Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi ameshiriki Sala ya Eid Al-Adha Masjid Taqwaa Bambi Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akibadilishama mawazo na Viongozi wa Serikali,baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha, iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja, leo 7-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijuika na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika kuitikia dua ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani) na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya Kati.Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijuika na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika kuitikia dua ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani) na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya Kati.Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
WAUMINI wa Dini ya Kiislamu Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Al-Adha ikisomwa na Sheikh Abdulrahaman Ahmed Abdallah, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Eid Al-Adha, iliyofanyika leo 7-6-2025 katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Masjid Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya Sala ya Eid Al-Adha, iliyofanyika katika masjid hiyo leo 7-6-2025, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Alhajj Dkt.Haroun Ali Suleiman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Dini ya Kiislamu akifuatilia Hutuba ya Sala ya Eid Al-Adha, ikisomwa na Sheikh Abdurahaman Ahmed Abdallah, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid, iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja iliyofanyika leo 7-6-2025
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameshuhudia utiaji wa saini wa SMZ na Benki ya CRDB Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiaga na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajis Nsekela, baada ya kumalizika kwa hafla ya utiaji wa saini ya mkopo wa zaidi ya shilingi Bilioni 240 kwa ajili ya ujenzi wa Skuli 23 za ghorofa za Kisasa Zanzibar, mkopo huo unaotolewa na Benki ya CRDB kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya utiaji wa saini ya mkopo wa zaidi ya shilingi Bilioni 240 kwa ajili ya ujenzi wa Skuli 23 za ghorofa za Kisasa Zanzibar, mkopo huo unaotolewa na Benki ya CRDB kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya utiaji wa saini ya mkopo wa zaidi ya shilingi Bilioni 240 kwa ajili ya ujenzi wa Skuli 23 za ghorofa za Kisasa Zanzibar, mkopo huo unaotolewa na Benki ya CRDB kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2025
WATENDAJI Wakuu wa Benki ya CRDB wakifuatilia hafla ya utiaji wa saini ya mkopo wa zaidi ya shilingi Bilioni 240 kwa ajili ya ujenzi wa Skuli za Kisasa Zanzibar, unaotolewa na benki hiyo kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2025
Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya utiaji wa saini ya mkopo wa zaidi ya shilingi Bilioni 240 zilizotolewa na Benki ya CRDB kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa ajili ya ujenzi wa Skuli 23 za ghoroa za kisasa Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2025
BAADHI ya Watendaji Wakuu wa PDB na Wizara ya Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar wakifuatilia hafla ya utiaji wa saini ya mkopo wa zaidi wa shilingi Bilioni 240 kwa ajili ya ujenzi wa Skuli 23 za ghorofa za Kisasa Zanzibar, mkopo huo unaotolewa na Benki ya CRDB kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa saini wa Mkataba wa mkopo wa zaidi ya shilingi bilioni 240 unaotolewa na Benki ya CRDB kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa ajili ya ujenzi wa Skuli za Kisasa za ghorofa 23, wakisaini mkataba kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar akisaini Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar.Dkt. Juma Malik Akili na kwa upande wa CRDB akisaini Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB. Abdulmajid Nsekela, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa saini wa Mkataba wa mkopo wa zaidi ya shilingi bilioni 240 unaotolewa na Benki ya CRDB kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa ajili ya ujenzi wa Skuli za Kisasa za ghorofa 23, wakisaini mkataba kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar akisaini Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar.Dkt. Juma Malik Akili na kwa upande wa CRDB akisaini Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB. Abdulmajid Nsekela, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2025
WATENDAJI Wakuu wa Benki ya CRDB wakifuatilia hafla ya utiaji wa saini ya mkopo wa zaidi ya shilingi Bilioni 240 kwa ajili ya ujenzi wa Skuli za Kisasa Zanzibar, unaotolewa na benki hiyo kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2025
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa mkopo wa Shilingi Bilioni 240 kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Benki ya CRDB kwa ajili ya ujenzi wa skuli 23 za kisasa za ghorofa hapa Zanzibar.
Uzinduzi wa Sera mpya ya Mambo ya Nje Tanzania 2024 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, baada ya kumalizika kwa hafla ya Uzinduzi wa Sera Mpya ya Mambo ya Nje Tanzania, uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.19-5-2025
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Vitabu vya Sera Mpya ya Mambo ya Nje Tanzania, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, baada ya kuzindua Sera hiyo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam 19-5-2025
Rais wa jamuhuri ya Muungano wa TanzaniaMama Samia Suluh Hassan pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakiwa katika picha ya pamoja katika uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania ya mwaka 2001, toleo jipya la mwaka 2024, katika ukumbi wa kimataifa wa mwalimu Nyerere Dar es Saalam
Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amefungua Masjid Jibril Fuoni Bwiti na Sala ya Ijumaa Iliyofanyika hapo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Dini ya Kiislamu alipowasili Masjid Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 16-5-2025 kwa ajili ya ufunguzi wa msikiti huo, na kujumuia na Wananchi katika Sala ya Ijumaa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kufungua Masjid Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-5-2025 na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya “Tears of Joy Foundation” Jaffar Hussein Babu na Sheikh Suwed Ali Suwed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na waumini wa Dini ya Kiislam wakati alipofika katika ufunguzi wa Masjid Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-5-2025 na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya “Tears of Joy Foundation” Jaffar Hussein Babu na Sheikh Suwed Ali Suwed.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kufungua Masjid Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-5-2025 na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya “Tears of Joy Foundation” Jaffar Hussein Babu na Sheikh Suwed Ali Suwed.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Jibril Fuoni Bwiti, baada ya kuufungua msikiti huo leo 16-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Jibril Fuoni Bwiti, baada ya kuufungua msikiti huo leo 16-5-2025
MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Waumini baada ya Sala ya Ijuma iliyofanyika katika Masjid Jibril baada ya kufunguliwa leo 16-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya Msahafu na Sheikh Mohamed Omar Alsheikh Juda, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Jibril Fuoni Bwiti Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-5-2025
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Juma amemuapisha Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo ya Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, baada ya kumuapisha Kombo Hassan Juma, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-5-2025 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kombo Hassan Juma kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-5-2025, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said