Ikulu Blog

Dk.Shein amezungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua wa Utekelezaji wa Mpango Kazi Wiizara ya Biashara Viwanda Zanzibar, katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo kwa mwezi wa Julai 2018 hadi March2019.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo kwa mwezi wa Julai 2018 hadi March2019.
  • WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe Balozi Amina Salum Ali akisoma taarifa ya Wizara yake wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo, uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar kulia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Ndg. Ali Khamis.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
  • BAADHI ya Watendaji wa Idara za Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar ,wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
  • NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Ndh Ali Khamis,akisoma taaripa ya Matumizi na Mapato ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizatra ya Biashara na Viwanda Zanzibar, wakati wa mkutano huo uliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
  • BAADHI ya Watendaji wa Idara za Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar ,wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
  • MKURUGENZI wa Idara ya Masoko Dkt. Abdallah Rashid Abdallah akichangia wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi,uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
  • MKURUGENZI wa Idara ya Biashara Ndg.Khamis Ahmada Shauri,akichangia wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi, katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
  • BAADHI ya Watendaji wa Idara za Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar ,wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
  • WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali kulia na kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg. Ali Khamis wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzu Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango wa Wizara ya Biashara na Viwanda kwa mwezi wa Julai 2018 na Marchi 2019, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar, wakiwa na Maofisa wa Idara za Wizara hiyo.

Dk.Shein amezungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisoma Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Wizara ya Ardhi,Nyumba Maji na Nishati, wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Ndg Ali Khalil Mirza, wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba Maji na Nishati Zanzibar, wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha Julai 2019 hadi MarcRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba Maji na Nishati Zanzibar, wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha Julai 2019 hadi Marc
  • KATIBU Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Asha Ali Abdalla akiwasilisha Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar kuazi Julai 2019 hadi Marchi 2019,uliofanyika katika ukumbi wa mkutano Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.kulia Mshauri wa Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Mohammed Jidawi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi
  • VIONGOZI wa Wiuzara ya Afya Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ikulu Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar kwa kipindi cha Julai 2018 hadi Marchi 2019, uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
  • NAIBU Waziri wa Wizara ya Afya Zanzibar Mhe. Harusi Said Suleiman akizungumza wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar.
  • MKURUGENZI Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dr. Fadhil Mohammed akichangia wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar.wakati wa mkutano huo.
  • MKURUGENZI wa Bohari Kuu ya Dawa Zanzibar Dr.Zahrani Ali Hamad, akichangia wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpongo Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar. uliofanyika katika ukumbi wa mkutano Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
  • MKURUGENZI Mkuu Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Dr.Dr. Mayasa Salum Ally akichangia wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mipango Kazi Wizara ya Afya uliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
  • BAADHI ya Watendaji wa Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
  • MAOFISA wa Idara za Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo, uliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
  • KATIBU Mtendaji Kamisheni ya Ardhi Zanzibar Ndg. Ahmed Abdraman Rashid akichangia wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
  • MAOFISA wa Idara za Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo, uliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
  • MAOFISA wa Idara za Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo, uliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.

Dk.Ali Mohamed Shein amezungumza na Balozi wa Brazil Nchini Tanzania.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Heshima wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Zanzibar Mhe. Abdulsamad Abdulrahim, alipowasili katika ukumbi wa mkutano Ikulu Zanzibar, katikatika Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe.Antonio Augusto Cesar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania.Mhe. Antonio Augusto Cesar, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifurahia jambo wakati akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe. Antonio Augusto Cesar, alipofika Ikulu Zanzibar kwa kujitambulisha na mazungumzo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Mlango (Zanzibar Door) Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe. Antonio Augusto Cesar, baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe. Antonio Augusto Cesar, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar, alipofika kujitambulisha
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja kushoto Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazili Nchini Tanzania Mhe. Antonio Augusto Cesar, Afisa wa Ubalozi wa Brazil Bi. Daniella Xavier na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu na kulia Balozi wa Heshima Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Zanzibar.Bwa. Abdulsamad Abdulrahim na Kaimu Mkurugenzi Ofisi ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Zanzibar,Balozi Mohammed Hamza. wakiwa katika picha ya pamoja.

Dk Shein amezungumza na Mwakilishi wa Unicef nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na mgeni wake Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi.Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar, kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini, kushoto akiwa na Mwakilishi wa UNICEF anayefanyika Kazi zake Zanzibar Bi. Maha Damaj.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa picha na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani , yenye Ujumbe Unaoashiria Upendo kwa Watoto, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga

Rais wa Zanzibar Dk.Shein amefungua majengo ya Wizara tatu za smz Pemba

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Magengo Matatu ya Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zilioko katika eneo la Gombani Wilaya ya Chakechake Pemba, kulia Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kufungua majengo ya Wizara Tatu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kushoto Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa na kulia Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Khamis Juma Maalim, wakishiriki katika ukataji wa utepe huo wakati hafla ya ufunguzi wa majengo hayo
  • Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa, akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea majengo hayo baada ya kuyafungua rasmin kisiwani Pemba katika eneo la Gombani.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mshauri wa Ujenzi wa Majengo Matatu ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ndg. Mbarouk Juma, wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Majengo hayo eneo la Gombani Pemba.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiuliza mswali wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa majengo hayo katika eneo la Gombani Pemba
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kaimu Afisa Mdhamini Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Pemba Ndg. Hakim Vuai Shein, kulia, wakati akitembelea jingo la Wizara hiyo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mjenzi wa Majengo ya Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ndg. Khamish Ali Khamis, ( na kushoto Mshauri Elekezi wa Mradi wa Ujenzi huo Ndg. Mbarouk Juma.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mjenzi wa Majengo hayo wakati alitembelea majengo hayo baada ya kuyafungua rasmin
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwatubia Wananchi waliohudhuria hafla hiyo ya ufunguzi wa majengo hayo.
  • Majengo ya Wizara Tatu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yaliojengwa katika eneo la Gombani Kisiwani Pemba Wilaya ya Chakechake yaliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mshauri wa Ujenzi wa Majengo Matatu ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ndg. Mbarouk Juma, wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Majengo hayo eneo la Gombani Pemba.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akielekea katika eneo lililotengwa kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi waliohudhuria hafla hiyo ya ufunguzi wa majengo hayo.
  • Wakuu wa Idara za Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo katika viwanja vya Majengo ya Wizara Tatu za SMZ.
  • Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa, akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea majengo hayo baada ya kuyafungua rasmin leo kisiwani Pemba katika eneo la Gombani.
  • Baadhi ya Wananchi wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Majengo ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hafla hiyo baada ya ufunguzi wake
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kaimu Afisa Mdhamini Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Pemba Ndg. Hakim Vuai Shein, kulia, wakati akitembelea jingo la Wizara hiyo.