Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amepokea Maandamano ya Wafanyakazi katika Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akimsiliza Meneja wa PSSF Ofisi ya Zanzibar Rajab Kinande,wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Shariff Ali Shariff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Maandamano ya Wafanyakazi ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipokea Maandamano ya Wafanyakazi ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Maandamano ya Wafanyakazi ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akimsiliza Mkuu wa Mkurugenzi ya Mipango,Utumishi na Utawala Tume ya Uchaguzi Zanzibar Saadun Ahmed Khamis,wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akimsiliza Naibu Kamishna Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA - Zanzibar Bw. Saleh Haji Pandu,wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,wakimsiliza Mkurugenzi Mipango na Uwekezaji Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar Halifa Muumini,wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkurugenzi Rasilimali Watu Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Viwe Ali Juma,wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkurugenzi wa Yas /Mixx Zanzibar. Azizi Saidi Ali, wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbalimbali waliowasili viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi,zilizofanyika leo 1-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO maalumu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff,wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2025, yaliyoadhimishwa Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025, katika viwanja vya Kizimkazi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya Jahazi iliyotolewa na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja , akikabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud ,wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2025, yaliyoadhimishwa Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025, katika viwanja vya Kizimkazi
WAFANYAKAZI wa Taasisi za Serikali na Binafsi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2025, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya Kizimkazi leo 1-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Dunia Mei Mosi 2025, yaliyofanyika Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya Kizimkazi leo 1-5-2025
WAFANYAKAZI wa Taasisi za Serikali na Binafsi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2025, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya Kizimkazi leo 1-5-2025
WAGENI waalikwa katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2025, wakifuatilia maadhimisho hayo yaliyofanyika katika Viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025, wakati Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika maadhimisho hayo yaliyofanyika