Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekabidhiwa Ripoti ya Hesabu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Hesabu za Serikali na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar.Dkt.Othman Abbas Ali,hafla hiyo ya kukabidhi imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mawaziri na Viongozi wa Serikali (hawapo pichani) baada ya kukabidhiwa taarifa ya ripoti ya hesabu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar,hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia) ni Vitabu vya Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Hesabu za Serikali na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar.Dkt.Othman Abbas Ali,hafla hiyo ya kukabidhi imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia Vitabu vya Ripoti ya Uchunguzi wa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu Zanzibar,baada ya kukabidhiwa na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar Dkt. Othman Abbas Ali.(hayupo pichani) hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mawaziri na Viongozi wa Serikali (hawapo pichani) baada ya kukabidhiwa taarifa ya ripoti ya hesabu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar,hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia) ni Vitabu vya Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mawaziri na Viongozi wa Serikali (hawapo pichani) baada ya kukabidhiwa taarifa ya ripoti ya hesabu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar,hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia) ni Vitabu vya Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mawaziri na Viongozi wa Serikali (hawapo pichani) baada ya kukabidhiwa taarifa ya ripoti ya hesabu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar,hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia) ni Vitabu vya Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu.
BAADHI ya Mawaziri wa SMZ, wakifuatilia mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)akizungumza baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Hesabu na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Mawaziri wa SMZ, wakifuatilia mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Hesabu na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
KAIMU Mdghibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar Dkt.Othman Abbas Ali akisisitiza jabo wakati akiwasilisha Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
KAIMU Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar Dkt.Othman Abbas Ali akisoma Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kabla ya kumkabidhi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumushi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Hesabu na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar, wakati ikiwasilishwa na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Zanzibar Dkt. Othman Abbas Ali.(hayupo pichani) wakati akisomwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mratibu Mkazi wa UN Nchini Tanzania
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania (UN) Bw.Zlatan Milisic, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 20-5-2021, mazungumzo yaliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania. Bw. Zlatan Milisic, wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, alipofika kujitambulisha
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania,Bw. Zlatan Milisic, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na mgeni wake Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Zlatan Milisic, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Afrika
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimia na Ujumbe wa Uongozi wa Benki ya Afrika ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo, Dr.Nyamajeje Calleb, walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Bank Of Africa ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Afrika Dr.Nyamajeje Calleb (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake Ndg.Wasira Mushi na Samira Yassine,walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Bank Of Africa ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Afrika Dr.Nyamajeje Calleb (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake Ndg.Wasira Mushi na Samira Yassine,walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefanya ziara ya kutembelea Mashamba ya Mpira ya Selemu na Kichwele.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea eneo la Shamba la Mpira katika Kijiji cha Kichwele Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara yake kutembelea mashamba ya mpira ya Selemu na Kichwele.
BAADHI ya Wafanyakazi wa Shamba la Mpira katika Kijiji cha Kichwele Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa ziara yake kutembelea shamba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia ramani ya mipaka ya Shamba la Mpira la Kichwele wakati wa ziara yake kutembelea shamba hilo, na (kulia kwa Rais)Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar.Mhe.Dkt. Soud Nahoda Hassan na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi.Maryam Juma Abdalla, wakiwa katika eneo kilichokuwa kiwanda cha kukaushia mpira baada ya kuvuna katika shamba hilo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyakazi na Waandishi wa habari, wakati wa ziara yake kutembelea mashamba ya mpira katika eneo la Selemu na Kichwele
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Shamba la Kilimo cha Mpira katika eneo la Selemu, akiwa katika ziara yake kutembelea shamba hilo, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar. Mhe.Dkt.Soud Nahoda Hassan na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uweke zaji Zanzibar. Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A”Unguja Bi. Suzan Peter Kunambi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo ya michoro ya mipaka ya Shamba la Mpira Selemu, kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo.Bi.Maryam Juma Abdalla, alipofanya ziara kutembelea shamba hilo lilioko katika eneo la Kijiji cha Selemu Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar. Mhe.Dkt. Soud Nahoda Hassan
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar. Bi. Maryam Juma Abdalla akitowa maelezo ya Shamba la Mpira la Selemu, wakati wa ziara yake kutembelea mashamba hayo ya mpira Selemu na Kichwele.(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Mustafa Idrisa Kitwana na Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo.Mhe.Dkt.Soud Nahoda Hassan.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar. Bi. Maryam Juma Abdalla akitowa maelezo ya Shamba la Mpira la Selemu, wakati wa ziara yake kutembelea mashamba hayo ya mpira Selemu na Kichwele.(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Mustafa Idrisa Kitwana na Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo.Mhe.Dkt.Soud Nahoda Hassan.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ametembelea eneo la Ujenzi wa Bandari ya Kisasa Mwangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar.(hawapo pichani) baada ya kumaliza ziara yake kutembelea eneo la Ujenzi wa Bandari ya Kisasa Mwangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutaka ufafanuzi, kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud,wakati wa ziara yake kutembelea eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari ya Kisasa katika eneo la Mwangapwani Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja, akiwa katika eneo la Mradi wa Island Petroleum Group.tayari limejengwa matangi ya mafuta.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Ndg. Amour Hamil Bakari,akitowa maelezo ya michoro ya Ramani ya eneo la Ujenzi wa Bandari ya Kisasa katika eneo la Mwangapwani Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza CEO wa Kampuni ya United Petroleum Ndg.Collins Chemngorem, akiwa katika ziara yake katika eneo linalotarajiwa ujenzi wa Bandari ya Kisasa Mwangapwani Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kulia kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Rahma Kassim Ali.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Tawala wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndg. Makame Machano Haji akitowa maelezo ya eneo la Ujenzi wa Bandari ya Kisasa Mwangapwani Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja wakati wa ziara yake kutembelea eneo hilo na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kulia kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali