Ufunguzi Wa Jengo La Mahkama Kuu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kama ishara ya Ufunguzi wa jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar ya Zanzibar,Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,wengine ni Viongozi mbali mbali wakishuhudia tukio hilo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya Ufunguzi wa jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar alilolifungua leo huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali na Marais wastaafu wa Zanzibar walihudhuria hafla hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi (kushoto) wakisalimiana na Viongozi wakuu walipofika katika sherehe ya Ufunguzi wa jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar,Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi (kushoto) wakisalimiana na Viongozi wakuu walipofika katika sherehe ya Ufunguzi wa jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar,Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya Ufunguzi wa jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar alilolifungua leo huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali na Marais wastaafu wa Zanzibar walihudhuria hafla hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Marais wastaafu wa Zanzibar na Viongozi mbali mbali wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa mara baada ya sherehe ya Ufunguzi wa jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar alilolifungua leo huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) na Marais wastaafu wa Zanzibar na Viongozi mbali mbali wakiapata maelezo kutoka kwa Mrajis wa Mahkama Kuu ya Zanzibar Mhe.Mohamed Ali Mohamed Shein (kulia) wakati akitembelea jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar alilolifungua leo huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Mrajis wa Mahkama Kuu ya Zanzibar Mhe.Mohamed Ali Mohamed Shein (kushoto) akitoa maelezo kwa RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) wakati akitembelea sehemu mbali mbali za jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar alilolifungua huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kushoto) akiondosha kitambaa kama ishara ya Ufunguzi wa jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar,Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,wengine ni Viongozi mbali mbali wakishuhudia tukio hilo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya Ufunguzi wa jengo la Mahkama Kuu ya Zanzibar alilolifungua leo huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali na Marais wastaafu wa Zanzibar walihudhuria hafla hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Sita Mhe.Dkt.Amani Karume, baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu,ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwake) Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na (kushoto kwake) Makamu wa Pili wa Rais Mstaaf Balozi Seif Ali Iddi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
MAJAJI wa Mahkama Kuu Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
KAIMU Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Andalla akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu ya Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya jengo hilo Tunguu.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
JAJI Mkuu wa Mahkama Kuu Tanzania Mhe Prof Ibrahim Hamis Juma akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu ya Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK,.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU MHE KASSIM MAJALIWA IKULU ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa wakiangalia mandhari ya bahari, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa wakiangalia mandhari ya bahari, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alipofika Ikulu Jijiji Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza maziko ya Sheha wa Kwahani Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Machano Mwadini Omar aliyekuwa Sheha wa Kwahani,alipofika Kijiji kwao Chaani Masingini Mkoa wa Kaskazini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alh Dk.Hussein Akli Mwinyi akijumuika na Wananchi katika kisoma na dua kumuombea Marehemu Mchano Mawadi Omar aliyekuwa Sheha wa Kwahani maziko yaliofanyika Kijiji kwao Chaani Masingini Mkoa wa Kaskazini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ya kumuombea Marehemu Machano Mwadini Omar,baada ya kutoa mkono wa pole kwa famalia ya marehemu alipofika kijiji kwao Chaani Masingini Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepoe kuashiria kuyafungua Madarasa Sita mapya ya skuli ya Msingi ya Sebleni Wilaya ya Mjini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepoe kuashiria kuyafungua Madarasa Sita mapya ya skuli ya Msingi ya Sebleni Wilaya ya Mjini Unguja, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Simai Mohammed Said, Mwali Mkuu wa Skuli ua Msingi Sebleni na Mwakilishi ya Jimbi la Kwahani Mhe Abdalla Rashid Abdalla na (kulia kwa Rais) Mbunge wa Jimbo la Kwahani Mhe. Ahmada Yahya Abdulwakil,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mistafa Kitwana na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmeid Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kitamba kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Madarasa Sita ya Skuli ya Msingi ya Sebleni Wilaya ya Mjini Unguja akiwa na Mbunge wa Jimbo la Kwahani Zanzibar Mhe. Ahmada Yahya Abdulwakil, ikiwa ni shamra shamra za kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,na (kulia kwa Mbunge) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kitamba kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Madarasa Sita ya Skuli ya Msingi ya Sebleni Wilaya ya Mjini Unguja akiwa na Mbunge wa Jimbo la Kwahani Zanzibar Mhe. Ahmada Yahya Abdulwakil,Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kingozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said, ikiwa ni shamra shamra za kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungua mkono Wananchi wa Jimbo la Kwahani Zanzibar alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Msingi ya Sebleni.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Kwahani Mhe.Ahmada Yahya Abdulwakil akitowa maelezo ya moja ya madarasa Sita mapya ya Skuli hiyo yaliojengwa na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani, baada ya kuyafungua leo 7-1-2022, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)akikata utepe kama ishara ya Ufunguzi wa hoteli ya Marijani Resort &Spa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)akikata utepe kama ishara ya Ufunguzi wa hoteli ya Marijani Resort &Spa; ikiwa ni katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja (wa tatu kulia) Mke wa Rais Mama Marium Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Rahim Balu baada ya Ufunguzi wa hoteli ya Marijani Resort &Spa; ikiwa ni katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja (wa tatu kulia).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kushoto)akiondoa kitambaa kufungua hoteli ya Marijani Resort &Spa; katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kushoto)akiondoa kitambaa kufungua hoteli ya Marijani Resort &Spa; katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi(kushoto) wakifuatana na Mwekezaji Rahim Balu (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakifuatana kabla ya kuagana baada ya kumalizika kwa hafla ya Ufunguzi wa hoteli ya Marijani Resort &Spa; ikiwa ni katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika kijiji cha Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi (kushoto)wakifuatana na Mwekezaji Rahim Balu (katikati) pamoja na kupata maelezo wakati alipotembelea sehemu mbali mbali mara baada ya Ufunguzi wa hoteli ya Marijani Resort &Spa; ikiwa ni katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga