State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Mwinyi amezindua Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya uimarishaji wa Mazingira ya Biashara.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizindua Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print) 2025 na (kushoto) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban, uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-2025.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar kwa ajili ya uzinduzi wa Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print)2025, uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-3025,katika ukumbi wa hoteli hiyo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya Mlango wa Zanzibar na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print) 2025, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar leo 30-4-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizindua Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print )2025, uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-2025 katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar

  • KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Biashara Tanzania Mhe. Selemani Jafo (Mb) wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print) 2025, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar leo 30-4-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print )2025, uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-2025 katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print )2025, uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-2025 katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print )2025, uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-2025 katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar

  • WAGENI waalikwa na Wadau wa Biashara Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print) 2025, uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-2025 katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar