State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amefungua Dua Maalumu ya kuwaombea Mamufti, Masheikh, Watu Waliotangulia na kuliombea Taifa Amani pamoja na Viongozi Wakuu wa Serikali Iliyofanyika Masjid Moh

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini Kiislamu katika kuitikia dua ya kuhitimisha Kisomo na dua Maalumu ya Kuwaombea Mamufti,Masheikh Watu Waliotangulia na Kuliombea Taifa Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali, (kulia kwa Rais) Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Sheikh Dkt.Abubakar Zubeir Bin Ally, dua hiyo iliyofanyika katika Masjid Mohammed VI Bakwata Kinondoni Jijini Dar es Salaamu leo 8-5-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufungua Dua Maalumu ya Kuwaombea Mamufti, Masheikh,Watu Waliotangulia na Kuliombea Taifa Amani pamoja na Viongozi Wakuu wa Serikali, dua hiyo iliyofanyika katika Masjid Mohammed VI Bakwata Kinondoni Jijini Dar es Salaamu leo 8-5-2025
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Ufunguzi wa Dua Maalum ya kuwaombea Mamufti, Masheikh ,kuliombea Taifa Amani pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid Mohammed VI – Bakwata Kinondoni Jijini Dar es Salaamu,iliyofanyika leo 8-5-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufungua Dua Maalumu ya Kuwaombea Mamufti, Masheikh, Watu Waliotangulia na Kuliombea Taifa Amani pamoja na Viongozi Wakuu wa Serikali, dua hiyo iliyofanyika katika Masjid Mohammed VI Bakwata Kinondoni Jijini Dar es Salaamu leo 8-5-2025
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Ufunguzi wa Dua Maalum ya kuwaombea Mamufti, Masheikh, kuliombea Taifa Amani pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid Mohammed VI – Bakwata Kinondoni Jijini Dar es Salaamu,iliyofanyika leo 8-5-2025