State House Blog

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Kombe kwa Mabingwa wa Mapinduzi Cup Yanga Afrika baada ya kuifunga Simba

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Mapinduzi Cup Nahodha wa Timu ya Yanga Haruna Nyonzima, baada kuifunga Timu ya Simba katika mchezo wa Fainali uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar

Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea maonyesho

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi Aamezungumza na Mwakilishi wa Unesco Tanzania

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa UNESCO Nchini Tanzania.Bw.Tirso Dos Santos alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 13/1/2021 na (kulia) Ofisa Utamaduni UNESCO Tanzania Bi. Nancy Lazaro Mwaisaka
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNESCO Nchini Tanzania Bw, Tirso Dos Santos. (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kingozi Mhendisi Zena Ahmed Said na (kulia) Ofisa Utamaduni wa UNESCO Tanzania Bi. Nancy Lazaro Mwaisaka
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNESCO Nchini Tanzania. Bw.Tirso Dos Santos (kulia kwa Rais) wakiwa katika ukumbi wa Ikulu wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika 13/1/2021 na (kulia) Ofisa wa Utamaduni UNESCO Tanzania Bi. Nancy Lazaro Mwaisaka.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa UNESCO Nchini Tanzania.Bw.Tirso Dos Santos alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 13/1/2021 na (kulia) Ofisa Utamaduni UNESCO Tanzania Bi. Nancy Lazaro Mwaisaka.

Kilele cha Sherehe za 57 Mapinduzi Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwapungia mkono Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliopita katika viwavja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar leo katika Sherehe za maadhimisho ya Kilele cha miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,sherehe zilizofanyika leo viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa mara alipowasili viwanja vya Mnazi Mmoja katika kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba, sherehe zilizofanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwapungia mkono Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliopita katika viwavja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar leo katika Sherehe za maadhimisho ya Kilele cha miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Wananchi wafanyabishara wadogo wadogo wakiwa na bango lao kwa kumpomngeza Rais,Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati walipopita katika maandamano ya kusherehekea kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar sherehe zilizofanyika leo viwanja vya Mnzi Mmoja Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwapungia mkono Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliopita katika viwavja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar leo katika Sherehe za maadhimisho ya Kilele cha miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Askari wa kikosi cha Polisi wakipita kwa mwendo wa Route March wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika kusherehekea kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar sherehe zilizofanyika leo viwanja vya Mnzi Mmoja Jijini Zanzibar.
  • Askari wa kikosi cha Polisi wa usalama barabarani wakipita kwa maonesho ya Amsha Amsha ya Mapinduzi mwendo wa Route March wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika kusherehekea kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar sherehe zilizofanyika leo viwanja vya Mnzi Mmoja Jijini Zanzibar
  • Maonesho ya Amsha Amsha ya Mapinduzi mwendo wa Route March Gari za Vikosi vya Uluinzi wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika kusherehekea kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar sherehe zilizofanyika leo viwanja vya Mnzi Mmoja Jijini Zanzibar

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla mara alipowasili viwanja vya Mnazi Mmoja katika kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,sherehe zilizofanyika leo (wengine kutoka kulia) Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Amani Abeid Karume na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla (wa pili kushoto) na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Amani Abeid Karume (kulia) mara alipowasili viwanja vya Mnazi Mmoja leo katika kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Meneja Biashara Benki ya NBC Ndg,Obedy Ngavatula (kushoto) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika shamra shamra Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 lililozinduliwa leo katika viwanja vya Kashangae Paje Wilaya ya Kuzini Unguja kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati)wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Foundation Bi.Tully Esther Mwambapa (kushoto) akitoa maelezo wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika shamra shamra Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 lililozinduliwa leo katika viwanja vya Kashangae Paje Wilaya ya Kuzini Unguja kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan
  • Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake fupi katika kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar sherehe zilizofanyika leo viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake fupi kwa Wananchi wa Zanzibar katika Sherehe za kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika leo viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar