Dk.Shein amezungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni, Sanaa na Michezo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi wa Mwaka 2017/2018 sambamba na Mpango kazi wa Mwaka 2018-2019, kilichofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Waziri wa Vijana,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Balozi Ali Abeid Karume (katikati) akisoma muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha Julai 2017 hadi Juni 2018 katika kikao cha siku moja cha Uongozi kilichofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee (kulia) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe,Lulu Msham Abdalla (kushoto).
Dk.Shein amekutana na Uongozi wa Wizara ya Kilimo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi katika mkutano wa utekelezaji wa mapango kazi wa mwaka 2017-2018 na mpango kazi wa mwaka 2018-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Nd,Maryamu Juma Abdalla Saadala (kushoto) alipokuwa akisoama utekelezaji wa mapango kazi wa mwaka 2017-2018 katika mkutano wa Uongozi wa Wizara hiyo wa utekelezaji wa mapango kazi wa mwaka 2017-2018 samba mba na mpango kazi wa mwaka 2018-2019 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Naibu katibu Mkuu wa Wizara hiyo Ndg,Ahmad Kassim Haji.
Baadhi ya wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Nd,Mussa Aboud Jumbe wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa utekelezaji wa mapango kazi wa mwaka 2017-2018 na mpango kazi wa mwaka 2018-2019 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Naibu Waziri wa Kilimo,Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe.Dkt.Makame Ali Ussi (kushoto) alipokuwa akichangia katika mkutano wa utekelezaji wa mapango kazi wa mwaka 2017-2018 na mpango kazi wa mwaka 2018-2019 wa Wizara hiyo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wengine Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee (kulia) na Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Rashid Ali Juma.
Mkurugenzi katika Idara ya Maendeleo ya Uvuvi katika Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Nd,Mussa Aboud Jumbe akichangia wakati wa mkutano wa utekelezaji wa mapango kazi wa mwaka 2017-2018 na mpango kazi wa mwaka 2018-2019 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais Dk.Shein amekutana Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya ardhi, Nyumba,Maji na Nishati katika mkutano wa siku moja katika utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka 2017-2018 na mpango Kazi kwa mwaka 2019-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini zanzibar.
Wizari wa Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Mhe. Salama Aboud Talib akisoma muhtasari wa taarifa yake katika mkutano wa siku moja katika utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka 2017-2018 na mpango Kazi kwa mwaka 2019-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee.
Mhandisi Mji Mkongwe Nd,Mussa Awesu (kushoto) alipokuwa akitoa maelezo yanayohusu idara yake hasa Mradi wa Green Corridor unaoanzia Mkunazini hadi Posta Kijangwani wakati wa mkutano wa siku moja wa Wizara ya Ardhi, Nyumba,Maji na Nishati katika utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka 2017-2018 na mpango Kazi kwa mwaka 2019-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Ardhi Zanzibar Ahmeid Rashid akitowa maelezo katika mkutano wa siku moja katika utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka 2017-2018 na mpango Kazi kwa mwaka 2019-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,Mwenyekiti wake akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Mhe. Juma Makungu Juma.
Mkurugenzi Mkuu wa Zura Bw.Haji Kali Hajii akitoa ufafanuzi kuhusu namna Uagiziaji wa Mafuta yanayofika Nchini na hatimae kuuzwa kwa Wananchi wakati wa Kikao cha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka 2017-2018 na mpango Kazi kwa mwaka 2019-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini zanzibar.
Dk.Shein wamekutana na ujumbe wa Madaktari kutoka China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Kutoka Nchini China waliofika kumuaga na kujitambulisha leo wakiongozwa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Bw.Xie Yunliang(wa tatu kulia) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Miongoni mwa Madaktari Kutoka Nchini China wakimskiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Madaktari hao ulioongozwa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Bw.Xie Yunliang (hayupo pichani) ambao walifika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar na wengine kumuaga Rais, baada ya kumaliza muda wao wa kazi walizopangiwa hapa Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akimsikiliza Dk.Wang Hao kiongozi wa Madaktari waliomaliza muda wao kazi hapa Nchini walipofika kumuaga Rais katika Ukumbi wa Ikuklu Mjini Zanzibar wakiongozwa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Bw.Xie Yunliang (katikati).
Baadhi ya Madaktari wapya Kutoka Nchini China wakimskiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Madaktari hao ulioongozwa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Bw.Xie Yunliang (hayupo pichani) ambao walifika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar ambao watapangiwa kutoa huduma mbali mbali katika Hospitali za Unguja na Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Bw.Xie Yunliang baada ya mazungumzo akiwa na ujumbe wa Madaktari waliomaliza muda wa kazi na Madaktari waliofika kujitambulisha katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (wa pili kushoto) akiwa katika picha na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Bw.Xie Yunliang(kulia) pamoja na Kiongozi wa Madaktari waliomaliza muda wa kazi Dk.Wang Hao (kushto) na Dk.Zhang Zhein Kiongozi wa Madaktari wapya kutoka China baada ya mazungumzo waliofika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Uzinduzi wa mfumo wa Usajili wa mtandao wa Kompyuta.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Mfumo wa Usajili kwa kutimia Mtandao wa Kompyuta kwa taasisi za Biashara na Amana kwa Mali zinazohamishika,hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar (kushoto) Mkuu wa idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya Komptuta katika Wizara ya Biashara na Viwanda Ibrahim Salum Saleh na (kulia) Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi Amina Salum Ali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akipokea mashine itakayomuwezesha kuona data mbali mbali wakati wowote,wakati wa Uzinduzi wa mfumo wa Ukusanyaji Kodi kwa njia ya Kielektroniki (Electronic Revenue Collection System e-RCS
Washiriki katika uzinduzi wa Mfumo wa Usajili kwa kutimia Mtandao wa Kompyuta kwa taasisi za Biashara na Amana kwa Mali zinazohamishika, hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi Amina Salum Ali alipokuwa akizungumza mafupi na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ili kutoa hutuba yake katika uzinduzi wa Mfumo wa Usajili kwa kutimia Mtandao wa Kompyuta kwa taasisi za Biashara na Amana kwa Mali zinazohamishika,hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika , uzinduzi wa Mfumo wa Usajili kwa kutimia Mtandao wa Kompyuta kwa taasisi za Biashara na Amana kwa Mali zinazohamishika,hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.