State House Blog

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA MKUTANO WAKE WA MWISHO WA MWEZI NA WAANDISHI IKULU JIJINI ZANZIBAR

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, ikiwa ni kawaida yake ya kuzungumza na Waandishi wa habari na Wahariri wa vyombo vya habari kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2023
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, ikiwa ni kawaida yake ya kuzungumza na Waandishi wa habari na Wahariri wa vyombo vya habari kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-.
 • WAANDISHI wa Habari wa vyombo mbalimbali vya habari vilioko Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi na Waandishi uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2023
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar,ikiwa ni utaratibu wake wa kuzungumza na Waandishi wa habari kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2023
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, ikiwa ni kawaida yake ya kuzungumza na Waandishi wa habari na Wahariri wa vyombo vya habari kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 28-2-2023
 • WAANDISHI wa Habari wa vyombo mbalimbali vya habari vilioko Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi na Waandishi uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 28-2-2023

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Jumuiya ya Shia Tanzania.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na mgeni wake Sheke Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu ya Shia Tanzania,(Tanzania Ithnashariya Community) Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimsikiliza Sheke Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu ya Shia Tanzania,(Tanzania Ithnashariya Community) Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge wakati wa mazungumzo akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa madhumuni ya kumpongeza Rais, wa Uongozi wake.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Kiislamu ya Shia Tanzania,(Tanzania Ithnashariya Community) ulioongozwa Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, (wa pili kulia) wakati wa mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar kwa madhumuni ya kumpongeza Rais, wa Uongozi wake wenye hekima
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Kiislamu ya Shia Tanzania,(Tanzania Ithnashariya Community) ulioongozwa Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, wakati wa mazungumzo na ujumbe huo leo ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa madhumuni ya kumpongeza Rais, wa Uongozi wake.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Sheke Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu ya Shia Tanzania,(Tanzania Ithnashariya Community) Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge (wa pili kulia) wakati wa mazungumzo akiwa na ujumbe aliofuatana nao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa madhumuni ya kumpongeza Rais, wa Uongozi wake.

.Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Rais wa ADB.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Dkt.Akinwumi Adesina alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimsikiliza Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika (ADB) Dkt.Akinwumi Adesina wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao,katika hayo Viongozi wa Wizara ya Fedha Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walihudhuruia
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB)Dkt. Akinwumi Adesina (wa tano kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao,katika mazungumzo hayo Viongozi wa Wizara ya Fedha Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walihudhuria.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Dkt.Akinwumi Adesina alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Dkt.Akinwumi Adesina, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao,katika mazungumzo hayo Viongozi wa Wizara ya Fedha Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walihuduria.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Rais wa “European Investment Bank” Bw. Thomas Ostro

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa “European Investment Bank” Bw. Thomas Ostros(kulia kwa Rais) na Ujumbe wake na Viongozi wa Serikali baada ya kumaliza mazungumzo yake yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam 24-2-2023
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati akifunga Kongamano la la Uwekezaji na Biashara kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Ulaya, lililofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam 24-2-2023
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa “European Investment Bank” Bw. Thomas Ostros, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Da es Salaam leo 24-2-2023.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa “European Investment Bank” Bw. Thomas Ostros(kulia kwa Rais) na Ujumbe wake na Viongozi wa Serikali baada ya kumaliza mazungumzo yake yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam 24-2-2023
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa “ European Investment Bank” Bw. Thomas Ostros,mazungimzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 24-2-2023
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa “ European Investment Bank” Bw. Thomas Ostros (kulia kwake) akiwa na ujumbe wake Bi.Maria Shaw-Barragan Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Afrika, Caribbean,Pacific,Asia na Latin America na Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) Nchini na Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhe. Manfredo Fanti, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam 24-2-2023.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa “ European Investment Bank” Bw. Thomas Ostros (kulia kwake) akiwa na ujumbe wake Bi.Maria Shaw-Barragan Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Afrika, Caribbean,Pacific,Asia na Latin America na Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) Nchini na Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhe. Manfredo Fanti, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 24-2-2023.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya Bw.Thomas Ostros