Dk.Shein amehutubia Baraza la Eld Fitry katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
RAIS wa Zabnzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akibadilisha mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na kulia Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, wakiwa katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea heshima za Baraza la Eid Fitry kwa gwaride Maalum la Jeshi la Polisi Kikosi cha FFU, katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
BAADHI ya Wananchi waliohudhuria hafla ya Baraza la Eid Fitry katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar,wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Fitry wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni kushoto Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe Khamis Juma Mwalim akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein kulihutubia Baraza la Eid Fitry katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
USTADH Miraj Nyange Khamis akisoma Quran Tukufu kabla ya kuaza kwa hafla hiyo ya Baraza la Eid Fitry lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza msoma Quran Ustadh. Miraj Nyange Khamis, wakati wa hafla hiyo ya baraza la Eid Fitry, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni, kushoto Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, Mama Mwanamwema Shein na Mama Fatka Karume
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni kulihutubia Baraza la Eid Fitry baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja akiwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni kuhudhuria hafla ya Baraza la Eid Fitry
BAADHI ya Wananchi waliohudhuria hafla ya Baraza la Eid Fitry katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar,wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Fitry wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia.
BAADHI ya Wananchi waliohudhuria hafla ya Baraza la Eid Fitry katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar,wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Fitry wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia.
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Hutuba ya Baraza la Eid Fitry wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubi, katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
VIONGOZI wa Meza Kuu Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe, Ayoub Mohammed Mahmoud,kushoto Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi,Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Khamis Juma Mwalim na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, wakifuatilia hutba ya Baraza la Eid Fitry kastika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia Baraza la Eid Fitry.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Alhajj Ali Mohamed Shein, akihutubia Baraza la Eid Fitry katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar leo. 5-6-2019
Rais wa Zanzibar Dk.Shein amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Eid Fitry.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Alhajj Ali Mohamerd Shein, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Aman Karume alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuhudhuria Ibada ya Sala ya Eid Fitry,5-6-2019
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Alhajj Ali Mohamerd Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuhudhuria Ibada ya Sala ya Eid Fitry,5-6-2019
SHEIKH Khamis Gharib Khamis akiongosa Sala ya Eid Fitry katika viwanja vya Maisara Suleiman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisikiliza Hutba ya Sala ya Eid Fitry baada ya kumalizika kwa Sala hiyo iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman, kushoto Sheikh Abdalla Talib, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Balozi Seif Ali Iddi na kulia Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali katika viwanja vya Maisara Suleiman baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Fitry kushoto Sheikh Abdalla Talib na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Balozi Seif Ali Iddi na kulia Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.
MZEE Khatib akifutilia hutuba ya Sala ya Eid Fitry katika viwanja vya Maisara Suleiman leo baada ya kumalizika kwa sala hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali katika viwanja vya Maisara Suleiman baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Fitry leo. kushoto Sheikh Abdalla Talib na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Balozi Seif Ali Iddi na kulia Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.
BAADHI ya Viongozi na Wananchi wakifuatilia Hutba ya Sala ya Eid Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
BAADHI ya Viongozi na Wananchi wakifuatilia Hutba ya Sala ya Eid Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatiula hutba ya Sala ya Eid Fitry katika viwanja vya Maisara Suleiman leo ikisomwa na Sheikh Khamis Gharib Khamis.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsalimia Mtoto Abdalla Waziri baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Fitry katika viwanja vya Maisara Suleiman asubuhi.
Dk.Shein amezungumza na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davutaglu, alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wa Kampuni ya Okan kutoka Nchini Uturuki.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania kushoto Mhe. Ali Davutaglu,Mwenyekiti wa Kampuni ya Okan,Bwa. Bekir Okan na Ugur Erkray, wakiwa katika mazungumzo hayo yaliofanyika Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Okan ya Uturuki Bwa.Bekir Okan na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davuttaglu, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar.
Dk.Shein amejumuika na wananchi wa Mkoa wa Mjini Magh katika futari iliyofanyika Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyewkiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dkt. Amani Karume, wakipata futari ya tende katika viwanja vya Ikulu Zanzibar na kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, futari hiyo imefanyika, katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja katika futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi.
MABALOZI Wadogo wanaowakilisha Nchi Zanzibar wanaofanyia zao Zanzibar wakishiriki katika hafla ya futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar katika viwanja vya Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, na kulia Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na kuagana na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakijumuika katika Futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katikac viwanja vya Ikulu Zanzibar.

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na kuagana Rais wa Mstaaf wa Zanzibar Mhe Dkt. mani Karume, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk., Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Mama Fatma Karume, baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu akizungumza na kutowa shukrani kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar
Mama Mwanamwema Shein, amejumuika na watoto Mayatima wa Mazizini katika Futari aliyowaandalia.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuka na Watoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar katika Futari Maalum aliyowaandalia jana 28-5-2019, katika makazi yao mazizini, akiwa na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwa na Mtoto anayelelewa katika Nyumba ya Watoto Mazizini Zanzibar Mtoto Nadir Abdalla mwenye umri wa mwaka moja na miezi mitano, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya futari maalum aliyowaandalia katika makazi yao mazizini Zanzibar.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwa katika futari aliyowaandalia Watoto wa Nyumba ya Serikali ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar, kulia Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman Iddi na kushoto Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Mauydline Castico, wakijumuika na Watoto hao katika futari hiyo iliofanyika katika makazi yao mazizini
WATOTO wa Nyumba ya Watoto Mazizuini Zanzibar wakiwa katika futari ilioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,iliofanyika katika makazi yao mazizini Zanzibar.
WATOTO wanaoishi katika Nyumba ya Serikali ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar wakipata futari walioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, iliofanyika katika makazi yao mazizini
WATOTO wa Nyumba ya Watoto Mazizuini Zanzibar wakiwa katika futari ilioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,iliofanyika katika makazi yao mazizini Zanzibar.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na kuagana na Watoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia katika makazi yao Mazizini akiwa na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi.
WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wazee, Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe.Maudline Castico, akizungumza na kutowa neno la shukrani kwa Niaba ya Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya futari iuliofanyika katika makazi ya Watoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar.