar, baada ya kumalizika ckwa hafla hiyo ya uzinduzi wa Jumuiya yao uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakiul Kikwajuni Zanzibar.
BAADHI ya Wanachama wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar (JUWAZA) wakiitikia dua ikisoma na Mwanachama wa Jumuiya hiyo Sheikh Gharib Bakari Seif kutoka Kijiji cha Gana Wilaya ya Kati Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar (JUWAZA) Ndg.Masururu Saadun Ferouz akizungumza na kutowa neno la shukrani kwa mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, na Viongozi wa meza kuu wakiitikia dua ikisomwa na Sheikg Gharib Bakari Seif kutoka Kijiji cha Gan a Wilaya ya Kati Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo iliofanyika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
BAADHI ya Wanachama wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar wakifuatilia hutba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa Uzinduzi wa Jumuiya yao uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Cheti cha Shukrani alichokabidhiwa na Jumuiya ya Wastaafu na Wazee Zanzibar (JUWAZA) kulia Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico na kushoto Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wastaafu na Wazee Zanzibar Ndg. Masururu Saadun Ferouz.
BAADHI ya Wanachama wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar wakifuatilia hutba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa Uzinduzi wa Jumuiya yao uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na mmoja wa Wazee wa Jumuiya hiyo Bi. Hadia Suleiman kutoka Kijiji cha Dunga Bweni Wilaya ya Kati Unguja baada ya kumalizika hafla hiyo ya Uzinduzi wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar (JUWAZA) uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
Umoja wa Mataifa (UN) umeahidi kuendelea kuiunga mkono Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa UNFPA Nchini Tanzania Ms.Jacqueline Mahon alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kumsalimia Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwakilishi wa UNFPA Nchini Tanzania Ms.Jacqueline Mahon (katikati) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia Rais akiwa na ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza mgeni wake Mwakilishi wa UNFPA Nchini Tanzania Ms.Jacqueline Mahon wakati wa mazungumzo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kumsalimia Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Mwakilishi wa UNFPA Nchini Tanzania Ms.Jacqueline Mahon baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimiana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodrigues alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodrigues alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodrigues baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini
Dk.Ali Mohamed Shein amemuapisha Bi.Khadija Khamis Rajab.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bi. Khadija Khamis Rajab kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda baada ya kumteuwa rasmi katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla kuapishwa Bi.Khadija Khamis Rajab iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.