State House Blog

Mkutano wa upangaji vipau mbele wa uaandaji wa mipango ya maendeleo Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake wakati akiyafungua mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (katikati).
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Viongozi mara baada ya Kufungua Mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi
  • Wawakilishi wa UNDP wakiwa katika ufunguzi wa mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi mara baada ya Kuwasili katika Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo kufungua Mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP.
  • Wawakilishi wa UNDP wakiwa katika ufunguzi wa mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.
  • Watendaji na Maafisa mbali mbali katika Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika ufunguzi wa mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.
  • Watendaji katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika ufunguzi wa mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.
  • Wawakilishi wa Taasisi ya Tony Blair wakiwa katika ufunguzi wa mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Said Seif Mzee kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Zanzibar katika Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Said Seif Mzee kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Zanzibar katika Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango,hafla hiyo iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Viongozi aliowateuwa hivi karibuni.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Rahma Salim Mahfoudh kuwa Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Said Seif Mzee kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Zanzibar katika Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Viongozi wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar waliohudhuria katika hafla kuapishwa Viongozi walioteuliwa na Rais kushika nafasi mbali mbali hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,wamehudhuria katika hafla kuapishwa Viongozi walioteuliwa na Rais kushika nafasi mbali mbali katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Said Seif Mzee kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Zanzibar katika Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango,hafla hiyo iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mheshimiwa Jaji Aziza Iddi Sued,kuwa Mwenyekiti wa Mahkama ya Rufaa ya Idara maalum ya SMZ, hafla hiyo iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika katika Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Kitabu kinachuzungumzia Mabadiliko ya Tabia Nchi, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali na (kulia kwa Rais) Naibu Kamishna wa Bima Tanzania (TIRA)Bi. Khadija.Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua tovuti ya “Africa College of Insurance and Social Protection” (ACISP).www.acisp.africa,www.acisp.net, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika “Africa Insurance Retreat” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Kitabu kinachuzungumzia Mabadiliko ya Tabia Nchi, baada ya kukizindua wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali na (kulia kwa Rais) Naibu Kamishna wa Bima Tanzania (TIRA)Bi. Khadija.Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika, uliofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika, uliofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar.
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika, uliofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri Nape Mnauye Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wizara ya Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania ukiongozwa na Waziri wa wizara hiyo Mhe.Nape Moses Mnauye.(kulia kwa Rais)na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania Mhe. Nape Moses Nnauye, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha na Ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania ukiongozwa na Waziri wa wizara hiyo Mhe.Nape Moses Mnauye, (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania Mhe.Nape Moses Nnauye, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.