State House Blog

Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Makatibu wakuu na Manaibu Katibu wakuu katika viwanja vya Ikulu.

  • BAADHI ya Wateule Makatibu Wakuu na Manaibi wakipitia hati ya Kiapo kabla ya kuaza zoezi la kuapishwa kuwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali za SMZ, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Mussa Haji Ali kuwa Katibu Mkuu Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akumuapisha Ndg. Seif Shaban Mwinyi kuwa Katibu Mkuu Afisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Hati ya kiapo Bi. Abeida Rashid Abdalla, kuwa Naibu Katibu Mkuu (Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto) Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza kula kiapo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Omar Dadi Shajak kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar,wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi. Suzan Peter Kunambi. kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi "A" Unguja , hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Mawaziri na Viongozi wa CCM wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kumaliza kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu, hafla iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar baada ya kumaliza kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wiki iliopita,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 25/1/2021
  • MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zuberi Ali Maulid, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) baada ya kumaliza kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu hafla iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar baada ya kumaliza kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wiki iliopita,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 25/1/2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar baada ya kumaliza kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wiki iliopita,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 25/1/2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar baada ya kumaliza kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wiki iliopita,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 25/1/2021
  • VIONGOZI wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar, wakifuatlia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar baada ya kumaliza kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali waliokaa na waliosimama nyuma Makatibu Wakuu na Manaibu katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na waumini wa dini ya Kiislam Katika sala ya Ijumaa iliofanyika Masjid Rahman Kijichi Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibare na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kiongozi wa Masjid Rahman Kijiji Sheikh Yahya Hassan alipowasili katika viwanja vya Masjid hiyo kwa ajili ya Sala ya Ijumaa iliofanyika leo 22-1-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Rahman Kijichi Wilaya ya Magharibi "B" Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Rahman Kijichi Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya iliofanyika katika Masjid Rahman Kijichi Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 22-1-2021.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk Hussein Ali Mwinyi amefanya Mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Prof Kabudi Ikulu leo

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Ujumbe wake pamoja na Naibu Waziri wake Mhe.Willium Tate Ole.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Palamagamba Kabudi, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 22-1-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Ujumbe wake pamoja na Naibu Waziri wake Mhe.Willium Tate Ole.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Ujumbe wake pamoja na Naibu Waziri wake Mhe.Willium Tate Ole.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Palamagamba Kabudi, alipofiki Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Naibu Waziri wake Mhe. Willium Tate Ole, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amewatembelea Bi.Fatma Karume na Mzee Abdalla Rashid

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Bi Fatma Karume alipofika nyumbani kwake Maisara Jijini Zanzibar kumtembelea na kumjulia hali yake, akiwa nyumbani kwake Maisara
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Bi.Fatma Karume, wakati alipofika nyumbabni kwake maisara kwa mazungumzo na kumjulia hali yake.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na aliyekuwa Mshauri wa Rais wa Zanzibar Mzee Abdalla Rashid Abdaala, alipofika nyumbani kwake Kiembesamaki kumjulia hali yake na kuzungumza naye

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na ujumbe wa Wakurugenzi wa Makampuni binafsi Tanzania Ikulu Leo

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania wakiongozwa na Mwenyekiti wao Dino Stengel (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 22-1-2021 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 22-1-2021(kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Bw. Dino Stengel na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa picha ikionesha mandhari ya Mji Mkongwe wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania.Bw.Dino Stengel, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Wajumbe wa Jumuiya ya Wakurugenzi Watendaji wa Makampuni Binafsi Tanzania baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar