State House Blog

RAIS wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku, wakati alipofika Ikulu

  • RAIS wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku, wakati alipofika Ikulu kwa mazungumzo na Ujumbe wake waliokaa(kulia) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa baadhi ya Vitabu vya historia ya Mwalimu Julius Nyerere na Mkurugenzi

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa baadhi ya Vitabu vya historia ya Mwalimu Julius Nyerere na Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Mkurugenzi wa Mwalimu Nyerere Foundation Ikulu. Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku, wakati alipofika Ikulu kwa mazungumzo na Ujumbe wake waliokaa(kulia) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa baadhi ya Vitabu vya historia ya Mwalimu Julius Nyerere na Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo

Mkutano wa Mwaka wa Mapitio ya Program ya Huduma za Jamii kwa Wazee (Afford)

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Kaimu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe.Simai Mohamed Said wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD)
  • BAADHI ya washiriki wa Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) wakifuatili kwa makini uwasilishwaji wa mifumo ya Ulinzi wa Jamii barani Afrika uliotolewa katika mkutano huo uliofanyika leo Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
  • Ujumbe wa pongezi wa Ushindi katika Uchaguzi Mkuu Uliopita Mwaka jana kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliowasilishwa na Mzee Makame Mohamed Khalfan katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar
  • BAADHI ya washiriki wa Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) wakifuatili kwa makini uwasilishwaji wa mifumo ya Ulinzi wa Jamii barani Afrika uliotolewa katika mkutano huo uliofanyika leo Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
  • NAIBU Balozi wa Ireland nchini Tanzania Bibi. Chloe Horne alipokuwa akitoa salamu zake katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto ) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar.
  • Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani)
  • Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Kaimu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe.Simai Mohamed Said wakati alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kuufungua Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto ) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto ) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto ) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar(katikati) Naibu Balozi wa Ireland Nchini Tanzania Bibi.Cloe Horne na Mkurugenzi wa Shirika la Help AgeInternational Tanzania Nd,Smart Daniel(kulia)

Rais wa Zanzibar Dk Mwinyi ametembelea soko la Kimataifa la Dagaa Geita

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea Soko la Kimataifa la Dagaa Kasenda akiwa katika ziara yake Mkoani Geita Wilaya ya Chato na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Uvuvi na Mifugo Mhe. Mashimba Ndaki na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.
  • WANANCHI wa Geita wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia wakati wa ziara yake kutembelea Soko la Kimataifa la Dagaa Kasenda Geita
  • WANANCHI wa Mkoa wa Geita wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiwahutubia katika viwanja vya Soko la Kmataifa la Dagaa Kasenda Mkoani Geita

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Geita katiuka viwanja vya Soko la Kimataifa la Dagaa Kasenda Mkoani Geita Wilaya ya Chato, wakati wa ziara yeke kutembelea soko hilo na kujionea biashara ya Dagaa katika Soko hilo, (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
  • WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Machimba Ndaki akizungumza na kutowa maelezo ya Soko la Kimataifa la Dagaa Kasenda wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, kutembelea soko hilo akiwa Mkoani GeitaWAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Machimba Ndaki akizungumza na kutowa maelezo ya Soko la Kimataifa la Dagaa Kasenda wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, kutembelea soko hilo akiwa Mkoani Geita
  • WANANCHI wa Mkoa wa Geita wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiwahutubia katika viwanja vya Soko la Kmataifa la Dagaa Kasenda Mkoani GeitaWANANCHI wa Mkoa wa Geita wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiwahutubia katika viwanja vya Soko la Kmataifa la Dagaa Kasenda Mkoani Geita