Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Mkoani Geita kuhudhuria kumbukizi ya hayati Magufuli.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama wa Mkoa wa Geita alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chato, kwa ajili ya kuhudhuria Siku ya Kumbukizi ya Mwaka mmoja tangu kufariki kwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli, inayofanyika leo 17-3-2022 Wilayani Chato.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mjane wa Marehemu aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Mama Janeth Magufuli alipowasili katika Uwanja wa Magufuli Chato, kuhudhuria Siku ya Kumbukizi ya Mwaka mmoja tangu kufariki kwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli,inayofanyika leo 17-3-2022 Wilayani Chato.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia kwa Rais) baada ya kuwasaili katika Uwanja wa Ndege wa Chato Mkoani Geita na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe.Rosemary Senyamule
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mkutano wa kwanza wa Mwaka wa Asasi za kiraia Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa Tuzo ya Mchango wake kwa Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar,akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Asasi za Kiraia Zanzibar.Bw.Hassan Juma,wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa kwanza wa mwaka wa Asasi za Kiraia Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulup Kiembesamaki Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Tovuti ya Taasisi ya Asasi za Kirais Zanzibar,wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa kwanza wa mwaka wa Asasi za Kirai Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufungua mkutano wa kwanza wa mwaka wa Asasi za Kiraia Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar,akitembelea banda la maonesho la ANGOZA na kupata maelezo kutoka kwa Afisa Miradi Bw.Mohammed Farid Hussein.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar,akitembelea banda la maonesho la “Center for Youth Dialogue” na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Asasi hiyo Bw. Hashim Pondeza.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar,akitembelea banda la maonesho la Jumuiya ya Kuendeleza Nyuki na Hifadhi ya Mazingira Pemba (JUKUNUM) akipata maelezo kutoka kwa Kiongozi wa Kikundi hicho Bw.Suleiman Masoud Nyukii.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar,akitembelea banda la maonesho la SOS na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi SOS Bi.Asha Salim Ali.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar,akitembelea banda la maonesho la “Center for Youth Dialogue”na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Asasi hiyo Bw. Hashim Pondeza
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar,akitembelea banda la maonesho la ANGOZA na kupata maelezo kutoka kwa Afisa Miradi Bw.Mohammed Farid Hussein.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar,akitembelea banda la maonesho la Jumuiya ya Kuendeleza Nyuki na Hifadhi ya Mazingira Pemba (JUKUNUM) akipata maelezo kutoka kwa Kiongozi wa Kikundi hicho Bw.Suleiman Masoud Nyukii.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mkutano wa Kimataifa wa uwekezaji Sekta ya Maji Barani Afrika katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambae pia na Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWPSA) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kufungua wa Mkutano Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika, uliofanyika 11-3-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika mkutano wa Taasisi ya (GWPSA) katika viwanja vya Ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kufungua wa Mkutano Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika, uliofanyika leo 11-3-2022.
RAIS Mstaafu wa Tanzania, Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWPSA) Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza katika mkutano Mkuu wa Uwezeshaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja.
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)akiufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja.
WASHIRI wa Mkutano Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta Maji Barani Afrika wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kuzungumza na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt. Jakaya Kikwete Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambae pia na Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWPSA),alipofia Ikulu Jijini Zanzibar, kwa mazungumzo na kutoa maelezo kuhusiana na mkutano wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika, unaotarajiwa kufanyika kesho 11-3-2022, katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Mkoa wa Kaskazini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais Mstaaf wa Tanzania ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWPSA) Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika,unaotarajiwa kufanyika kesho 11-3-2022 katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Mkoa wa Kaskazini Unguja na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais Mstaaf wa Tanzania ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWPSA) Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika, unaotarajiwa kufanyika kesho 11-3-2022 katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Mkoa wa Kaskazini Unguja na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Rais wa Zanzibar Mhe,Dk.Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mhe. Wiebe de Boer,(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha,mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mhe. Wiebe de Boer, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mhe. Wiebe de Boer, baada ya kumaliza mazungumzo yao yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.