Ikulu Blog

Mziko ya Mzee Kwacha yaliyofanyika kijijini Paje Unguja.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika maziko ya Marehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha) Mwanasiasa Mkongwe wa CCM katika Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini Unguja
  • Miongoni mwa Waislamu wakiwa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Paje Wilaya ya Kusini Unguja, wakati wa Hitma ya Marehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha) Mwanasiasa Mkongwe wa CCM.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) pamoja na Mashekhe mbali mbakli wakiitikia Dua ya Marehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha) Mwanasiasa Mkongwe wa CCM baada ya kisomo cha Khitma katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Paje Wilaya ya Kusini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ( kulia) alifika kuwapa mkono wa pole Wanafamilia ya Marehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha) Mwanasiasa Mkongwe wa CCM Nyumbani kwao baada ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) alijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali leo katika kumswalia Marehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha) Mwanasiasa Mkongwe wa CCM katika Msikiti wa Ijumaa Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini Unguja
  • Maelfu ya Wananchi kutoka sehemu mbali mbali za Zanzibar na Tanzania Bara walijumuika katika maziko ya Mwanasiasa Mkongwe wa CCM Marehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha) yaliyofanyika katika Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini Unguja

MAMA MWANAMWEMA SHEIN AHUTUBIA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI VIWANJA VYA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiangalia nguo ilioshonda na Kikundi cha Siri Moyoni Unguja Ukuu, wakati akitembelea maonesho ya Wanawake wa Mkoa wa Kusini Unguja kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.
  • AFISA wa Save The Children Zanzibar, Bingambo Maulid, akitowa maelezo ya kupinga udhalilishaji kwa Wanawake na Watoto wakati wa maonesho ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Dunianbi yaliofanyika katika viwanja vya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.
  • WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja wakishangilia wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iyaliofanyika katika viwanja vya Makunduchi.
  • WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wamejitokeza katika zoezi la uchangiaji wa Damu wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake katika viwanja vya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.
  • WASANII wa Kikundi cha Zanzibar Roots cha Makombora wakionesha mchezo wa unyanyasaji wa Wanawake wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yalioadhimishwa Kitaifa katika viwanja vya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.
  • WANANCHI wa Mikoa wa Kusini Unguja Unguja, wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwahutubia wakati wa kuadhimisha kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani huadhimishwa kila mwaka ifikapo Marchi 8, maadhimisho hayo yamefanyika katika viwanja vya Makunduchi Wilaya Kusini Unguja
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akimapata maelezo ya utengenezaji wa majiko na mikungu kwa kutumia malighafi ya udongo,akitowa maelezo Kiongozi wa Kikundi cha Tusitegeani Muyuni C Unguja,Bi. Fete Khamis wakati akitembelea maonesho ya Bidhaa za Wanawake katika viwanja vya makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akitembelea maonesho ya Wanawake wa Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani akimuangali Bi. Mwashamba Juma wa Kikundi cha Ushoni cha Siri Moyoni Unguja Ukuu,akiwa katika ushono wa nguo wakati wa maonesho hayo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya ZTE wakati alipofika Ikulu Zanzibar ukiongozwa na Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE Bw.Zhao Peng (wa pili kulia)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akisisitiza jambo wakati alipokuwa na mazungumzo na Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE Bw.Zhao Peng,wakati alipofika Ikulu Zanzibar pamoja na Ujumbe aliofuatanan nao
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE Bw.Zhao Peng, alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatnana nao

Dk.Shein amewaapisha Viongozi mbali mbali wa Serikali.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Hassan Khamis Hafidh kuwa Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Rajab Ali Rajab kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Dkt.Makame Ali Ussi kuwa Naibu Waziri wa Kilimo,Maliasili, Mifugo na Uvuvi, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Issa Juma Ali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya Kaskazini "B" Unguja,
  • Viongozi mbali mbali waliohudhuroa katika hafla ya kuapishwa Mawaziri,Naibu Mawaziri na Wakuu wa Wilaya katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo,ambapo Viongozi hao waliapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Choum Kombo Khamis kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Naibu Waziri wa Habari,Utalii, Utamaduni na Michezo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Shadia Mohamed Suleiman kuwa Naibu Waziri wa Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Salama Aboud Twalib kuwa Waziri wa Ardhi,Nyuma,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Ardhi, Maji,Nishati na Mazingira
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Juma Makungu Juma kuwa Naibu Waziri wa Ardhi,Nyuma,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Naibu Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Maudline Cyrus Castico kuwa Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee,Wanawake na Watoto, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Mahmoud Thabit Kombo kuwa Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya kale katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Afya
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Futari iliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika Viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Mikoa huo kila ifikapo mwezi 27 ya Mfungo wa Ramadhan.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Rashid Ali Juma kuwa Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Habari, Utalii,Utamaduni na Michezo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Hamad Rashid Mohamed kuwa Waziri wa Afya katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi
  • Baadhi ya Mawaziri na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa baadhi ya Mawaziri walioteuliwa kuongoza wizara mbali mbali za Serikali katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zabnzibar leo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Dkt.Sira Ubwa Mamboya kuwa Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Balozi Ali Abeid Karume kuwa Waziri wa Vijana, Utamaduni,Sanaa na Michezo katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji

Dk.Shein amekutana na Viongozi wa Tume ya Uchaguzi Taifa.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Hamid Mahmoud Hamid kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali walihudhuria.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Jaji Khamis Ramadhan Abdalla kuwa Mjumbe wa Tume Mpya ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, ambapo Viongozi mbali mbali walihudhuriaM.Mahmoud.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage alipofika Ikulu Mjini Zanzibar pamoja na ujumbe aliofuatana nao
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Jecha Salim Jecha mara baada ya kukabidhi Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume hiyo kwa kipindi cha miaka mitano walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.

Dk.Shein (kulia) amekutana na Balozi wa Nigeria katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Nigeria katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Sahabi Isa Gada alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha kwa Rais
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Nigeria katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Sahabi Isa Gada wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi wa Nigeria katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Sahabi Isa Gada alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kujitambulisha.