State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi mpya wa China Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi mpya wa Jamhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe.Chen Mingjian,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyika kazi zake Zanzibar.Mhe. Zhang Zhzsheng.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi Mpya wa Jamhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe Chen Mingjian alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi Mpya wa Jamhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe Chen Mingjian alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa uhuishaji na uimarishaji wa Mfumo wa usambazaji wa maji Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Mwakilishi wa Kampuni ya L&T Construction Bw.Hari Prakash,(kushoto kwa Rais) baada ya kumalizika kwa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa Usambazaji wa Maji Zanzibar, mradi huo wa ujenzi wa matangi ya maji katika eneo la Kwarara Kidutani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya ujenzi wa Mradi wa Matangi ya Maji Safi na Salama Kwarara Kidutani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati wa Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa Usambazaji Maji Zanzibar,ikiwa ni Wiki ya Maji Duniani,(kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zuberi Ali Maulid.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu(ZAWA)Dkt. Salha Mohamed Kassim, akitowa maelezo ya Kitaalamu ya ujenzi wa Matangi ya Maji Safi na Salama Kwarara Kidutani, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa Usambazaji Maji Zanzibar, ikiwa ni Wiki ya Maji Duniani.(kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Maji Nishati na Madini Mhe. Shaib Kaduara
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa Usambazaji Maji Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya ujenzi wa matangi ya maji ya Mradi huo Kwarara Kidutani Wilaya ya Magharini “B” Unguja ikiwa sambamba na maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kitambaa kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa Usambazaji Maji Zanzibar, na(kushoto kwa Rais)Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar.Mhe Shaib.Kaduara akiwa na Viongozi wa Wizara na ZAWA wakishiriki kuondoa kitambaa,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Mradi huo Kwarara Kidutani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,ikiwa sambamba na Maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa Usambazaji Maji Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya ujenzi wa matangi ya maji ya Mradi huo Kwarara Kidutani Wilaya ya Magharini “B” Unguja ikiwa sambamba na maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa Usambazaji Maji Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya ujenzi wa matangi ya maji ya Mradi huo Kwarara Kidutani Wilaya ya Magharini “B” Unguja ikiwa sambamba na maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani.
  • WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa Usambazaji wa Maji Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefunga Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Tovuti ya programu ya ufundishaji kiswahili mtandaoni,wakati wa ufungaji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani, lililofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha(AICC).
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali wa SMZ na SMT, baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha, kwa ajili ya ufungaji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lililofanyika Mkoani Arusha.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia moja ya ngoma ya utamaduni baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) kwa ajili ya ufungaji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani, lililofanyika katika ukumbi huo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali wa SMZ na SMT,baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha,kwa ajili ya ufungaji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lililofanyika Mkoani Arusha.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia moja ya ngoma ya utamaduni baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha(AICC)kwa ajili ya ufungaji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani,lililofanyika katika ukumbi huo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho ya Vitabu mbalimbali vya Kiswahili vikioneshwa wakati wa ufunganji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lililofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha.(AICC).
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho ya Vitabu mbalimbali vya Kiswahili vikioneshwa wakati wa ufunganji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lililofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha.(AICC).

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Mkoani Geita kuhudhuria kumbukizi ya hayati Magufuli.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama wa Mkoa wa Geita alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chato, kwa ajili ya kuhudhuria Siku ya Kumbukizi ya Mwaka mmoja tangu kufariki kwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli, inayofanyika leo 17-3-2022 Wilayani Chato.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mjane wa Marehemu aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Mama Janeth Magufuli alipowasili katika Uwanja wa Magufuli Chato, kuhudhuria Siku ya Kumbukizi ya Mwaka mmoja tangu kufariki kwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli,inayofanyika leo 17-3-2022 Wilayani Chato.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia kwa Rais) baada ya kuwasaili katika Uwanja wa Ndege wa Chato Mkoani Geita na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe.Rosemary Senyamule

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mkutano wa kwanza wa Mwaka wa Asasi za kiraia Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa Tuzo ya Mchango wake kwa Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar,akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Asasi za Kiraia Zanzibar.Bw.Hassan Juma,wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa kwanza wa mwaka wa Asasi za Kiraia Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulup Kiembesamaki Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Tovuti ya Taasisi ya Asasi za Kirais Zanzibar,wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa kwanza wa mwaka wa Asasi za Kirai Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufungua mkutano wa kwanza wa mwaka wa Asasi za Kiraia Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar,akitembelea banda la maonesho la ANGOZA na kupata maelezo kutoka kwa Afisa Miradi Bw.Mohammed Farid Hussein.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar,akitembelea banda la maonesho la “Center for Youth Dialogue” na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Asasi hiyo Bw. Hashim Pondeza.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar,akitembelea banda la maonesho la Jumuiya ya Kuendeleza Nyuki na Hifadhi ya Mazingira Pemba (JUKUNUM) akipata maelezo kutoka kwa Kiongozi wa Kikundi hicho Bw.Suleiman Masoud Nyukii.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar,akitembelea banda la maonesho la SOS na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi SOS Bi.Asha Salim Ali.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar,akitembelea banda la maonesho la “Center for Youth Dialogue”na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Asasi hiyo Bw. Hashim Pondeza
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar,akitembelea banda la maonesho la ANGOZA na kupata maelezo kutoka kwa Afisa Miradi Bw.Mohammed Farid Hussein.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar,akitembelea banda la maonesho la Jumuiya ya Kuendeleza Nyuki na Hifadhi ya Mazingira Pemba (JUKUNUM) akipata maelezo kutoka kwa Kiongozi wa Kikundi hicho Bw.Suleiman Masoud Nyukii.