Ikulu Blog

Dk.Shein amewaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Ndg. Khalid Abdallah Omar.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Ndg. Khalid Abdallah Omar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali kushoto Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid,Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja.Bi. Hamida Mussa Khamis na Naibyu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Ndg Khalid Abdallah Omar na kulia Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.Said Hassan Said,Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Saleh Kabi na Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg.Omar Said Ameir.
  • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakihudhuria hafla ya kuapishwa Viongiozi walioteuliwa hivi karibuni, kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Saleh Kabi
  • BAADHI ya Wanafamilia wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakihudhuria hiyo ya kuapisha iliofanyika Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza Naibu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Ndg. Khalid Abdallah Omar, wakati wa hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Bi. Hamida Mussa Khamis, hafla hiyo imefanyika 13-3-2019, Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Ndg. Khalid Abdallah Omar, hafla hiyo imefanyika 13-3-2019, katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mtendaji Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir, hafla hiyo imefanyika 13-3-2019
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini hati ya Kiapo ya Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.

Mama Mwanamwema Shein mgeni rasmin siku ya Wanawake Gombani Pemba.

  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania.(UWT) Bi.Gaudensia Kabaka,alipowasili katika uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba, kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kitaifa zimefanyika Kisiwani Pemba katika Uwanja wa Gombani 8-3-2019.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akitembelea Maonesho ya Wajasiriamali Wanawake Kisiwani Pemba yaliofanyika katika viwanja vya Gombani chakechake, kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiangalia Bidhaa za Wajasiriamali Wanawake wa Kisiwani Pemba wakati akitembelea maonesho hayo ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kisiwani Pemba Uwanja wa Gombani, kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama.Asha Suleiman Iddi.
  • Wanawake kutoka sehemu mbali mbali Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akihutuba wakati wa hafla hiyo ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Pemba 8-3-2019.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akiwasalimia Vijana wa Madrasa kutoka Chake Chake wakipiga dufu,wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kisiwani Pemba katika Uwanja wa Gombani.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kitaifa Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba,8-3-2019.

Dk.Shein,amezungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China. Bwa.He.Liehui, aliupofika Ikulu Zanzibar,8-3-2019, kwa ajili ya mazungumzo.kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe. Jaji Thomas Mihayo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China, kushoto Bwa, He.Liehui, akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe. Jaji Thomas Mihayo.wakiwa katika mazungumzo hayo Ikulu Zanzibar 8-3-2019
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe.Jaji Thomas Mihayo, akimtambulisha Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China, Bwa, He. Liehui, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo,8-3-2019,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China. Bwa.He.Liehui, aliupofika Ikulu Zanzibar,8-3-2019, kwa ajili ya mazungumzo.kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe. Jaji Thomas Mihayo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe.Jaji Thomas Mihayo, wakitoka katika ukumbi Ikulu baada ya kumaliza mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China Bwa, He.Liehui 8-3-2019.

Dk.Shein amewaapisha Mawaziri na Makatibu Wakuu.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Hati ya kiapo Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohamed Said.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar.Mhe. Khamis Juma Mwalim, baada ya kula kiapo,Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, hafla hiyo imefanyika Ikulu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe.Haroun Ali Suleiman, baada ya hafla hiyo iuliofanytika Ikulu Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Kilimo,Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Ncho Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Ndg. Yakout Hassan Yakout
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekitri wac Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Katiba na Sheria.Mhe. Khamis Juma Mwalim, hafla hiyo imefanyika Ikulu mjini Zanzibar.
  • Baadhi ya Mawaziri na Viongozi wa Dini wakihudhuria hafla ya kuapishwa Mawaziri na Makatibu Wakuu waliowachagua hivi karibuni
  • Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Said Hassan Said, wakihudhuria hafla ya kuapishwa Mawaziri na Makatibu Wakuu walioteuliwa hivi karibuni,hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar
  • Rais wa Zanzibare na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Nainu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar,Mhe.Simai Mohammed Said, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba, Maji na Nishati. Ndg. Salhina Ameir Mwita, hafla hiyi imefanyika Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba na Sheria Ndg Goerg Joseph Kazi, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi, anayeshuhulikia Masuala ua Uvuvi na Mifugo Dr.Omar Ali Amir Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akisaini Hati ya Kiapo ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar anayeshughulikia Masuala ya Mifugo na Uvuvi Dr.Omar Ali Amir Ikulu Mjini zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Bi.Mansura Misi Kassim, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Ndg Seif Shaban Mwinyi, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Mkuu wa Serikali Mhe. Said Hassan Said na kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Ussi Gavu na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh, Omar Saleh Kabi,waliosimama nyumba ni Mawaziri aliowaapisha Ikulu Zanzibar.

Dk.Shein,amezungumza na Naibu Wazir wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas D.Ndumbaro, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Mhe.Dkt. Damas D.Ndumbaro, wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar.