State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Mwinyi ameshiriki dua ya kumuombea Marehemu Salma Mbeto Khamis Msikiti wa Miembeni.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Bw. Salum Dimani, walipokutana katika maziko ya Marehemu Salma Mbeto Khamis, yaliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 24-3-2023, Marehemu ni Ndugu wa Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar.Ndg. Khamis Mbeto Khamis

Rais wa Zanzibar amekutana na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation, Kiongozi wa Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation, Kiongozi wa Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation (wa pili kulia) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation walipofika Ikulu Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Kongamano la Utafiti wa Uviko-19 katika ukumbi wa CHPE Muhimbili.

  • WASHIRIKI wa Kongamano la la Matokeo ya Tafiti za UVIKO-19 wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akifungua Kongamano la Matokeo ya Tafiti za UVIKO-19, zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shiriki Muhimbili (MUHAS) kangamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Chpe Mihimbiji Jijini Dar es Salaam 21-3-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamani la Matokeo ya Tafiti za UVIKO -19 zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kupitia ufadhili wa Marehemu Amne Salim, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Chpe Muhimbili Jijini Dar es Salam 21-3-2023
  • WANAFAMILIA ya Marehemu Amne Salim wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akifungua Kongamano la Matokeo ya Tafiti za UVIKO-19, zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shiriki Muhimbili (MUHAS) kangamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Chpe Mihimbiji Jijini Dar es Salaam 21-3-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamani la Matokeo ya Tafiti za UVIKO -19 zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kupitia ufadhili wa Marehemu Amne Salim, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Chpe Muhimbili Jijini Dar es Salam 21-3-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamani la Matokeo ya Tafiti za UVIKO -19 zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kupitia ufadhili wa Marehemu Amne Salim, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Chpe Muhimbili Jijini Dar es Salam 21-3-2023
  • MTOTO wa Marehemu Amne Salim kizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la la Matokeo ya Tafiti za UVIKO-19, zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shiriki Muhimbili (MUHAS) kangamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Chpe Mihimbiji Jijini Dar es Salaam 21-3-2023.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezindua Mpango Mkakati wa ZMBF na Mradi wa Tumaini KIT

  • MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizundua Mradi wa Tumaini Kit, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo,20-3-2023 na (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia uzinduzi huo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi TUZO maalum na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, wakati wa Uzinduzi wa Mpango Mkakati wa ZMBF na Uzinduzi wa Mradi wa Tumaini Kit, katika Mkutano wa Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya (ZMBF) uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 20-3-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungua Mpango Mkakati wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZBMF) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023, (kulia) Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maria Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisin ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed.
  • MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizundua Mradi wa Tumaini Kit, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo,20-3-2023 na (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia uzinduzi huo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Kitabu cha Mpango Mkakati wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) baada ya kuizindua leo 20-3-2023. Katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magaribi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe.Masoud Ali Mohammed na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah.
  • BAADHI ya Mabalozi Wadogo wanaofanyia kazi zao Zanzibar, wakifuatulia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na Uzinduzi Mpango Mkakati na Mradi wa Tumaini Kit, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023
  • WAGENI Waalikwa na Viongozi wa Vikundi vya Wajasiriamali Wanawake Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na Uzinduzi wa Mpango Mkakati na Mradi wa Tumaini Kit, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023.
  • MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi yake na Uzinduzi wa Mpango Mkakati wa (ZMBF) na Uzinduzi wa Mradi wa Tumaini Kit, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023.
  • BAADHI ya Wake wa Viongozi Wakuu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na Uzinduzi Mpango Mkakati wa (ZMBF) na Mradi wa Tumaini Kit, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023.
  • BAADHI ya Wake wa Viongozi Wakuu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na Uzinduzi Mpango Mkakati wa (ZMBF) na Mradi wa Tumaini Kit, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi ambae ni Mwenyetiki wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohammed na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana, wakimsikiliza Mjasiriamali wa Kikundi cha Wanawake cha Zainat cha Chukwani.Bi.Farida Juma Suleiman, wakati akitembelea maonesho ya Wajasiriamali mbalimbali wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mpango Mkakati na Mradi wa Tumaini Kit pamoja na kuadhimisha Mwaka Mmoka wa Taasisi ya (ZMBF) Iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 20-3-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Kikundi cha Wanawake Wajasiriamali cha Ukweli Njia Safi cha Bwelo. Bi. Zainab Hassan, wanaotengeneza Bidhaa za Mwani, wakati akitembelea maonesho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023, kabla ya kuzindua wa Mpango Mkakati na Mradi wa Tumaini Kit na Mkutano wa Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Zanzibar Maisha Bora Foundation. (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • WAGENI Waalikwa na Viongozi wa Vikundi vya Wajasiriamali Wanawake Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na Uzinduzi wa Mpango Mkakati na Mradi wa Tumaini Kit, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameongoza Mkutano wa jukwaa la Kumi na mbili la Biashara Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa (SMIDA) Bw. Soud Said Ali, akitembelea maonesho ya Wafanyabiashara katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 19-3-2023, wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Jijini Zanzibar,(kushoto kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 19-3-2023, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 19-3-2023, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban
  • WAJUMBE wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Biashara Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja 19-3-2023 Jijini Zanzibar.
  • WAJUMBE wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Biashara Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 19-3-2023 Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Plastic Technology Enterprises Bw. Multala S.Juma, wakati akitembelea maonesho ya Wafanyabiashara Zanzibar, kabla ya kuongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B"Unguja leo 19-3-2023.