Ufunguzi wa Kituo cha Afya Kidimni, Wilaya ya Kati Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja alichokifungua,ambacho kimejengwa na Washirika maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Mtoto Abdalla Nassor mwenye mahitaji maalum katika Ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja Kilichojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea
Wananchi mbali mbali wa Kijiji cha Kidimni Taasisi za Serikali ya Mapinduzi na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo ambacho kimejengwa na Washirika wa Maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Balozi wa Korea Nchini Bw.Kim Sun Pyo (wa pili kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kulia) Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui (wa pili kulia) na Katibu wa baraza la mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (kushoto) wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ua ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo, Kilichojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea.
Katibu Mkuu wa Wizara wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Bi.Fatma Mrisho alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) wakati alipotembelea Sehemu mbali mbali katika Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja mara baada ya kukifungua rasmi leo,kituo hicho kilichojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea.
Baadhi ya wajumbe wa Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea wakiwa katika hafla ya ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja kilichofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ambacho kimejengwa na Washirika hao kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui pamoja na Balozi wa Korea Nchini Bw.Kim Sun Pyo wakifungua pazia kuashiria Ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo, Kilichojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja Kilichojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Balozi wa Korea Nchini Bw.Kim Sun Pyo (katikati) wakata utepe kufungua Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo, Kilichojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea,(wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,(kushoto) Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui.
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Maafisa mbali mbali wa Taasisi za Serikali ya Mapinduzi wakiwa katika hafla ya ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja kilichofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ambacho kimejengwa na Washirika hao kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Viongozi mbali mbali na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo ambacho kimejengwa na Washirika wa Maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Maafisa mbali mbali wa Taasisi za Serikali ya Mapinduzi na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo ambacho kimejengwa na Washirika wa Maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Msiba wa Dr. Mwelecele Ntuli Malecela
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa mara alipowasili katika msiba wa Mtoto wa Mzee John Samuel Malecela Dr.Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni WHO wakibeba mwili wa marehemu Dr.Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuagwa kabla ya kwenda kuzikwa kijijini kwao Dodoma.
Baadhi ya wananchi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ua kuuaga mwili wa marehemu Dr.Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samuel Malecela (katikati) akiwa na familia yake katika msiba wa kumuaga Mtoto wake marehemu Dr.Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) hafla iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa salamu zake na kutoa pole kwa familia ya Mzee John Samuel Malecela kwa kufiliwa na mtoto wake Dr.Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa mara alipowasili katika msiba wa Mtoto wa Mzee John Samuel Malecela Dr.Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa salamu zake na kutoa pole kwa familia ya Mzee John Samuel Malecela kwa kufiliwa na mtoto wake Dr.Mwelecele Ntuli Malecela aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa AFREXIM Bank kutoka nchini Misri, uliofika Ikulu Jijini Zanzibar .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha zawadi maalum ya Mlango wa Zanzibar (Zanzibar Door) Makamu wa Rais Mtendaji wa Afrexim Bank Bw. Amr Kamel, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 16-2-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Afrexim Bank kutoka Nchini Egypt ukiongozwa na Makamu wa Rais Mtendaji Bw,Amr Kamel (kulia kwa Rais) wakipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 16-2-2022.na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanja Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha zawadi maalum ya Mlango wa Zanzibar (Zanzibar Door) Makamu wa Rais Mtendaji wa Afrexim Bank Bw.Amr Kamel, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 16-2-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Afrexim Bank kutoka Nchini Egypt ukiongozwa na Makamu wa Rais Mtendaji Bw,Amr Kamel (kulia kwa Rais) wakipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 16-2-2022.na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanja Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Afrexim Bank kutoka Nchini Egypt ukiongozwa na Makamu wa Rais Mtendaji Bw,Amr Kamel (kulia kwa Rais) wakipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 16-2-2022.na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanja Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
Miaka 20 ya Gazeti la Zanzinbar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mtendaji wa Gazeti la Zanzibar leo Nd,Ali Haji Mwadini katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar(katikati) Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita na Dkt.Ali Mwinyikai muanzilishi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimkabidhi zawadi Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume (kushoto) aliyeanzisha Gazeti la Zanzibar leo katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar (kulia) Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume akiwa muanzilishi wa Gazeti la Zanzibar leo akiangalia muonekeno mpya wa gazeti hilo mara baada ya uzinduzi uliofanywa na Rais wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika sherehe za kutimia miaka 20 zilizofanyika katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa muonekano mpya wa Gazeti la zanzibar leo wakati wa sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar ambapo muanzilishi wa Gazeti hilo Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume alikuwepo katika sherehe hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Gazeti la Zanzibar leo wakiwa katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo tokea kuanzishwa kwake zilizofanyika katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibarmgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
Baadhi ya Waalikwa na wafanyakazi wa Gazeti la Zanzibar leo wakiwa katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo tokea kuanzishwa kwake zilizofanyika katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.
Kilele cha siku ya Sheria Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar(kushoto) Kaimu jaji Mkuu wa Zanzibar Jaji Khamis Ramadhan Abdalla Shaaban,Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Jaji Mustapha Siyani (wa pili Kushoto) na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Kaimu jaji Mkuu wa Zanzibar Jaji Khamis Ramadhan Abdalla Shaaban (katikati) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Jaji Mustapha Siyani(kushoto)mara baada ya kutoa hutuba yake katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar.
Baadhi ya Mawakili wakiwa katika katika sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
Baadhi ya Majaji na Mawakili wa Serikali na Kujitegemea wakiwa katika katika sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
Wafanyakazi wa Mahkama na Mawakili wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na waalikwa mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kaimu jaji Mkuu wa Zanzibar Jaji Khamis Ramadhan Abdalla Shaaban (katikati) akiwa na Viongozi wengine wakati alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa na Viongozi wengine wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Ncho Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Idrissa Kitwana Mustafa wakati alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar.
Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakipiga Saluti wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar