State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ametembelea Banda la Maonesho ya Expo 2020 Dubai.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza na kupata maelezo kutoka wa Afisa wa Banda la Maonesho la Tanzania wakati wa maonesho ya Expo Dubai 2020,yanayofanyika katika viwanja vya maonesho Nchini Dubai,baada ya ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinadamu na utowaji wa zawadi kwa washindi wa shindano la “Zayed Sustainability Prize Awards” na(kulia kwa Rais) Balozi wa Tanzania Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E) wakati wa ziara yake ya kiserikali.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Banda la Maonesho la Tanzania Nchini Dubai,baada ya hafla ya ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinadamu na utowaji wa zawadi kwa washindi wa zawadi ya “Zayed Sustainability Prize Awards” akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Banda la Maonesho la Tanzania Bi.Getrude Ng’weshemi,wakati hafla ya Maonesho ya Expo 2020 yanayofanyika katika viwanja vya maonesho Dubai, wakati akitembelea banda hilo, akiwa katika ziara yake ya Kiserikali katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E)
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Banda la Maonesho la Tanzania Nchini Dubai,baada ya hafla ya ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinadamu na utowaji wa zawadi kwa washindi wa zawadi ya “Zayed Sustainability Prize Awards” akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Banda la Maonesho la Tanzania Bi.Getrude Ng’weshemi,wakati hafla ya Maonesho ya Expo 2020 yanayofanyika katika viwanja vya maonesho Dubai, wakati akitembelea banda hilo, akiwa katika ziara yake ya Kiserikali katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E).

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Banda la Maonesho la Tanzania Nchini Dubai, wakati hafla ya ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinadamu na utowaji wa zawadi kwa washindi wa zawadi ya “Zayed Sustainability Prize Awards” akipata maelezo kutoka kwa Bw.Rossan Mduma, wakati akitembelea banda hilo, akiwa katika ziara yake ya Kiserikali katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E) (kulia kwa Rais) Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu/Balozi Mohammed Abdalla Mtonga.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Abu Dhabi kwa ziara ya Kiserikali katika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Mke wa Balozi wa Tanzania U.A.E Mama Balozi Mtonga,baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abu Dhani, wakiwa katika chumba cha Viongozi VIP.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abu Dhabi kwa ziara ya Kiserikali katika Nchi Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E) akielekea katika chumba cha mapumziko cha VIP uwanjani hapo baada ya kuwasili (kulia kwa Rais) Balozi wa Jamuhuri ya Tanzania U.A.E Mhe.Mohammed Abdalla Mtonga na (kushoto kwa Rais) Kiongozi wa Ngazi ya juu wa Abu Dhabi.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Mhe.Balozi Mohammed Abdalla Mtonga, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abu Dhabi, kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu.

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini kuelekea nchi za Falme za Kiarabu.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana na viongozi wa Vikosi vya Ulinzi katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea katika nchi za falme za kiarabu katika ziara ya kikazi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na wasaidizi wake katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea katika nchi za falme za kiarabu katika ziara ya kikazi akifuatana na Mkewe Mama Marium Mwinyi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana na viongozi wa Vikosi vya Ulinzi katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini leo kuelekea katika nchi za falme za kiarabu katika ziara ya kikazi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Viongozi wengine katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani,wakati akiondoka nchini leo kuelekea katika nchi za falme za kiarabu kwa ziara ya Kikazi.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekabidhi Kombe la Mapinduzi kwa Mshindi wa michuano hiyo uwanja wa Amaan Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha shukrani Afisa Mkuu Rasilimali Watu Benki wa Benki ya NMB Bw.Emmanuel Akonay, kwa kudhamini Michuano ya Kombe la Mapinduzi, kwa mchango wao kufanikisha michuano hiyo, hafla hiyo iliyofanyika Uwanja wa Amaan jana usiku 13-1-2022, wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi Cup kati ya Simba na Azam Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha shukrani Mwakilishi wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kwa Udhamini wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi,kwa mchango wao kufanikisha michuano hiyo, hafla hiyo iliyofanyika Uwanja wa Amaan jana usiku 13-1-2022, wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Simba na Azam Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi mfano wa hundi ya shuilingi milioni Kumi na Tano Nahodha wa Timu ya Azam Aggrey Morris kwa kuibuka msindi wa Pili wa Michuano ya Mapinduzi Cup 2022 na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman na Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita.
  • /RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Mapinduzi Cup Nahodha wa Timu ya Simba John Bocco, kwa kuibunga mshindi wa michuano huo kwa kuifunga Timu ya Azam bao 1-0, katika mchezo wa fainali uliofanyika Uwanja wa Amaan jana usiku,13-1-2022.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akimkabidhi zawadi Mchezaji Bora wa Mapinduzi Cup ZBC Watoto, kutoka Timu ya Wilaya ya Wete Pemba Abdalla Ali Salim, hafla ilioyofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar baada ya kumalizika kwa mchezo wa Fainali ya Mapinduzi Cup.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Kikosi cha Timu ya Simba kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika jukwaa kuu baada ya kusalimiana na Wachezaji wa Timu ya Simba na Azam, kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan jana usiku.13-1-2022. Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha shukrani Mdhamani wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Mwenyekiti wa Kampuni ya ZAT Bw. Mohammed Raza Daramsi, kwa mchango wake kufanikisha michuano hiyo, hafla hiyo iliyofanyika Uwanja wa Amaan jana usiku 13-1-2022, wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi Cup kati ya Simba na Azam Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Kikosi cha Timu ya Azam kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mkuu wa JKT Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajab Nduku Mabele, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Mkuu wa Kikosi cha JKU Kanali Makame Abdalla Daima, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Uongozi wa JKT kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajab Nduku Mabele,wakati akimkabidhi Kalenda ikiwa na picha za Wakuu wa JKT,baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika leo 13-1-2022 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.