State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya Mazungumzo na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Mambo ya Nje Sheikh. Shakhboot Nahyan , akiwa katika ziara yake U.A.E.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje. Sheikh.Shakhboot Nahyan Al Nahyan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum ya Mlango wa Zanzibar wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje.Sheikh. Shakhboot Nahyan Al Nahyan,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje.Sheikh.Shakhboot Nahyan Al Nahyan, alipofika kumuona na kufanya mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi mazungumzo hayo yamefanyika 18-1-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum Sanduku la Kasha mgeni wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje. Sheikh. Shakhboot Nahyan Al Nahyan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje Sheikh.Shakhboot Nahyan Al Nahyan, alipofika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi kwa ajili ya mazungumzo yaliyofanyiki 18-1-2022.(kulia kwa Rais) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu Mhe. Mohammed Abdalla Mtonga.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje.Sheikh.Shakhboot Nahyan Al Nahyan, alipofika kumuona na kufanya mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi mazungumzo hayo yamefanyika 18-1-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Waziri wa Nchi Anayeshughulikia Mambo ya Nje Sheikh.Shakhboot Nahyan Al Nahyan, alipofika katika ukumbi wa Hoteli ya Saadiyat Rotana Abu Dhabi kwa ajili ya mazungumzo yaliyofanyiki leo 18-1-2022.(kulia kwa Rais)Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu Mhe.Mohammed Abdalla Mtonga.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshuhudia Utiaji wa Saini miradi miwili mikubwa ya Uwekezaji katika Sekta ya Utalii Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Muwekekezaji wa Kampuni ya Eagle Hills Regionals Properties ya (U.A.) wakati wa utiaji wa Saini wa Miradi miwili mikubwa ya Uwekezaji Zanzibar, baina ya Kampuni hiyo na SMZ, hafla iliyofanyika Dubai Umoja wa Nchi wa Falme za Kiarabu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (aliyesimama katikati) akishuhudia ubadilishanaji wa hati za utiaji wa saini wa Miradi mikubwa miwili ya Uwekezaji katika Sekta ya Utani Zanzibar,kati ya SMZ na Kampuni ya Eagle Hills Regionals ya U.A.E, hafla hiyo iliyofanyika Dubai, kwa upande wa SMZ amesaini Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) Ndg. Shariff Ali Shariff na kwa upande wa Kampuni ya Eagle Hills Regional Properties ya (U.E.A) amesaini Bw.Mohammed Ali Rashid Al-Abbar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (aliyesimama katikati) akishuhudia utiaji wa saini ya Miradi mikubwa miwili ya Uwekezaji katika Sekta ya Utani Zanzibar,kati ya SMZ na Kampuni ya Eagle Hills Regionals ya U.A.E, hafla hiyo imefanyika Dubai, kwa upande wa SMZ amesaini Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) Ndg. Shariff Ali Shariff na kwa upande wa Kampuni ya Eagle Hills Regional Properties ya (U.E.A) amesaini Bw.Mohammed Ali Rashid Al-Abbar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (aliyesimama katikati) akishuhudia ubadilishanaji wa hati za utiaji wa saini wa Miradi mikubwa miwili ya Uwekezaji katika Sekta ya Utani Zanzibar,kati ya SMZ na Kampuni ya Eagle Hills Regionals ya U.A.E, hafla hiyo iliyofanyika Dubai, kwa upande wa SMZ amesaini Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) Ndg. Shariff Ali Shariff na kwa upande wa Kampuni ya Eagle Hills Regional Properties ya (U.E.A) amesaini Bw.Mohammed Ali Rashid Al-Abbar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ametembelea Banda la Maonesho ya Expo 2020 Dubai.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza na kupata maelezo kutoka wa Afisa wa Banda la Maonesho la Tanzania wakati wa maonesho ya Expo Dubai 2020,yanayofanyika katika viwanja vya maonesho Nchini Dubai,baada ya ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinadamu na utowaji wa zawadi kwa washindi wa shindano la “Zayed Sustainability Prize Awards” na(kulia kwa Rais) Balozi wa Tanzania Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E) wakati wa ziara yake ya kiserikali.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Banda la Maonesho la Tanzania Nchini Dubai,baada ya hafla ya ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinadamu na utowaji wa zawadi kwa washindi wa zawadi ya “Zayed Sustainability Prize Awards” akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Banda la Maonesho la Tanzania Bi.Getrude Ng’weshemi,wakati hafla ya Maonesho ya Expo 2020 yanayofanyika katika viwanja vya maonesho Dubai, wakati akitembelea banda hilo, akiwa katika ziara yake ya Kiserikali katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E)
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Banda la Maonesho la Tanzania Nchini Dubai,baada ya hafla ya ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinadamu na utowaji wa zawadi kwa washindi wa zawadi ya “Zayed Sustainability Prize Awards” akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Banda la Maonesho la Tanzania Bi.Getrude Ng’weshemi,wakati hafla ya Maonesho ya Expo 2020 yanayofanyika katika viwanja vya maonesho Dubai, wakati akitembelea banda hilo, akiwa katika ziara yake ya Kiserikali katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E).

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Banda la Maonesho la Tanzania Nchini Dubai, wakati hafla ya ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinadamu na utowaji wa zawadi kwa washindi wa zawadi ya “Zayed Sustainability Prize Awards” akipata maelezo kutoka kwa Bw.Rossan Mduma, wakati akitembelea banda hilo, akiwa katika ziara yake ya Kiserikali katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E) (kulia kwa Rais) Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu/Balozi Mohammed Abdalla Mtonga.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Abu Dhabi kwa ziara ya Kiserikali katika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Mke wa Balozi wa Tanzania U.A.E Mama Balozi Mtonga,baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abu Dhani, wakiwa katika chumba cha Viongozi VIP.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abu Dhabi kwa ziara ya Kiserikali katika Nchi Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E) akielekea katika chumba cha mapumziko cha VIP uwanjani hapo baada ya kuwasili (kulia kwa Rais) Balozi wa Jamuhuri ya Tanzania U.A.E Mhe.Mohammed Abdalla Mtonga na (kushoto kwa Rais) Kiongozi wa Ngazi ya juu wa Abu Dhabi.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Mhe.Balozi Mohammed Abdalla Mtonga, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abu Dhabi, kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu.

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini kuelekea nchi za Falme za Kiarabu.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana na viongozi wa Vikosi vya Ulinzi katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea katika nchi za falme za kiarabu katika ziara ya kikazi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na wasaidizi wake katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea katika nchi za falme za kiarabu katika ziara ya kikazi akifuatana na Mkewe Mama Marium Mwinyi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana na viongozi wa Vikosi vya Ulinzi katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini leo kuelekea katika nchi za falme za kiarabu katika ziara ya kikazi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Viongozi wengine katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani,wakati akiondoka nchini leo kuelekea katika nchi za falme za kiarabu kwa ziara ya Kikazi.