Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Mawaziri na Manaibu Mawaziri aliowachagua hivi karibuni.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Harusi Said Suleiman kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar,hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Jamal Kassim Ali kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Ali Suleiman Ameir (Mrembo) kuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar,hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Hassan Khamis Hafidh kuwa Naibu Waziri Wizara ya Afya Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Juma Makungu Juma kuwa Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Shaib Hassan Kaduara kuwa Waziri wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Shamata Shaame Khamis kuwa Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji, Maliasili na Kilimo Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Shamata Shaame Khamis kuwa Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Kilimo Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Lela Mohammed Mussa kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Rahma Kassim Ali kuwa Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw.Yssuph Juma Mwenda kuwa Kamishna wa Bodi ya Mapati Zanzibar (ZRB) hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Balozi Mohammed Mwinyi Mzale kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar,hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Shaban Ali Othman kuwa Naibu Waziri Wizara ya Maji,Nishati na Madini Zanzibar,hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Ali Abdulgullam Hussein kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar,hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Nadir Abdullatif Alwardy kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar,hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Anna Athanas Paul kuwa Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amelifungua Kongamano la Kielemu Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar Ses Salaam.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Kielimu la Dini lililoandaliwa na Umoja wa Wanavyuoni Tanzania kwa kushirikiana na “Muslim World League “ kutoka Saudi Arabia,linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam 27-2-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu na Viongozi wa Dini alipowasili katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya hafla ya Uzinduzi wa Miaka 30 ya Tuzo za Kimataifa za Kuhifadhi Quran Tukufu Tanzania, iliofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo leo usiku.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mfanyakazi wa “Ibun Jazar Health Centre “Ndolimana Rajab.wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Miaka 30 ya Tuzo ya Kimataifa ya kuhifadhi Quran Tukufu Tanzania, iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dk.Ahmed Jaylan Kiongozi wa Ujumbe Muslim World League kutoka Nchini Saudi Arabia akitowa maelezo wakati akitembelea maonesho,kabla ya kulifungua Kongamano la Kielimu la Dini lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam.
WASHIRIKI wa Kongamano la Kielimu wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wakati mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam.
WAGENI waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Miaka 30 ya Tuzo ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran Tukufu Tanzania, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Tuzo hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
VIONGOZI wa Serikali na Dini wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Miaka 30 ya Tuzo za Kimataifa za Kuhifadhi Quran Tukufu Tanzania, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
WAGENI waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Miaka 30 ya Tuzo ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran Tukufu Tanzania, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Tuzo hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika katika Sala ya Ijumaa Masjid Mushawar na Kumjulia Hali Mzee Abdalla Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mzee Abdalla Mwinyi Khamis Mkuu wa Mkoa Mstaaf, alipofika nyumbani kwake Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi“B”Unguja kumsalimia na kumjulia hali yake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Mushawar. Miembeshauri Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Masjid Mushawar na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi,baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amemuapisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na Dawa za kulevya Zanzibar Kanali.Burhabi Zuberi Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kanali Burhan Zuberi Nassor kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman,Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana wakifuatilia kuapishwa kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar. Kanali Burhani Zuberi Nassor,akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia kuapishwa kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar,Kanali Burhan Zuberi Nassor, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Ikulu wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa hafla ya kuapishwa kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar, (kushoto kwa Rais)Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla.
Rais wa Zanzibar Mhe,Dk.Hussein Ali Mwinyi amekuatana na Balozi wa Indinesia Nchini Tanzania.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa INDONESIA nchini Tanzania Mhe.Tri Yogo Jatmiko wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akizungumza mgeni wake Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Mhe.Tri Yogo Jatmiko wakati wa alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akimkabidhi zawadi mgeni wake Balozi wa INDONESIA nchini Tanzania Mhe.Tri Yogo Jatmiko baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Ufalme wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Abdulla Bin ALI Alsheryan wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya nchini Tanzania Mhe. Dan Kazungu wakati alipofika leo Ikulu Jijini Zanzibar, Kumuaga Rais baada ya kumaliza muada wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya nchini Tanzania Mhe. Dan Kazungu wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kumuaga Rais baada ya mazungumzo yao.