Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za kutimiza miaka 72 ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika jana katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar,
Sherehe za kutimiza miaka 72 ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za kutimiza miaka 72 ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika jana katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez wakati wa sherehe za kutimiza miaka 72 ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez wakati alipowasili katika Hoteli ya Serena Zanzibar jana katika sherehe za Umoja wa Mataifa UN kutimiza miaka 72 tokea kuasisiwa kwake
Dk.Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na MipangoMipango katika kikao cha Utekelezaji
Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza na Uongozi wa Wizara hiyo leo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Dk.Shein, ameupongeza uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwa kutekeleza majukumu yake
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakifuatilia kwa makini taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 iliyosomwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Nd,Khadija Bakari Juma(wa pili kushoto) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakiwa katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake **Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na (kushoto) Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Mmanga Mjengo Majawiri
Dk.Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya katika kikao cha Mpango kazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Dk.Jamala Adam Taib alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai-Septemba 2017 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Afya wakiwa katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya Maafisa wa Idara mbali mbali katika ya Wizara ya Afya wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akifungua kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai-Septemba 2017 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
Baadhi ya Wajumbe kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiimba wimbo wa Chama kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika kikao cha Siku moja kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja (kushoto) Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan na (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Juma (Mabodi)