Ikulu Blog

Rais Dk.Shein azungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais Ikulu

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu.
  • KATIBU wa Rais Ndg. Haroub Shaib Mussa akijibu swali lililoulizwa wakati wa kuwasilishwa kwa taarifa ya Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020,katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein
  • BAADHI ya Wakuu wa Idara mbalimbali za Ofisi ya Rais Ikulu wakifuatilia kikao hicho cha kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Maulid, akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji ya Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020,(kushoto) Naibu Katibu Mkuu Ndg, Salum Kassim Ali na Naibu Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi. Ndg Salmin Amour Abdaalla. Wakifuatilia taarifa hiyo wakati ikiwasailishwa
  • BAADHI ya Washauri wa Rais wakifuatila mkutano wa uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Ndg. Salum Kassim Ali akijibu swali wakati wa mkutano huo wa kuwailisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (kulia) Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ndg. Salum Maulid.
  • MKURUGENZI Idara ya Uendeshaji na Utumishi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Makame Juma Ha akijibu swali wakati wa kuwasilisha kwa taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi wa Ofisi ya Rais kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MKURUGENZI Mipango Sera na Utafiti Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Ndg Mwadini Haji akijibu swali wakati wa mkutano huo wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. Ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani)
  • BAADHI ya Maofisa wa Idara mbalimbali Ofisi ya Rais Ikulu wakifuatilia mkutano huo wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Ofisi hiyo kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Ndg. Salum Maulid.(hayupo pichani) kikao kilichofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

MKUTANO WA MAWAZIRI WA SADC,MADINAT AL BAHR MBWENI

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al BahrRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatib Hassan (katikati)
  • Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa Mawaziri wa SADC kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuufungua mkutano huo leo,katika Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Magharibi B,Unguja Mhe. Maabadi Ali Maulid, akitembelea barabara hiyo baada ya ufunguzi wake uliofanyika 5-1-2019.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamo wa Rais, Sera, Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Jenista Joakim Mhagama (kulia) mara alipowasili katika Hotel Madinat Al Bahr, Mbweni Nje ya Mji wa Zanzibar kufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC

Rrais wa Zanzibar Dk.Shein azungumza na Mwakilishi wa Ras al Khaimah

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Al-Khaimah, Bw.Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi,alipofika Ikulu ndogo Migombani Jijini Zanzibar kwa mazungumzo, (kulia) Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania. Mhe.Khalifa Abdulrahman Almarzooqi na Mkurugenzi Mtendaji wa RAK Gas Nishant Dighe
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Al Khaimah.Bw,Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi, alipofika Ikulu Ndogo Migombani na ujumbe wake kwa mazungumzo, akiwa zanzibar akihudhuria Maadhimisho ya sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,(kulia) Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) NchiniTanzania.Mhe.Khalifa Abdulrahaman Al Marzooqi na Mkurugenzi Mtendaji wa RAK Gas.Bw.Nishant Dighe.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Khaimahn Bwana Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi, alipofika Ikulu Ndogo Migombani Jijini Zanzibar, kwa mazungumzo, baada ya kuhudhuria sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilifanyika Uwanja Amaan .

Dk.Shein amehutubia Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapininduzi ya Zanzibar Uwanja wa Aman Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza vla Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wananchi wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza vla Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wananchi wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, alipowasili katika jukwaa kuu wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,zilizofanyika katika Uwanja waAmaan Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Karume na (katikati ) Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt Jakaya Kikwete.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikikagua gwaride Maalum la Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar lililogfanytika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
  • WANACHAMA wa Chama cha CUF wakishiriki katika Maandamano ya kuadhimisha sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar
  • VIJANA wa payunia wakitowa salamu ya heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa maandamano ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • VIJANA wa Maandamano Maalum ya kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa na Picha za Waasisi wa Mapinduzi, wakati wa hafla hiyo iliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania. Mhe. Benjaman Mkapa,alipowasili katika jukwaa kuu kuhudhuria hafla ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • KIKOSI cha Bendera cha JWTZ wakitowa heshima wakati ukipingwa wimbo wa Taifa na mizinga 21, katika hafla ya Maadhimisho ya sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
  • KIKOSI cha JWTZ wakipita kwa ukakamavu kwa mgeni rasmin wa Mandamano na Maonesho ya Amsha Amsha na Mapinduzi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyiuka katika viwanja vya Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Unguja
  • Kikosi cha KMKM Wanaume wakipita kwa mwendo wa kasi wakati wa hafla ya maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipanda gari Maalum ya JWTZ ilioandaliwa katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mama Fatma Karume, Mke wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, alipowasili katika jukwaa kuu, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, alipowasili katika jukwaa kuu wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,zilizofanyika katika Uwanja wa AmaanZanzibar
  • WANANCHI wakishiriki katika Maandamano ya kuadhimisha sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
  • Kikosi cha FFU wakipita kwa mwendo wa polepole wakati wa maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, ilizofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar
  • GWARIDE la Kikosi cha JWTZ wakipita kwa mwendo wa pole pole mbele ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati likipita katika jukwaa kuu la Viongozi Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Dk.Shein ameweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Nyumba za Kwahani jijini Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Ujenzhi wa Nyumba mpya za Mji wa Kwahani Wilaya ya Magharibi Unguja ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Mradi huo Kwahani Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mji Mpya wa Kwahani Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.Ndg.Khamis Mussa, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mji Mpya wa Kwahani Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.Ndg.Khamis Mussa, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wananchi wa Kwahani, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Mradi wa Nyumba za Mji Mpya Kwahani Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Mji Mpya Kwahani Jijini Zanzibar,kutoka Kampuni ya Arqes Africa Ltd .Rose Nestory na (kulia kwa Rais)Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, ikiwa ni shamra shamra za sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa,akitowa maelezo ya Ujenzi wa Mji Mpya wa Kwahani Jijini Zanzibar, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi huo unaofanyika katika eneo la kwahani.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Nyumba za Mji Mpya wa Kwahani Jijini Zanzibar,hafla hiyo imefanyika katika eneo hilo la ujenzi kwahani ikiwa ni shamra shamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • BAADHI ya Viongozi wa Idara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani) wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa nyumba za mji mpya wa kwahani jijini Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • BAADHI ya Wananchi wa Kwahani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani) wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba za mji mpya wa kwahani jijini Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa akizungumza wakati wa uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za Mji Mpya wa Kwahani Jijini Zanzibar. ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.