State House Blog

Rais wa Zanzibar he.dk.Hussein Minyi amefunga Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Umoja wa nchi za Ulaya ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati akifunga Kongamano la la Uwekezaji na Biashara kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Ulaya, lililofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam 24-2-2023
  • WAFANYABIASHARA kutoka Nchi za Umoja wa Ulaya na Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifunga Kongamano la Uwekezaji na Biashara kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Ulaya, lililofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam 24-2-2023.
  • WAFANYABIASHARA kutoka Nchi za Umoja wa Ulaya na Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifunga Kongamano la Uwekezaji na Biashara kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Ulaya, lililofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam 24-2-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati akifunga Kongamano la la Uwekezaji na Biashara kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Ulaya, lililofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam 24-2-2023
  • WAFANYABIASHARA kutoka Nchi za Umoja wa Ulaya na Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifunga Kongamano la Uwekezaji na Biashara kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Ulaya, lililofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam 24-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa saini ya Makubaliano ya ushirikiano na Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya “European Investment Bank” kwa ajili ya uwezeshaji wa Wajasiriamali Wadogo na wa Kati,baina ya Mabenki ya CRDB,NMB na KCB, kwa upande wa Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya amesaini Makamu wa Rais Bw,Thomas Ostros na kwa CRDB amesaini Mkurugenzi Mtendaji Bw.Abdulmajid Nsekela, NMB. Amesani Mkurugenzi wa Fedha, Bw.Azizi Chacha na KCB amesaini Mkurugenzi Mtendaji Bw.Cosmas Kimario
  • WAFANYABIASHARA kutoka Nchi za Umoja wa Ulaya na Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifunga Kongamano la Uwekezaji na Biashara kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Ulaya, lililofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 24-2-2023

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Mkutano wa Kimataifa wa Sekta ya Utalii na Maonesho “The Z Summit katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, baada ya kuyafungua maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii “The Z Summit” na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mhe.Mohamed Omary Mchengerwa na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar.Bw. Rahim Bhaloo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii “The Z Summit” baada ya kuyafungua leo 23-2-2023, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Mhe. Rahim Bhaloo wakati akitembelea maonesho hayo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia fulana wakati akitembelea banda la maonesho la Zanzibar Padel, baada ya kuyafungua Maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii “The Z Summit” yanayofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharini”B” Unguja leo 23-2-2023,na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw.Rahim Bhaloo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Bw. Nicola Alessandro, wakati akitembelea maonesho ya Sektya ya Utalii “The Z Summit” baada ya kuyafungua leo 23-2-2023 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw. Rahim Bhaloo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii “The Z Summit” baada ya kuyafungua leo 23-2-2023, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Mhe.Rahim Bhaloo, wakati akitembelea maonesho hayo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) wakati akitembelea maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii “The Z Summit” baada ya kuyafungua maonesho hayo 23-2-2023,katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw.Rahim Bhaloo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Gazeti la “The Z Summit” baada ya kuufungua Mkutano Mkuu wa Wadau mbalimbali wa Sekta ya Utalii uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi ”B”Unguja leo 23-2-2023 Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar.Bw. Rahim Bhaloo na (kulia kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said na Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Gazeti la “The Z Summit” baada ya kulizindua rasmin wakati wa Mkutano Mkuu wa Wadau mbalimbali wa Sekta ya Utalii uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi ”B”Unguja leo 23-2-2023 Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar.Bw. Rahim Bhaloo na (kulia kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Wadau mbalimbali katika Sekta ya Utalii “The Z Summit” , uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki,Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 23-2-2023
  • WASHIRIKI wa Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Wadau mbalimbali katika Sekta ya Utalii “The Z Summit” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 23-2-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Wadau mbalimbali katika Sekta ya Utalii “The Z Summit” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki, Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 23-2-2023
  • WAZIRI wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Wadau mbalimbali wa Sekta ya Utalii “The Z Summit” kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuufungua mkutano huo uliofanyika leo 23-2-2023, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.(
  • WAZIRI wa Maliasi na Utalii Tanzania Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wadau mbalimbali wa Sekta ya Utalii “The Z Summit” uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,23-2-2023, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
  • MWENYEKITI wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw.Rahim Bhaloo akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kimtaifa wa Wadau mbalimbali wa Sekta ya Utalii “The Z Summit” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 23-2-2023
  • WASHIRIKI wa Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Wadau mbalimbali katika Sekta ya Utalii “The Z Summit” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 23-2-2023
  • WASHIRIKI wa Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Wadau mbalimbali katika Sekta ya Utalii “The Z Summit” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 23-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi kumpongeza Msanii wa muziki wa Taarab Siti Amina baada ya kutowa burudani wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Wadau mbalimbali wa Sekta ya Utalii “The Z Summit” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 23-2-2023, na (kulia wa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said na Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw. Rahim Bhaloo
  • MSANII wa muziki wa Taarab Zanzibar Siti Amina akitowa burudani wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Wadau mbalimbali wa Sekta ya Utalii “The Z Summit” uliofunguliwa 23-2-2023 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar

Uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akifungua Mlango kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.ambapo viongozi mbali mbali wa Taasisi ya T-marc wakishuhudia uzinduzi huo,pia akiwepo na Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi.Kate Somvongsiri(wa nne kulia)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akipokea "Zawadi ya Upendo na Maendeleo ya Vijana" kutoka kwa Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi. Kate Somvongsiri(wa pili kulia) Makamo Mwenyekiti wa Bodi ya T-Marc Bw.Alex Mgongolwa. katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID,katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.ambapo viongozi mbali mbali walihudhuria (kulia)Waziri wa Habari,Vijana,Utamadunu na Michezo Mhe Tabia Maulid Mwita,Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said.
  • Waziri wa Habari,Vijana,Utamadunu na Michezo Mhe Tabia Maulid Mwita,(kulia) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuzungumza na wananchi katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar,(kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
  • Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
  • Waziri wa Habari,Vijana,Utamadunu na Michezo Mhe Tabia Maulid Mwita,(kulia) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuzungumza na wananchi katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar,(kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
  • Vijana wenye mahitaji maalum waliohudhuria katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipkuwa akitoa hutuba ya uzinduzi wa Mradi huo, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.
  • Vijana wa Baraza la Vijana Magharibi "A" pamoja na Vijana mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar
  • Vijana wa Uhamasishaji wakinyanyua mikono juu kuunga mkono hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) aliyoitoa leo katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 22/2/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Mama Siti Mwinyi wakati alipowasili katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakifuatana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia)na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi (kushoto) akiwepo na Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi. Kate Somvongsiri, baada ya kutembelea mabanda ya maonesho katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa Meneja Uhusiano wa T-Marc Ndg.Lilian Mallya wakati walipotembelea mabanda ya maonesho katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar(katikati) Waziri wa Habari, Vijana, Utamadunu na Michezo Mhe Tabia Maulid Mwita
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kitengo cha Elimu ya Afya katika Wizara ya Afya Zanzibar Ndg.Hamadi Bakari Magarawa (kushoto) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar(katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi. Kate Somvongsiri
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiwasalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.(wa tatu kulia)Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi. Kate Somvongsiri

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amekutana na Uongozi wa UVUCCM Taifa.

  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi (kulia) akimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi,(wa pili kulia) alipokuwa akitoa shukurani baada ya mazungumza na Viongozi wa Ngazi ya Taifa UVCCM waliofika kujitambulisha katika Ofisi ya Taasisi hiyo Migombani Jijiji Zanzibar.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi(katikati) alipokuwa aki zungumza na Viongozi wa Ngazi ya Taifa UVCCM waliofika kujitambulisha katika Ofisi ya Taasisi hiyo Migombani Jijiji Zanzibar wakiongozwa na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Viongozi wa Ngazi ya Taifa UVCCM waliofika kujitambulisha katika Ofisi ya Taasisi hiyo Migombani Jijiji Zanzibar wakiongozwa na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi (kulia) akizungumza na Viongozi wa Ngazi ya Taifa UVCCM waliofika kujitambulisha katika Ofisi ya Taasisi hiyo Migombani Jijiji Zanzibar wakiongozwa na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi,(wa pili kulia)
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Viongozi wa Ngazi ya Taifa UVCCM waliofika kujitambulisha katika Ofisi ya Taasisi hiyo Migombani Jijiji Zanzibar wakiongozwa na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi (hawapo pichani)

Ufunguzi wa Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa Umoja wa Falme za Kiarabu Zanzibar (UAE).

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan, baada ya kumalizika kwa hafla ya Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Umoja wa falme za Kiarabu hapa Zanzibar,hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani Mjimkongwe wa Zanzibar (katikati) Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan (kushoto) wakifungua pazia kama ishara ya Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Umoja wa falme za Kiarabu hapa Zanzibar,hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani Mjimkongwe wa Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan (kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakifurahia Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Umoja wa falme za Kiarabu hapa Zanzibar,hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani Mjimkongwe wa Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan, wakifuatana na baada ya mazungumzo mafupi katika hafla ya Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Umoja wa falme za Kiarabu hapa Zanzibar,hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani Mjimkongwe wa Zanzibar (kushoto) Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga