Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amehudhuria Taarab rasmin ya Kikundi cha Taifa kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatila hafla ya Taarab Rasmin ya kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla.
MSANII Profesa Mohammed Elias akito burudani wakati wa Taarab rasmin ya Kikundi cha Taifa cha Zanzibar akiimba wimbo wa Nimesafi Moyo, wakati wa hafla ya Taarab ya kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi katika Taarab Maalum ya Kikundi cha Taifa cha Zanzibar na (kulia) Mhe Asha Abdalla Juma,katika taarab rasmin ya kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
MSANII Nassor Hussein akiimba wimbo wa Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla ya Taarab Rasmin ya kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wakati Kikundi cha Taifa cha Taraab Zanzibar wakitowa burudani, katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakili Kikwajuni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwake) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita, wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Bi.Fatma Hamad Rajab, akisoma ratiba ya Taarab Maalum ya kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh. Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita, alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni kuhudhuria hafla ya Taarab rasmin ya kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliofanyika jana usiku,12-1-2022.
WASANII wa Kikundi cha Taifa cha Taarab Zanzibar wakipiga wimbo wa Taifa wa Zanzibar kabla ya kuaza kwa Taarab rasmin ya Maadhimisho ya kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliofanyika jana usiku,12-1-2022 katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa amisimama wakati ukipingwa wimbo wa Taifa wa Zanzibar na Kikundi cha Taifa cha Taarab Zanzibar, kabla ya kuaza kwa Taarab rasmin ya kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama mara baada ya kupokea salamu ya Heshma ya Vikosi hivyo katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium jijini Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi (katikati) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman (kulia) Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Acson wakisimama wakati wa kupokea Salamu ya Heshma ya Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia Mkono Wananchi wakati alipoingia katika Uwanja wa Amaan Studium jijini Zanzibar leo katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya Heshma ya Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia Mkono Wananchi wakati alipoingia katika Uwanja wa Amaan Studium katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Kikosi cha Bendera cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Kikosi cha Jeshi la Polisi Wanawake wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole pole katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi JKU wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Kikosi cha Jeshi la KIKOSI CHA KUZUIYA MAGENDO KMKM wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Kikosi cha Jeshi la Polisi Wanawake wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Kikosi cha Jeshi la Mafunzo wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole pole katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Kikosi cha Jeshi la Polisi FFU wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole pole katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amemtunuku Nishani ya Mapinduzi Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Nishani ya Mapinduzi Rais wa Zanzibar Mstaafu wa Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, baada ya kumtunuku Nishani ya Mapinduzi, hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Nishani ya Mapinduzi Rais wa Zanzibar Mstaafu wa Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wa Zanzibar, Tanzania na wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika hafla ya kutunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Rais wa Zanzibar Mstaafu wa Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS Mstaafu wa Zanzibar wa Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiwa amesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wa Zanzibar,Tanzania na wa Afrika Mashariki katika hafla ya kutunuku kwa Nishani ya Mapinduzi na (kushoto kwake) Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu Balozi Seif Ali Iddi na Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Khamis Ramadha Abdalla.
Uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachojadili hoja za wadau wa mkutano wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya Uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesaki Nje ya Jiji la Zanzibar (kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya Uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesaki Nje ya Jiji la Zanzibar.
Waalikwa wa Vyama vya Siasa katika Uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa wakifuatilia kwa makini wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa hutuba yake katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesaki Nje ya Jiji la Zanzibar.
Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Tanznia Mhe.Jaji Francis S. Mutungi alipokuwa akitoa maelezo na kuwatambulisha wajumbe wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa wakati wa Uzinduzi rasmi uliofanywa na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesaki Nje ya Jiji la Zanzibar.
Mwenyekiti wa Kikosi kazi Prof.Rwekeza S.Mukandara alipokuwa akitoa shukurani zake katika hafla ya uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa uliofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Nje ya Jiji la Zanzibar mgeni rasmi alikuwa RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Waalikwa wa vyama vya siasa katika Uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa wakifuatilia kwa makini wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa hutuba yake katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesaki Nje ya Jiji la Zanzibar.
Baadhi ya wajumbe wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kabla Uzinduzi wa Kikosi hicho uliofanywa leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Nje ya Jiji la Zanzibar.
Baadhi ya wajumbe wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kikosi hicho uliofanywa leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Nje ya Jiji la Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine akiwepo na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman (wa pili kulia) wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kabla Uzinduzi wa Kikosi Kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa hafla ilyofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Nje ya Jiji la Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais,Sera ,Uratibu na Baraza la Wawakilishi Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Tanznia Mhe.Jaji Francis S. Mutungi pamoja na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Zanzibar Bw.Mohamed Ali Ahmed wakati alipowasili katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki katika Uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa.
Ufunguzi Wa Jengo La Mahkama Kuu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kama ishara ya Ufunguzi wa jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar ya Zanzibar,Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,wengine ni Viongozi mbali mbali wakishuhudia tukio hilo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya Ufunguzi wa jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar alilolifungua leo huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali na Marais wastaafu wa Zanzibar walihudhuria hafla hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi (kushoto) wakisalimiana na Viongozi wakuu walipofika katika sherehe ya Ufunguzi wa jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar,Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi (kushoto) wakisalimiana na Viongozi wakuu walipofika katika sherehe ya Ufunguzi wa jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar,Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya Ufunguzi wa jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar alilolifungua leo huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali na Marais wastaafu wa Zanzibar walihudhuria hafla hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Marais wastaafu wa Zanzibar na Viongozi mbali mbali wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa mara baada ya sherehe ya Ufunguzi wa jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar alilolifungua leo huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) na Marais wastaafu wa Zanzibar na Viongozi mbali mbali wakiapata maelezo kutoka kwa Mrajis wa Mahkama Kuu ya Zanzibar Mhe.Mohamed Ali Mohamed Shein (kulia) wakati akitembelea jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar alilolifungua leo huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Mrajis wa Mahkama Kuu ya Zanzibar Mhe.Mohamed Ali Mohamed Shein (kushoto) akitoa maelezo kwa RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) wakati akitembelea sehemu mbali mbali za jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar alilolifungua huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kushoto) akiondosha kitambaa kama ishara ya Ufunguzi wa jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar,Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,wengine ni Viongozi mbali mbali wakishuhudia tukio hilo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya Ufunguzi wa jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar alilolifungua leo huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali na Marais wastaafu wa Zanzibar walihudhuria hafla hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Sita Mhe.Dkt.Amani Karume, baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu,ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwake) Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na (kushoto kwake) Makamu wa Pili wa Rais Mstaaf Balozi Seif Ali Iddi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
MAJAJI wa Mahkama Kuu Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
KAIMU Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Andalla akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu ya Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya jengo hilo Tunguu.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
JAJI Mkuu wa Mahkama Kuu Tanzania Mhe Prof Ibrahim Hamis Juma akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu ya Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.