Dk.Shein amefungua Barabara na kituo cha Afya Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la Barabara ya Kuyuni hadi Ngomeni kulia Mama Mwanamwema Shein, na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dr, Sira Ubwa Mwaboya,uzinduzi huo umefanyika akiwa katika ziara yake Wilaya ya Chakechake Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Barabara mpya ya kiwango cha lami kutoka Kiyuni hadi Ngomeni Wilaya ya Chake Chake Pemba kulia Mke wa Rais wa Rais Mama Mwanamwema Shein, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe. Dr, Sira Ubwa Mwaboya.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali wakitembelea barabara mpya iliojengwa kwa kiwango cha lami kutoka Kuyuni hadi Ngomeni Wilaya ya Chake Chake Pemba akiwa katika ziara yake kutembelea miradi ya maendeleo Kisiwani Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembeleac Kituo cha Afya cha Ngomeni Wilaya ya Chakechake Pemba baada ya kukifungua rasmin leo akiwa katika ziara yake Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,pamoja na Viongozi mbali mbali wakimsikiliza Daktari Dhamani wa Wilaya ya Mkoani Pemba Dr.Mohammed Faki Saleh, akiwa katika moja ya vyamba vya Kituo cha Afya cha Ngomeni Wilaya ya Chakechake baada ya kukifungua Kituo hicho
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Shein, akiweka Jiwe la Msingi la Kituo cha Afya cha Ngomeni Wilaya ya Chakechake Pemba kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, na kushoto Waziri wa Ardhi Maji, Nishati na Makaazi.Mhe.Salama Aboud Talib.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, na Mama Mwanamwema Shein,wakimsikiliza Daktari Dhamani wa Wilaya ya Mkoani Pemba Dr,Mohammed Faki Saleh akitowa maerlezo kabla ya kuweka jiwe la msingi la Kituo cha Afya cha Ngomeni.
Dk.Shein amefungua Jengo la Skuli ya Sekondari ya Michezani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari ya Michezani Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo.kulia kwa Rais Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuifungua Skuli ya Sekondari ya Michezani Wilaya ya Mkoani Pemba, leo akiwa katika ziara yake kulia Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati hafla ya Uzinduzi wa Madarasa ya Skuli ya Sekondari ya Michezani Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba, akiwa katika ziara yake kutembelea Mikoa ya Kusini na Kaskazini Pemba kuangalia miradi ya Maendeleo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein , na kulia Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri, wakisoma maelezo ya jiwe la msingi la Skuli ya Sekongari ya Michezani baada ya ufunguzi wake
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Bi. Madina Mjaka,akitowa Taarifa ya Kitaalam ya ujenzi wa Madarasa ya Skuli ya Sekondari ya Michezani Wilaya ya Mkoani Pemba wakati wa hafla hiyo ya uwekaji wa jiwe la msingi
WANAFUNZI wa Skuli ya Michezani Wilaya ya Mkoani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein. hayuko picha wakati wa hafla ya uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Michezani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza Mwanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Michezo baada ya kumaliza kusoma Quran Surat Afaq Mwanafunzi Salim Shehe Hussein, kulia kwa Rais Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
WANANCHI wa Kijiji cha Michezani Wilaya ya Mkoani Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi na uwekaji wa jiwe la msingi Skuli ya Sekondari ya Michezani Pemba
VIONGOZI wa Serikali na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Alim Mohamed Shein,wakati wa hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Michezani Kisiwani Pemba leo akiwa katika ziara yake, kutembelea Miradi ya Maendelo.
BAADHI ya Viti na Meza Mpya vilivyoagizwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa ajili ya Skuli za Sekondari na Msingi Zanzibar,tayari vimeshagawiwa kwa Skuli za Sekondari za Unguja na Pemba, kwa ajili ya matumizi ya Wanafunzi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Mama Mwanamwema Shein,wakimsikiliza Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Mhe.Said Soud, akizungumza wakiwa katika ziara ya kutembelea maeneo ya uchimbaji wa mchanga Finya Wilaya ya Micheweni Pemba, akiwa katika ziara yake Kisiwani Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Bi. Maryam Juma Mabodi,kushoto na mwa mwisho Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Omar Othman,akitowa maelezo ya moja eneo la uchimbaji wa mchanga Finya Wilaya ya Micheweni Pemba, akimuonesha aina ya mchanga unaochimbwa katika shimo hilo wakati wa ziara yake Wilaya ya Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika eneo la moja ya mashimo ya uchimbaji wa mchanga Finya Wilaya ya Micheweni Pemba, akiwa katika ziara ya Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Kisasa la Mikutano la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Jengo Jipya la Kisasa la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba kulifungua na Kuweka Jiwe la Msingi la jengo hilo
JENGO Jipya la Mikutano la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba lililofunguliwa na na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa na Viongozi wa CCM na Serikali wakiwa wamesimama wakati wakiimba wimbo wa Sisi Sote Tumegomboka,alipowasili katika ukumbi wa mkutano wa Halmashauri ya Micheweni Pemba akiwa katika ziara yake Wilaya ya Micheweni
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Bi. Radhia Rashid Haroub akitowa taarifa ya kiufundi ya ujenzi wa ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba, wakati wa mkutano wa majumuisho ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,katika Wilaya ya Micheweni
VIONGOZI wa CCM Wilaya ya Micheweni Pemba wakiwa wamesimama wakati wa Mkutano wa CCM na Majumuisho ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katika Wilaya ya Micheweni Pemba
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza Katibu wa CCM Wilaya ya Michewni Ndg. Hassan Khatb Hassan,baada ya kumkabidhi ripoti ya Utekelezaji wa Kazi za CCM za Wilaya wakati wa mkutano wa majumuisho uliofanyika katika ukumbi mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdallah Juma Mabodi, wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni,wakati wa mkutano wa majumuisho ya ziara yake katika Wilaya hiyo.
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdallah Juma Mabodi akizungumza wakati wa Mkutano na Viongozi wa CCM Wilaya ya Micheweni Pemba,uliofanyika katika ukumbi mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweniu,katika hitimisho la ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika Wiala hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti ya CCM Zanzibar, akizungumza na Viongozi wa CCM Wilaya ya Micheweni wakati wa mkutano wake wa majumuisho uliofanyika katika ukumbi mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ. Mhe. Haji Omar Kheri, akizungumza wakati mkutano wa majumuisho ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika uykumbi wa Halmashauri Wilaya ya Micheweni Pemba
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake uliofanyika ukumbi mpya wa Halmashari ya Wilaya ya Micheweni Pemba
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mojhamed Shein, akizungumza na Viongozi wa CCM wa Wilaya ya Wete Pemba wakati wa mkutano wa majumuisho wa ziara yake katika Wilaya Wete uliofanyika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
Dk.Shein amewasili Kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Wananchi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba,jioni kwa ajili ya ziara yake ya Kiserikali kwa Mikoa miwili ya Kusini na Kaskazini Pemba inayotarajiwa kuaza kesho.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah,alipowasili Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume Chake chake Kisiwani Pemba jioni, kwa ajili ya Ziara yake ya Kiserikali inayotarajiwa kuaza kesho kutembelea Miradi mbalimbali ya Maendeleo.
Dk.Shein amemaliza ziara yake Wilaya yan Kusini Unguja.
Baadhi ya Viongozi wa CCM wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika ukumbi wa Hoteli ya Residence Kimzimkazi Wilaya ya Kusini Unguja
Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Ndg. Idrisa Kitwana akikabidhi Ripoti ya Utekelezaji wa Kazi za Wilaya ya Kusini kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa mkutano wa Majumuisho ya ziara yake uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Residence Kizimkazi Unguja
Katibu wa CCM Wilaya ya Kusini Unguja Ndg. Hafidh Hamad Mkadam,akiwakilisha Ripoti ya Utekeleza ya Kazi za CCM za Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa Mkutano wa Majumuisho ya ziara yake katika Wilaya hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisoma Ripoti ya Utekelezaji ya CCM Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa mkutano wake wa Majumuisho ya ziara yake katikia Wilaya hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Siasa na Serikali wakiwa wamesimama wakati wakiimba wimbo wa 'Sisi Sote Tumegombaka' wakati wa hafla ya Mkutano wa Majumuisho ya ziara yake katika Wilaya ya Kusuini Unguja uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Residence Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja Mkoa wa Kusini.
Baadhi ya Mawaziri na Viongozi wa CCM wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Residence Kizimkazi wakiimba wimbo wa 'Sisi Sote Tumegomboka' wakati wa mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika Wilaya ya Kusini Unguja
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdallah Juma Mabodi akizungumza wakati wa Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Wilaya ya Kusini Unguja uliofanyika katiuka ukumbi wa hoteli ya Residence Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji Zanzibar(ZAWA) Ndg. Mussa Ramadhan Haji akitowa maelezo ya uimarishaji wa huduma ya Maji Safi na Salama katika Miradi ya Usambazaji wa Maji katika Wilaya ya Kusini Unguja unavyotekelezwa na ZAWA kwa Wananchi wa Wilaya hiyo, wakati wa majumuisho ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Residence Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja wakati kuhitimisha ziara hiyo katika Wilaya ya Kati Unguja.
Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Ndg. Idirisa Kitwana,akiwasilisha Ripoti ya Utekelezaji ya Kazi za Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa mkutano wake huo baada ya kumaliza ziara yake katika Wilaya hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika mkutano wa Majumuisho ya ziara yake katika Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja,katika ukumbi wa Hoteli ya Residence Kizimkazi
Dk.Shein ameendelea na ziara yake Wilaya ya Kati Unguja.
BAADHI ya Wananchi na Viongozi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,hayuko picha, akiwahutubia wakatin wa ziara yake katika Wilaya ya Kati Unguja, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi Unguja
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdallah Juma Mabodi,akizungumza wakati wa mkutanio huo uliofanyika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi Wilaya ya Kati Unguja
VIONGOZI wa CCM wakiwa katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Coconut Tree Marumbi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akisoma Taarifa ya Utekrelezaji ya Wilaya ya Kati Unguja baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Bi Mashavu Said Sukwa, baada ya kuiwakilisha, wakati wa mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi.
VIONGOZI wa CCM wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiingia katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi Wilaya ya Kati Unguja
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ. Mhe. Haji Omar Kheri, akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Kati kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wananchi wa Wilaya ya Kati Unguja, katika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi.
MKUU wa Wilaya ya Kati Unguja Bi. Mashavu Said Sukwa, akiwasilisha Ripoti ya Utekelezaji ya Wilaya wakati wa Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi Wilaya ya Kati Unguja
WANANCHI wa Kisiwa cha Uzi, wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia katika viwanja vya mpira Uzi, akiwa katika ziara yakje Wilaya ya Kati Jimbo la Tunguu Zanzibar, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Maandalizi na Msingi Ng'ambwa.
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kati Unguja Bi, Salma Omar Said, akiwasilisha Taarifa ya Chama ya Utekelezaji wa Kazi zake wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Coconut Tree Marumbi Wilaya ya Kati Unguja.